Wednesday 31 December 2014

Re: [wanabidii] TUTAONDOA ADA YA SEKONDARI IFIKAPO 2016 - JK

Hii utakuwa safi sana. Tena nafikiria kuwa ili kuharakisha utekelezaji wangeulizwa CHADEMA ambao ndio waanzilishi wa sera hii.
--------------------------------------------
On Wed, 12/31/14, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:

Subject: [wanabidii] TUTAONDOA ADA YA SEKONDARI IFIKAPO 2016 - JK
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, December 31, 2014, 10:11 PM

Jambo jipya sana na
la kihistoria katika Sera mpya ya Elimu ni dhamira ya
Serikali ya kuondoa ada katika elimu ya sekondari kuanzia
mwaka 2016. Mpaka sasa hatuna ada kwenye shule za msingi,
sasa wakati umefika kufanya hivyo pia kwa elimu ya
sekondari. Kwa mujibu wa maelezo hayo ya Sera, nimekwishatoa
maagizo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Wizara ya
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Wizara ya Fedha na
Tume ya Mipango kuanza kutafakari namna jambo hilo
litakavyotekelezwa - Rais Jakaya Kikwete katika Hotuba ya
Kuaga Mwaka 2014 




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment