Wednesday, 28 January 2015

RE: [wanabidii] PROF: SOSPETER MUHONGO SHUJAA WANGU SERIKALI YA AWAMU YA NNE

Mwambene umenifurahisha.

" He is an idiot professor " haha

On Jan 28, 2015 9:09 AM, "Mwambene, Bahati (Buzwagi)" <bmwambene@acaciamining.com> wrote:
Well said Elisa.
Sisi tulio wengi tunafikiri urefu wa kivuli chetu tu na hakuna investors yeyote anaye toa pesa zake mfukoni, na kwa msomi yeyote angeongoza/ guide watanzania wengine namnagani mtu anaweza kupata mtaji ilituendelee kama nchi.

My take: Muhongo is an idiot Professor ever

Bahati Mwambene

"IF THE GOING GETS TOUGH  THE TOUGH GETS GOING"

-----Original Message-----
From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com]
Sent: Tuesday, January 27, 2015 11:35 AM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] PROF: SOSPETER MUHONGO SHUJAA WANGU SERIKALI YA AWAMU YA NNE

Mwesiga.
Nchi zote zilizoendelea ziliendelea kwa sababu viongozi wao waliona wanaweza. kiongozi ngazi ya waziri kusema Watanzania hawawezi kuwekeza kwenye gas nisawa kamanda wa vita kuongoza kikosi chake kuelekea ngome ya adui bila silaha.
Silaha ya kwanza ni kujiamini na usipojiamini ni viobaya sana. Kumbuka katuni moja mtandaoni humu sijui kama uliiona Farasi amefungwa kamba na kamba imefungwa kwenye kiti cha plastic naye (farasi) katulia pale hawezi kwenda kula nyasi maana pale hazipo naye kafungwa kamba. Ndiyo maana kabisa ya usemi wa Muhongo. tena msomi anayeweza kutwambia garama ya thamani ya gesi ukiondoa garama za kuichimba baki ndiyo mtaji wetu ambayo tutagawana na atakaye;leta mtaji. Professor kutojua hesabu hiyo ni hatari kuliko mtu ambaye h\akwenda shule.
kuna watu walichukua mbegu za mawese hapa wakaenda kwao wakayapanda sasa tunatumia mafuta ya mawese kutoka kwao kwa jina la Korie. Sababu ya watu kama Muhongo. Kuna nchi zilitengwa na maadui wao kwa kutumia sauti zao UN na nchi hizo hazikubweteka sasa ni Nuclear powers Sababu waliwafunga midomo akina Muhongo.
Mimi hatari ninayoona sasa  ni waatu kuendelea kuutetea Umuhongo uliopo ndani ya viongozi wetyu. Wataendelea wao kuendelea kutibiwa nje kwa sababu nchini mwao hakuna hospitali zinazoweza kuwatibu japo mamilioni ya wananchi wao wanatibiwa humo.
Wanajiita viongozi sijui wanatungoza kwenda wapi?!
Elisa
--------------------------------------------
On Tue, 1/27/15, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] PROF: SOSPETER MUHONGO SHUJAA WANGU SERIKALI YA AWAMU YA NNE
 To: wanabidii@googlegroups.com
 Date: Tuesday, January 27, 2015, 11:01 AM

 Kama kuna binadamu
 wanafiki kwenye sayari hii mtanzania anaongoza.
 Hebu kuna kosa gani kusema mtanzania
 hawezinkuwekeza kwenye gesi na kutaja tunavyoweza
 kuwekezA.
 Jamaa alikua right hata kama lilikua shambulio
 binafsi. Hao wahuni wanatumia kigezo cha uzalendo kuwekeza
 hana wanachojali kuhusu mtanzania.
 On Jan 24, 2015 12:15
 PM, "Erick Maro" <rikmaro@gmail.com>
 wrote:
 Waziri aliyesema Watanzania hawawezi kuwekeza
 kwenye gesi na mafuta, ila.kwenye  juice, matunda na soda.

  Swali yeye si Mtanzania??

 Je wawekezaji wote Duniani

 hutumia mitaji yao tu kuwekeza??
 Kilichomwondoa ni jeuri na kiburi chake kwa
 Watanzania wote.
 Anaweza kuwa msomi mzuri ila sidhani kama usomi
 wake unatija kwa Taifa hili kwa matamshi yake.
 On Jan 24, 2015 8:11
 PM, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com>
 wrote:
 Ngulupa,Serikali ijayo ipi? Ukawa hawawezi
 kumpa Muhongo wizara yoyote, na CCM inapumlia
 mashini.em
 2015-01-24 11:46
 GMT-05:00 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
 Nafikir sio dhambi
 kujiuzuru....nafikir pia wenye maamuzi pia
 wanasikia...Muhongo anaweza rudi bila kinyongo serikali
 ijayo. ..Cha muhimu...ukipewa kazi.  ifanye kazi... watu
 wanaweza wakakuyumbisha lkn kazi yako itakulinda. Akienda
 mbabaishaji pale wizarani...watu wataandamana Muhongo
 arudi..

  Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
 wrote:

 PROF:
 SOSPETER MUHONGO SHUJAA WANGU SERIKALI YA AWAMU YA NNEKama
 mtanzania wa kawaida nimesikitishwa na taarifa za kujiuzuru
 kwa Prof. Sospeter Muhongo waziri wa nishati na madini ni
 wazi kwamba maamuzi haya yamekuja kutokana na shinikizo la
 watu wanaolazimisha kusikia wanachotaka kusikia na kuukataa
 uhalisia. Huu ni ushindi kwa baadhi ya mabwanyenye wanaotaka
 kunufaika na gas kwa kigezo cha uzawa ilhali hawana sifa na
 uwezo wa kuwekeza, watu ambao wanamaslahi yao binafsi
 ila wakatumia rasilimali zao
 kuuaminisha umma kuwa wanapambana kwa maslahi ya
 Taifa.Ni huzuni kubwa, itachukua miaka
 mingi sana kwa Wizara hii kupata waziri thabiti kama Prof.
 Muhongo, kitendo hiki kinaonesha wazi kwamba ukiwa na
 msimamo wa kupambana na mabepari huna nafasi katika
 kuiongoza Tanzania. Wasomi wanaipenda nchi yao ila
 wanakatishwa tamaa kwani siasa za Tanzania hazitoi fursa kwa
 wasomi kuzitumia taaluma zao objectively. Mabepari
 wanapambana kuhakikisha wazalendo wanafutika katika mfumo wa
 serikali.Ili uonekane
 mwanasiasa bora Tanzania Muhitimu wa kidato cha nne anataka
 kusikia kwamba anao uwezo wa kufundisha chuo kikuu kwasababu
 ni mzawa. Watanzania wamezowea viongozi wanaowadanganya na
 kuwapa moyo hata kwenye vitu ambavyo haviwezekani.NITAMKUMBUKA
 MUHONGO KWA:1. Uwazi wake kwa
 Watanzania bila kujali mihemko ya walioukataa ukweli
 2. Kusimamia kazi ya kusambaza umeme vijijini kwa kasi ya
 ajabu 
 3. Kudhibiti tatizo la mgao wa umeme
 4. Uwezeshaji kwa wachimbaji wadogo
 5. Kuweka mbele maslahi ya Taifa dhidi ya maslahi binafsi
 6. Ujasiri wa kukata mirija ya wanyonyaji wizarani bila
 kujali utajiri wao.
 7. Kusimamia kigezo cha kuwa na mtaji kwenye mradi wa gas 
 8. Ni waziri ambaye bajeti zake zilikuwa clear zimejaa
 miradi ya msingi na si porojo za kisiasaKutokuwa tayari
 kuwadanganya watanzania na kuwapa matumaini kwa vitu ambavyo
 haviwezekani, kukata mirija ya mapepari uchwara wa ndani,
 kuwana msimamo kwa anayoyaamini haya ndiyo yaliyomuondoa
 Muhongo. Watanzania tumekubali kuwapa ushindi ni watu
 wabadhirifu waliomuona Prof. Muhongo ni kikwazo kwao
 kwasababu walinyimwa vitalu vya familia kwa maslahi ya
 umma.Any
 way Hongera kwa kazi nzuri, hongera kwa msimamo kwa
 tunaotambua uwezo wako tumesikitishwa na jambo hili. Hakika
 ulikuwa waziri wa kutiliwa mfano wewe ni shujaa uliyesimamia
 na kuitendea haki taaluma yako na kukataa kuburuzwa na
 wababaishaji.Kwa hali hii
 tusitegemee wasomi wengine wa Tanzania ambao wanafanya kazi
 kwenye mashirika makubwa duniani kukubali kuziacha nafasi
 zao kwa kigezo cha uzalendo wa kuja kuisaidia nchi yao
 ilhali nchi inaendeshwa kutokana na mihemko na mfumo haupo
 tayari kuona wala kusikia uhalisia wa mambo.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment