Shikamoo
Kwa jina naitwa Manka Mushi. Ninamiaka 29. Elimu yangu ni ya kidato cha nne. Naishi Dar es Salaam. Kwa heshima na unyenyekevu, naomba kuwasilisha maombi ya kazi katika kampuni au biashaya yako kwenye kitengo cha mauzo, huduma kwa wateja au keshia. Kujituma, bidii, nidhamu ya kazi na uchangamfu ndio sifa zangu kuu. Kiko tayari kwa usaili muda wowote. Nimeambatanisha maelezo yangu binafsi.
Wako mtiifu
Manka Mushi
0 comments:
Post a Comment