Friday, 6 September 2013

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] Wabunge wa CCM ni sikio la kufa

Ni kupoteza muda kujadili kigwa, dogo ni corrupt kupindukia. Hana
ajenda wala nini na zaidi ya yote si mtanzania

On 9/5/13, Ansbert Ngurumo <ansbertn@yahoo.com> wrote:
> Nimesikiliza Hotuba za wabunge wa CCM katika mjadala wa jioni. Wote walikuwa
> wanajadili wenzao wa upinzani badala ya kujadili vifungu vya Rasimu ya
> Sheria wanayong'ang'ania kutunga. Nimesikia mipasho na matusi ya
> Kigwangallah dhidi ya wabunge wa Chadema. Hadi muda wake unaisha, alikuwa
> hajachangia lolote kwenye muswada, huku akilaumu wenzake eti wamekataa
> kufanya kazi yao ya kutunga sheria. Je, yeye ameifanya saa ngapi?
>
> Lililo dhahiri ni kwamba CCM hawataki Katiba Mpya, ndiyo maana
> wanang'ang'ania mawazo yale yale. Hawana nia njema na mchakato. Ndiyo maana
> hawataki kusikiliza wenzao.
>
> Bahati mbaya bado wanadhani wananchi wanwasikiliza. Wahenga walinena, sikio
> la kufa halisikii dawa. Wasubiri matokeo.
>
> Ansbert Ngurumo
> Existential Philosopher, Musician, Journalist & Media Manager
> Vox Media Centre & Free Media
> Tanzania
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>
> TEMBELEA Facebook yetu:
> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>
> For more options, visit this group at:
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Mabadiliko Forums" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
> To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
> Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment