Tuesday, 27 January 2015

Re: [wanabidii] Jukwaa la Wakristo lapinga Mahakama ya Kadhi kujadiliwa bungeni

Tanzania kama inataka tuwe kama Nigeria (Kwenye Boko haramu) ama Alshabab huko Somalia waendelee kujadili hili suala la mahakama ya kadhi. Lakini kama kweli wabunge wanaitakia mema TZ waachane na huu ujinga kabisa

On Monday, January 26, 2015, Juma Kongoro <jumakongoro@gmail.com> wrote:

Jukwaa la Wakristo lapinga Mahakama ya Kadhi kujadiliwa bungeni

Dar es Salaam. Wakati macho na masikio ya Watanzania wengi yakielekea mjini Dodoma kesho katika vikao vya Bunge vinayotarajia kujadili Muswada wa Mabadiliko ya Sheria Mbalimbali, Jukwaa la Wakristo nchini limeitaka Serikali isitishe kujadili marekebisho ya Sheria ya Tamko la Sheria ya Kiislam ya mwaka 1964.

Taarifa iliyotolewa na Jukwaa hilo leo inasema Muswada huo unaolenga kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi utasabisha kuvunjika kwa misingi ya Taifa hili kama lisilo la kibaguzi na kufungamana na dini yeyote.

Soma zaidi: http://www.mwananchi.co.tz/…/1597296/2602974/-/pglw3nz/-/in…

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment