Wednesday, 4 September 2013

[wanabidii] Re: John Okello na mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964



2013/9/4 Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com>
Katika kufuatilia historia ya Zanzibar nimekutana na vyanzo vya habari vinavyoonyesha kwamba John Okello ndiye alikuwa  kiongozi mkuu wa mapinduzi. Inasemekana wakati wa mapinduzi hayati Abeid Karume na A. Babu walikuwa Tanganyika na hawakujua chochote kuhusu mpango wa mapinduzi.
 
Pia, inasemekana kwamba huyu John Okello alifukuzwa nchini mara baada ya mapinduzi yale.
 
Swali: kwanini katika historia tunayofundishwa shuleni huyu John Okello hajulikani? Kulikuwa na sababu gani za kufukuzwa kwake? Je Okello alikosea kuwapa madaraka karume na Babu? Ingekuwa vipi kama yeye Okello angelikuwa Rais wa Zanzibar?
 
Inasemekana kuna kitabu cha mapinduzi ya Zanzibar kilichondikwa na John Okello (pia kinaelezea alivyofukuzwa nchini); Nakala zake "ngumu" zinapatikana wapi?
 
 
The Zanzibar Revolution & Genocide 1964 http://www.youtube.com/watch?v=xFdfDBJge2M
 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment