Tuesday, 30 December 2014

Re: [wanabidii] Who is Happy Katabazi?

Mimi naona kuwa kama alivyosema Pasco na kuongezewa na Jabir ni kweli basi inabidi wahariri wabadilike ili kuendelea fani ya uandishi wa habari nchini. Uandishi ni fani na inabidi wote wanaoingia huko wajue taratibu zake ili kuifanya ipendwe na wadau. Sasa kama wahariri wanawabeba waandishi kwa kuwafanyia kazi hapo hawaitendei haki fani bali wataiua kwa sababu hawatakuwa wameacha warithi wa kuiendeleza. Ushauri wangu ni kwa wahariri kuwasaidia waandishi wanaochipukia kufikiria kiwango walichonacho na watakuwa wameitendea haki fani kwa kuwaendeleza waandishi mahiri siku za usoni.

Ken

Sent from my iPad

On Nov 7, 2014, at 19:04, 'jabir yunus' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Beda, wanabebwa waandishi wanawake na wanaume, hakuna ubaguzi unaotaka kuujenga hapa. Wahariri wanahariri kazi za maripota wao. Na hiyo ndio moja ya kazi ya msingi ya Mhariri. Mengine ni matokeo ya kuwa mhariri.

Ni sawasawa na ofisa mbobezi ktk ofisi ya umma au nyingine yoyote, kumfundisha kazi mwajiriwa mpya kutoka chuo. Anamfundisha.

Tatizo ni anaefundishwa, anafundishika? Wala siamini kama Wahariri alikopitia Happy walimfundisha kuandika utovu wa adabu. Anamuita mtu mzima hana analo? Tunaandika na kuwasema viongozi, yana kiasi hasa kwa lugha ya kutumia!

Jabir+

From: Joseph Beda Rupia <rupia.joseph@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, November 7, 2014 6:51 PM
Subject: Re: [wanabidii] Who is Happy Katabazi?

Kaka Misango, kwa mfano makala hayo (kama kweli yanastahili kuitwa makala) yangeletwa mezani kwako, ungeyatumia gazetini au ungefanya kama alivyosema kaka Pasco?

Unaweza kumjibu kaka Pasco kwa dongo alilolitupa kwa editors kwamba 'mnawabeba waandishi wa kike'?

2014-11-07 18:31 GMT+03:00 'Charles Misango' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

Balile sidhani kama Katabazi busara hiyo anayo. Kwa matusi aliyomtukana mzee Warioba katika makala yake kwa mtu uliyelelewa na wazazi kikamilifu, ukafundishwa kujiheshimu na kuheshimu watu, tena ukasoma vizuri tu taaluma ya uandishi wa habari, kamwe lazima uwe na adabu unapowasilisha hoja yako.

Nimeshangaa sana, makala hii ambayo ametukana hata wale waliojaribu kumsaidia ili aweze kuwasilisha mawazo yake. Mimi sijawahi kuona andiko la kusikitisha sana kama hili kutoka kwa mwandishi yeyote makini kwa miaka 25 nikiwa ndani ya taaluma hii.

Basi kama Neno la Mungu linavyosema, 'mtu akionywa akashupaa, ataanguka katika anguko kuu' Basi, sisi kama kaka zake kiumri na kitaaluma, na wengine tulikuwa wakubwa zake kikazi, tumetimiza wajibu wetu. Tumemkanya kuhusiana na lugha za matusi na kashifa anapowasilisha mawazo yetu. Tumemsihi kuepuka la lugha za kudhalilisha watu, maana sio lazima uzitumie ndipo ueleweke, hakusikia. Sasa anamshukia mzee Warioba kwa lugha chafu utadhani hakuzaliwa na wazazi. Nimesikitika sana!
Ila niseme kitu. Kama kuna mtu anamtumia, basi anakosea sana. Tukumbuke kuwa ngoma ikivuma sana........"
Alamsiki Katabazi

On Friday, November 7, 2014 5:39 PM, 'deobalile' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Happy salaam,

Maneno ya Misango yamesheheni busara. Yasome angalau mara 3 hivi. Ukiwa peke yako na ikibidi usiku wa manane na alfajiri kabla hujafanya kazi nyingine kisha yatakuwa nguzo ya kuboresha kazi zako.

Niongeze kwa ufupi tu, kuwa ukiandika kazi yako isome tena kabla ya kuiweka jamvini na ikikupendeza mpe rafiki yako aipitie kabla hujaituma, kisha uipitie kuona aliporekebisha na uitume.

Ukifanya hivyo miezi mitatu tu, nakuhakikishia hutoona yeyote akikushambulia. Kila kukicha tunajifunza angalau jambo moja.

Balile

Sent from Samsung Mobile

-------- Original message --------
From: 'Manace Nkuli' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Date: 08/11/2014 12:54 AM (GMT+03:00)
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Who is Happy Katabazi?

Charles Misango......very nice reaction! Let me stay silent........but the madam is very ignorant...

Sent from my iPhone

On Nov 7, 2014, at 02:19, 'Charles Misango' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Katabazi, weka akiba ya maneno. Ujasiri, weledi, ugwiji na umahiri wako katika uandishi ama misimamo unaonekana katika kujibu na kujenga hoja. Kwa hiyo, kwa majibu ya kutukana watu eti wanaume kasoro, sijui ndio ujasiri wa kabila gani, wa taaluma gani?

Ungejua watu wanachopinga sio mawazo yako, bali hata tu kule kuandika kwako, unavyochanganya herufi, aina ya mtiririko wa uandishi, unavyojenga basi hayo unayoyaita mawazo ya kizalendo nk. Ona hata unaposema utarekebisha makosa ya uchapaji , bado umeyarudia tena sana tu. Sasa unajivuna vipi kuwa mwandishi mahiri sijui wa miaka na miaka?

Mdogo wangu mpendwa, tujifunze kujifunza kupitia hata kwa wanaotukosoa na wasiotaka mawazo yetu. Ukisema wasiopenda kusoma waache, sasa umekuwa Mungu weye kwamba kila usemalo watu walikubali? Huyu Mungu mwenyewe akituletea mvua usiku, wapo wanaolalamika, akileta mchana, pia kelele, akisema iwe jioni basi shida. Itakuwa siye mama?

On Friday, November 7, 2014 12:49 PM, 'Happiness Katabazi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Salaam, asanteni sana wote waliosoma nakuchangia maoni Yao ,Nawashukuru silioni pongeza naninawashukuru walionikosoa Kuwa makala Ina makosa ya kisarufi ni kweli wakati mwingine makala zangu zinakuwa na Kasoro ya kisarufi nakubali NA jina jitahidi sana kukwepa mapungufu hayo kadri ya uwezo wangu NANINAENDELEA kufanya hivyo. NA KWA wale wenye Maradhi ya kukerwa NA makala zangu ambazo wanaona haziwafurashi pole Yao ,wasisome Kwani sijawashikia bastora kuwalazimisha wasiri some. Ila nawashauri wasitoe maneno ya kipuuzi dhidi yangu ambayo hayalengi kuikosoa au kuboresha makala zangu Kwani hadi wasaidii na haitakaa iwasaidie Kwani Mimi ni mwanamke jasiri, ninayejihamini Katika mambo yangu yote ninayofanya na siyumbishwi wanaume kasorobo ambao badala ya kujadili mada ninayoiweka wanatoa maneno ya shombo.hawanitisi hata chembe nawaakikishia wasomaji wangu nitaendelea kuandika makala zenye weledi NA reference.na Hao wanajipa jukumu la Kusema makala zangu ni za onyo wazandike zao tuzione.mnajisumbua bure NA Mkae mkijua MUNgu amemleta kila MTu Duniani afanyekazi aliyotuma afanye namimi MUNgu amenileta hapa Duniani nifanye kazi ya uandishi wa Habari.Sasa sijui Nyie ninani mnaweza kulizuia Hamuwezi. mAana hata hukumu zinazotolewa NA Majaji,Mahakimu hata Katiba Pendekezwa ilibainika ina dosari za kisarufi, Katabazi makala zake Kuwa dosari za kisarufi iwe nongwa. Mbaya zaidi ni baadhi wanaume ambao mimi nawaita wanaume kasoro wanajitokeza kunitolea maneno ya shombo.Hivi mnajifahamu vizuri au mnanisikia?sijaanza Leo kufanyakazi hii Mkae mkijua NA ushahidi wa Hilo upo wazi.Naaidi kulitumikia nchi yangu KWA kutumia Karamu bila kumuonea MTu wala kupendelea MTu naninazingatia Sheria za nchi.na anayeona makala yangu inamapungufu ya kisheria NA ya ataje.

Sent from my iPad

On Nov 7, 2014, at 10:43 AM, "'flein47' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

K.E.M.S tusiporekebishana sisi hakuna wa kuturekebisha. kwa kuwa mwandishi wa magazeti serous huyu dada anahitaji improvement kubwa sio siri.

Hatuwezi kumkana Happy tukiwa kwenye mataifa mengine kuwa si mwenzetu ndg yetu Dada yetu na mtanzania mwenzetu. Ila pia mchuma janga hula na wa kwao yaani na aibu yake itakuwa yetu.

Kun haja gani kumwambia mtu ajirekebishe? hatutaki aache uandishi hapana ila aongeze ubora wa kazi. mbona makosa anayorekebishwa mengine ni ya kizembe yangesahihishwa kwa proof reading tu. sasa unatoaje kazi itakayosomwa na mamia au maelfu ya watu but haina kiwango??

K.E.M.S huo si upendo wa kweli nahisi ni ushabiki ambao utamuua Dada ktk fani

'Manace Nkuli' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Very true Omar!

Sent from my iPhone

On Nov 6, 2014, at 21:22, 'ezekiel kunyaranyara' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Kaseko,

Happy is a good and progressive  journalist. It is unfortunate that, she is writing what you do not want to hear.

Keep it up Girl such that we are able to hear and read thereafter we will compare and contrast both sides of stories.

K.E.M.S.

From: Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, 6 November 2014, 23:47
Subject: Re: [wanabidii] Who is Happy Katabazi?

Haya Happy endelea na uandishi wako wa jabu ajabu kiukweli hauvutii

On Thu, Nov 6, 2014 at 12:58 PM, Steria Cosmas <steriac@gmail.com> wrote:
I concur and agree with you Kaseko by 100%?!
On 6 Nov 2014 21:34, "Kaseko" <omarykaseko@gmail.com> wrote:
Hello,

I have been reading posts from someone called Happy Katabazi recently. I heard she is among the respected journalists in Tanzania. Frankly speaking, we need to change journalism industry in Tanzania if we want our country to grow. We need to push people like Happy Katabazi to get more knowledge and education. What and how she writes is not journalism, it's something else, something I don't now and I can't explain.

Our country can't move forward with this type of journalism. May be this is acceptable back home but there is no way we can progress internationally with that mediocre journalism.

It's the whole system, it's not only Happy Katabazi, we need to look more into education system and how we produce journalists. Any serious organization outside of Tanzania can't hire someone who writes like that and this is where we know we have failed as a country. This is not an attack on Happy by any means but we can use this example and see how we have failed. We need to do more when it comes to education. I'm sure with more knowledge, education and understanding Happy will turn to be one of the best but right now she badly need help.

Regards,

Omar Kaseko
Kali TV Founder/Producer
http://www.kalitv.com
240-374-2192
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

To unsubscribe from this group and stop

0 comments:

Post a Comment