Wednesday, 17 December 2014

Re: [wanabidii] KILA LA KHERI JAJI WEREMA

Hivi lini kiumbe hiki kitakuja kuacha kubwabwaja kwenye mitandao kwa habari ambazo hazina mshiko?
Huluka ana msema ukweli, huluka ya kuwalinganisha wengine na ngedere? Mkweli kwa kukataa kata kata hakuna forgery iliyofanyika?
Nawewe wamekupata, ungelikuwa umewapata kuna siku ungelijiuliza hivi nimo kweye right track au laa.



On Wednesday, 17 December 2014, 7:39, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Kam humfahamu mtu. Halafu Happyness Katabazi akasema anamfahamu. Na wewe unamfahamu Happy kama anavyofahamika humu. Basi soma maoni yake utamfahamu mtu huyo. Kwa hiyo sasa hata amboa tulikuwa hatuna uhakika Werema ni mtu wa namna gani sasa tunamfahamu. Nina maana ya methali ya Kiingereza isemayo Tell me your friend i will tell you who you are.

--------------------------------------------
On Tue, 12/16/14, 'Happiness Katabazi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: [wanabidii] KILA LA KHERI JAJI WEREMA
To: "WANABIDII" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, December 16, 2014, 10:11 PM






KILA
LA KHERI JAJI  WEREMANa
Happiness KatabaziLEO
Disemba 16 mwaka 2014, Rais Jakaya Kikwete amekubali
 ombi la kujihudhuru kazi lilowasilishwa mbele yake na
aliyekuwa  Mwanasherika Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Jaji Fredrick Werema .
Jaji
Werema Katika barua yake hiyo ,amesema amefikia uamuzi huo
kwasababu alipokuwa na wadhifa wa Mwanasheria Mkuu wa
serikali alitoa ushauri wake wa kisheria Katika ESCROW,
ushauri ambao Amedai umechafua  hali ya hewa.
Binafsi
namfahamu Jaji Werema Kabla ya kuteuliwa kushika wadhifa wa
Kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali Enzi hizo akiwa Jaji wa
Mahakama Kuu na Ofisi zake zilikuwa ndani ya Jengo la
Mahakama Kuu Kitengo Cha Biashara.
Kabla
ya kuteuliwa Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu, Werema aliwahi Kuwa
Wakili wa serikali hadi kufikia Cheo Cha Kuwa Mkurugenzi wa
Idara ya Katiba na Haki za Binadamu.
 Nilipokuwa
Mwandishi wa Habari za mahakamani kwa Miaka 15 nilipata
fursa ya kupigana nae vikumbo na Werema kwenye korido za
Mahakama na hadi  alipoteuliwa Kuwa Jaji nilikuwa
naingia kusikiliza na kuripoti Kesi ambazo alikuwa
akizisikiliza na kuziamua.
Aidha
Jaji Werema alipoteuliwa Kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali
pia nilikuwa nikiandika hotuba mbalimbali aliyokuwa akizitoa
na kufanya naye mahojiano mbalimbali.
Namfahamu
Werema Kama ni miongoni Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambaye
alikuwa na hulka ya Kupenda kufanya mambo yake kwa uwazi,
kujiamini hulka ambayo ilikuwa ikiwakera baadhi ya watu
ambao hawataki kuambiwa ukweli kuhusu mambo
Fulani.
Tuliomfahamu
hulka hiyo ya Jaji Werema wala halikuwa hatupi Shida ,na
tulimpenda  Kwani yeye alikuwa akipenda kutoa ushauri
mapema wa jambo Fulani la kisheria Kabla hata watu
hawajaamua kunifikisha mahakamani.
Ushahidi
mmoja wa Jaji Werema Kuwa na hulka hiyo ya uwazi, na ukweli
ni Kipindi kile wanasiasa uchwara walivyoshikilia
 Bango  kuishinikiza serikali ikafungue Kesi
Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga kulipa fidia ya Tuzo
ilishinda kampuni ya Dowans dhidi ya Tanesco Katika Mahakama
ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Migogoro ya Kibiashara
ICC.
Jaji
Werema kwa zaidi ya Mara mbili ndani ya Bunge nje ya Bunge
alijilipua NA Kusema kwa mujibu wa Sheria ,serikali hata
ikienda Mahakamani kupinga Dowans Isilipwe haitaweza
kushinda kwa Sababu Katika Mkataba baina ya Tanesco na
Dowans ,pande hizo mbili zilikuwa liana endapo
wakikoroishana watakushinda kushitakiana Katika Mahakama
Moja tu ya ICC.
Lakini
wanasiasa uchwara waliipuuza ushauri wa AG- Werema na
Kuishia kumtolea maneno ya kebehi .Wanaharakati , Tanesco
wakafungua Kesi Mahakama Kuu Kanda ya Dar Es Salaam,kupinga
Dowans Isilipwe, Kesi Yao ikatupwa.
Hawakurudhika
,wakakimbilia Mahakama ya Rufaa huko nako Mahakama ya Rufaa
Mahakama ikatupilia Mbali rufaa Yao. Dowans ikalipwa Fedha
zao,na wasiasa Hao HIvi sasa wapo kimya.
Nakutakia
kila la Kheri Mtani wangu Jaji Werema huko uendako unakoenda
kuanza Maisha mapya. Mungu ndiye aliyeruhusu upate Cheo Cha
Uanasheria Mkuu wa serikali na katika uamuzi wako wa Leo wa
kujiudhuru Cheo hicho pia naamini Kuwa ni Mungu pia
ameruhusu uchukue uamuzi huo.
Hivyo
ni Mungu Huyo pia aliyekuruhusu uachie madaraka hayo ,pia ni
Mungu Huyo Huyo atatumia njia zake Kukupatia nafasi  
nyingine ambayo uenda ikawa ni nafasi nzuri kuliko hiyo ya
Uanasheria Mkuu wa Serikali wa Tanzania ambayo  hata
watu wasiyo na taaluma ya Sheria nao wamejigeuza
Wanasheria.
Tungali
tukikumbuka yaliyomkuta Werema Katika Escrow ,pia yanafanana
na yaliyomkuta aliyekuwa Mtangulizi wa Werema, Johnson
Mwanyika.Mwanyika alikuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali naye
jina lake lilichafuliwa sana na wanasiasa na wananchi Katika
Sakata la Richmond.
Lakini
Mwanyika hakujihudhuru aliweka Pamba masikio hadi muda wake
wa kustaafu kwa mujibu wa Sheria Ilipofika alistaafu. Kila
lakheri Jaji Fredrick Mwita Werema na Mungu akutangulie
katika Maisha mapya.
Mungu
Ibariki Tanzania.
Chanzo:
Facebook.Happy KatabaziBlogg: www.katabazihappy.blogspot.com0716
774494.Disemba
16 Mwaka 2014
Sent from my iPad



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.



--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment