Ndugu zangu,
Juzi Septemba 19, Mjengwablog iliazidhimisha Siku ya Kuzaliwa kwake. Kwa niaba ya Timu nzima ya Mjengwablog, natumia fursa hii kuwashukuru nyote mlioshiriki kwa njia moja au nyingine katika kuadhimisha siku hiyo.
Salaam zenu za pongezi ilikuwa ni kama mafuta yaliyoongezwa kwenye gari yenye kuhitaji mafuta, na iliyo kwenye safari ndefu.
Ahsanteni sana.
Maggid Mjengwa.
Mwenyekiti.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment