Sent from Huawei Mobile
-------- Original Message --------
Subject: Re: [wanabidii] Wanandoa wenzangu nisaidieni kunani hapo?
From: 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
CC:
Mbunda;
Ni kweli muda ni Mwl mzuri sana,lkn shida kwetu binadamu ni kusubiri mpaka muda utimie,hapo kuna suguli ya kuvumilia mateso.
Lakini mara nyingi iwe mume au mke anapokengeuka huwa mwisho ni majuto,matatizo ya ndoa yanatakiwa kumalizwa na wahusika,inapotokea maamuzi ya kuachana yakaonekana ndio suluhu,mwanzilishi Mola humuadhibu vizuri sana.
Hivyo jomba kuwa mvumilivu.
Reuben
Sent from Huawei Mobile
'weston mbuba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Huyo tayari kapata anyemkung'uta vizuri. kuwa mpole kaka. mpe nafasi ila ajue wewe ndo wake. mwisho wa siku ataja gundua kuwa amekosea. by then it will be too late. muda wa kubabaikia mapenzi ulishapita sana.
Huyu jamaa ni muislam si ndio? No problem ...jichunguze sana wewe mwenyewe binafsi....nafikir kama mkeo ni mbinafsi ubinafsi wake ungeujua tangia mwanzoni.......na kama mkeo anakuchukia sasa basi ujue pengine mama mke anachangia tu yapo ya msingi kati yenu yanayomchukiza. ....ushairi wangu ni kuwa kwanza mpotezee huku mkiwa naye.....take your time....explore yourself.....na ukigundua kosa ni lako....jirekebishe....na ikiwa kosa ni lake....mkubalie tu akaenze maisha mapya....lkn wewe kaa peke yako aweza akajirud baadae..............hata hivyo inaoenekana mkeo na kipato kikubwa nawe unakitegemea kusonga mbele kimaisha.... kama ni hivyo.. kwanza jikomboe kwa kumudu bajet ya familia....achana na mapato yake....ukitaka kuyatumia....then iwe kwa remote control and not direct.....
Zablon Joseph <jkiboga@gmail.com> wrote:
-- On Saturday, January 24, 2015 5:14 PM, "'kokulibe@yahoo.com' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Mhhh hapo kuna tatizo. Imekuaje uka conclude kuwa ni maneno ya mama mkwe??? Unajua wanadamu tu wagumu sana kueleweka. Mwaka mmoja mdogo sana kuchokana au kujuana vyema,take time chunguza wapi kuna tatizo. Mmoja asiposhuka ndo ndoa ishaingia doa na shetani anajitwalia utukufu.
Pole sana. Kaeni muongee muwekane sawa. Na huyo kuongea kwa ujasiri kuwa muache atalea mwenyewe si bure.
Sent from my HTC Phone
----- Reply message -----
From: "'ngupula' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
To: "Zablon Joseph" <jkiboga@gmail.com>, <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Wanandoa wenzangu nisaidieni kunani hapo?
Date: Sat, Jan 24, 2015 17:00
From: "'ngupula' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
To: "Zablon Joseph" <jkiboga@gmail.com>, <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Wanandoa wenzangu nisaidieni kunani hapo?
Date: Sat, Jan 24, 2015 17:00
Huyu jamaa ni muislam si ndio? No problem ...jichunguze sana wewe mwenyewe binafsi....nafikir kama mkeo ni mbinafsi ubinafsi wake ungeujua tangia mwanzoni.......na kama mkeo anakuchukia sasa basi ujue pengine mama mke anachangia tu yapo ya msingi kati yenu yanayomchukiza. ....ushairi wangu ni kuwa kwanza mpotezee huku mkiwa naye.....take your time....explore yourself.....na ukigundua kosa ni lako....jirekebishe....na ikiwa kosa ni lake....mkubalie tu akaenze maisha mapya....lkn wewe kaa peke yako aweza akajirud baadae..............hata hivyo inaoenekana mkeo na kipato kikubwa nawe unakitegemea kusonga mbele kimaisha.... kama ni hivyo.. kwanza jikomboe kwa kumudu bajet ya familia....achana na mapato yake....ukitaka kuyatumia....then iwe kwa remote control and not direct.....
Zablon Joseph <jkiboga@gmail.com> wrote:
Pole sana mke ni dhaifu hana maamuzi yake na nyumba yenu inaongozwa na mama mkwe, jinasue mapema ila simamia malezi ya mwanao kwa remote akifika umri muafaka mchukue. upande mwingine hadi kufikia hapo ni wazi kuwa awali ulipuuza maono yako..!
On Jan 24, 2015 11:55 AM, "Herment Mrema" <hmrema11@hotmail.com> wrote:
--Hapo iko shughuli kwani ukishaoa kwenye nyumba ya mama haya ndio matatizo kwani atataka aongoze nyumba yako kwa remote control. Kama mkeo kadiriki kusema uwazi kuwa anaichukia ndoa yako basi huna la kufanya kwani kuishi kwenye ndoa ya huzuni na karaa haina haja. Ningekushauri uende na mkeo kwa mama yake ueleze aliyokuambia mkeo na kama mama mkwe atakuwa anakubaliana a maamuzi ya mkeo ndoa kwishne. Mshirikishe msimamizi wa ndoa na ndugu yako wa karibu katika msiba huu. Pole sana hii ndio dunia na hii ni baadhi ya mkenge unaoweza kutokea mbele ya kila binadamu yeyote.
Herment
Date: Sat, 24 Jan 2015 00:47:05 -0800
From: jumamzuri@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Wanandoa wenzangu nisaidieni kunani hapo?NAOMBA USHAURI WAKO MWANANDOA MWENZANGU:Nimeoa mwaka mmoja uliopita na kubahatika kupata mtoto mmoja.Tatizo linaloisibu ndoa yangu ni kwamba mke wangu ni mbinafsi vibaya sana,awali changu chake ila cha kwake usiguse,pia ni kiburi sana hataki umuelekeze chochote kile sasa hivi inakuwa ugomvi.Baada ya kuchunguza mama Mkwe ndio Mwalimu wa mke wangu kuhusu matatizo yote hayo nikampa ukweli wife kuwa tuna mtoto wa miezi 8 leo unaleta vurugu tuachane kwasababu ya maneno ya mama ako akajibu anachukia ndoa yangu anatamani muda wowote nimuache na yupo tayari mtoto atalea mwenyewe.
Wanandoa wenzangu nisaidieni kunani hapo??Falhan Rahul
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

To unsubscribe from this group and stop receivin --

0 comments:
Post a Comment