Hakuna haja ya kubishana kuhusu Yes I kuwa Mungu kwani haya ni mambo ya rohoni na hutambulikana Kwa namna ya rohoni.jambo la msingi ksbla ya kutaka kuitafakari biblia ni wokovu.uokoke kwanza ili upate kufunuliwa siri hii vinginevyo somo hili ni gumu.Yesu hatetewi na mwanadamu kwani yeye mwenyewe amejitosheleza keavajabu navmiujiza lakini pia ukisoma Yohanav17:5 inaeleza vizuri utukufu aliokuwa nao Yesu kama Mungu kabla ya kuumbwa Kwa dunia.ndiovmaana ktk Wafilipi sura ya kwanza inaeleza kuwa wengine wanahubiri Kwa nia njema wengine Kwa nia mbaya lakini yeye adumu wa kusminiwa. Inapaswa kwanza umkiri kuwa Bwana na Mwokozi wa ulimeengu kisha update uvuvio hiki kitabu Biblia ni tofauti kabisavna vitabu vibgibe hiki kinaokoa kinatakasa na kuoonya na ukikitafakari Kwa nsmna ya mwili utatoka kapa.kitabu na kwa jina la Yesu miujiza ni kama naji na yeye ni Mungu tangia ulinwengu haujakuweko na ndiocwalisema natumfanye MTU Kwa mfano wetu nk na leobmwanadamu ambaye ni udongo anamdiscus Mungu ambaye nimfinyanzi
Yaani,katika biblia yote..tokea agano la kale mpk jipya Yesu ni Mungu. Soma injili yaYohana 1:1-5... Yesu ni neno naye neno alikuwako kwa Mungu naye neno alikuwa ni Mungu. Soma ufunuo 22: Yesu ni Alfa na Omega. Yaan, kwa msomaji wa biblia..ili useme Yesu sio Mungu unahitaji kwanza uwe na akili kama za Boko haramu..Al-shaabab au za kipinga Kristo. Na yeyeto anayekana uungu wa Yesu, au kwa kujua au kutojua.. anayo roho ya mpinga Kristo ndani yake.....Ngupula.
Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:yesu sio mungu yes mama yake sio mama wamungu sawa fundisho hili linatupelekaje mbinguni?
On Jan 16, 2015 3:44 PM, "'ngupula' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:Hakuna mwaka ambao Yesu alianza kuitwa Mungu. Bali Yesu alizaliwa akiwa Mungu na atabaki kuwa hivyo. Ukitaka kuzijua sifa za Yesu soma Isaya 9:6-10. Kuyajua mafumbo ya Mungu na kuyaelewa ni kipawa cha Mungu. Na kipawa hicho hupewa watoto wa Mungu baada ya kuthibitika kwa Mungu. Mtu mwovu awaye yeyote hawezi kumuelewa Yesu na akidhani anamuelewa, basi anamuelewa vibaya. Kuendelea kuelezea uungu wa Yesu kwa kadamnasi ni kumwaga lulu mbele ya nguruwe na hakuna cha zaidi bali ni kulaluliwa na kuumizwa. .. Ngupula.
Tracy John Kimambo <tracykwetu@gmail.com> wrote:Watu wengi hutangaza hadharani kwamba Yesu ni Mungu hali hiyo hutokana na mtu kutokuwa na Elimu ya kutosha kuhusu chanzo cha Yesu kuitwa Mungu katika nafsi ya Pili .
MASLAHI ya Dunia hii yamewafanya watu wengi wenye elimu kuhusu Yesu kuwa Mungu washindwe kuwaeleza watu ukweli kuhusu Umungu wa Yesu wameamua kuwadanganya makusudi.
Siri zilizomo Kanisani ambazo zinamzuwiya Kiongozi kuwafundisha watu ukweli na nidhamu ya woga iliyojengwa ndani ya Wafuasi inamfanya mtu akubali jambo bila kulielewa kabisa akiuliza husomewa Yohana 1:1-5 na kupewa tafsiri potofu lazima akubaliane na Kiongozi wake hiyo ndiyo Sera ya kudanganya watu na kweli wamedanganyika kama unavyowaona ukimwambia ukweli yuko tayari kupigana na kuuwa mtu, hata hivyo lazima ukweli tuuseme tu kwa kumuogopa Mungu. Mataya 10:26-27.
Kwa kuzingatia umuhimu wa somo hili inabidi tuligawe katika sehemu Nne ili kupata ushahidi wa fundisho la imani ya utatu wa Mungu mmoja. Sehemu hizo ni kama ifuatavyo:-
Matamshi ya Yesu mwenyewe kuhusu Uungu wake. Anasemaje?
Wanafunzi wa kwanza wa Bwana Yesu walimfahamu kwamba ni Mungu au vipi?
Maaskofu waliofuata baada ya wanafunzi wa kwanza tangu Karne ya kwanza hadi karne ya tatu je? Walifundisha vipi kuhusu Yesu.
Imani ya utatu ilivyoanza hadi kuwa fundisho kamili na kanuni ya Wakristo Duniani pote.
Yesu anasemaje katika Injili yake:
Yohana 17:3 imeandikwa hivi – uzima wa milele ndiyo huu wakujue Mungu wa pekee na Yesu uliyemtuma. Katika Aya hii Yesu anasema kwamba ili kupata uzima lazima tumjue kwanza Mungu wa pekee na umjue Yesu Kristo aliyetumwa na Mungu, hapa Yesu hasemi lolote kuhusu yeye kuwa nafasi ya pili ya Mungu ila anakiri wazi yeye ametumwa na Mungu mmoja wa pekee.
Luka 2:40 imeandikwa hivi:- Yule mtoto akakua akaongezeka nguvu amejaa hekima na neema ya Mungu ilikua juu yake.
Katika Aya hii tunaambiwa kwamba Yesu alijaa hekima na neema ya Mungu. Tahadhari ufikirie vizuri kwa makini sababu hapa inayonyesha kwamba bila ya Mungu kumpa neema Yesu asingelikuwa na hekima hii inaonyesha wazi Yesu ni kiumbe aliyeteuliwa na Mungu na hii ni kawaida yake Mwenyezi Mungu kwa Mitume na Manabii wake kuwapa neema na hekima.
Yohana 13:13 imeandikwa hivi:- Nanyi mwaniita Mwalimu na Bwana nanyi mwasema vema maana ndivyo nilivyo. Maneno hayo yatueleza wazi kwamba alikuwa anajua wazi kwamba
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment