Tuesday, 10 September 2013

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] ICC inaendelea dhidi ya Ruto, Sang

Mashaka,

Unavoandika ni kana kwamba Ruto na Sang wametuhumiwa bila sababu !!!  Waelewa lakini vilivotendeka Kenya wakati huo?

Acha nikunukuu:

"Lakini bila shaka hawa wazungu watashindwa kwa uovu wao dhidi ya Waafrika."

Really?  Waliowatendea maovu na kuwaua waKenya kwenye ghasia za baada ya uchaguzi ni wazungu?

Kaka Mashaka, tafadhali, jiepushe na kuandika upuuzi.



Courage


"


2013/9/10 Mashaka Mgeta <mgeta2000@yahoo.com>
Shauri la jinai dhidi ya ubinadamu linalomkabili Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto na mwandishi habari Joshua arap Sang linaendelea ICC. Unaweza kufuatilia kupitia TV zote za Kenya, zinaonekana kwenye Vingamuzi mbalimbali.

Lakini bila shaka hawa wazungu watashindwa kwa uovu wao dhidi ya Waafrika.

Ingawa ni hivyo, inabidi Afrika ijifunze na kutoingia mikataba isiyokuwa ya kibinadamu. ICC kwangu ina maana ikiwa ingekuwa Mahakama ya rufaa duniani, kwamba baada ya kesi za mahakama za kikanda, basi kimbilio la rufaa lingekuwa ICC.

Kila la heri William Ruto na Sang, Mungu atawavusha kupitia `daraja la ukweli' muondoke salama ndani ya 'msitu wa maangamizi' kwa Waafrika.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment