Sitta,
Tanzania haina chochote cha kufaidi kwenye muungano wowote wa kisiasa Afrika Mashariki. Tanzania haihitaji chochote kutoka nchi yoyote Afrika Mashariki. Kwanza ni wao wanaohitaji Tanzania. Siwezi kufafanua zaidi lakini ndio ukweli huo. Ningelikuwa Tanzania, ningjihadhari sana na hii mipango ya muungano wa kisiasa. Kiuchumi ndio, lakini si wa kisiasa.2013/9/20 sitta peter <sittapeter@yahoo.com>
--Wapendwa Wanabidii,Naomba mnisaidie kupata ufafanuzi juu ya mambo kadhaa kuhusu mtangamano wa Afrika Mashariki kama ifuatavyo?
- Hivi kuna tofauti gani kati ya Jumuiya ya Afrika Mashariki na Shirikisho la Afrika Mashariki?
- Katika mchakato wa mtangamano wa Afrika Mashariki (East African Integration) Watanzania katika makundi mbalimbali ya kijamii, kiuchumi na kisiasa wamenufaikaje na mtangamano huo?
- Kuna haja ya nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashairiki kuingia kwenye ushirikiano wa kisiasa na kifedha? Mnadhani kunaweza kuwa na manufaa gani mahsusi kwa Watanzania?
- Kuna mambo yoyote ambayo yatatia hofu kwa Tanzania na Watanzania kuingia kwenda mbali zaidi kwenye huu ushirikiano?
Asanteni sana?Sitta Peter
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:
Post a Comment