Yona Maro
kwa nini tumjadili Lowassa kuhusu Urais ambao na wewe umeandikwa 'anatajwa'. Tuambie kwanza 'anatajwa' na nani?
Pili, tunafikia mahali pa kumjadili mtu katika taifa lenye changamoto nyingi zinazohitaji michango ya watu kama unaowauliza swali hilo ambalo binafsi (niwie radhi kwa hili) naliona halina mantiki yoyote.
Mzee Joseph Butiku, aliwahi kuzungumza kwenye mjadala mmoja katika ukumbu wa Nkurumah, UDSM, akasema, "Kiongozi bora ataonekana kwa maneno na matendo yake, akijiibua kupitia njia hizo na umma kumuona anawafaa pale Uchaguzi Mkuu unapowadia."
Hapo alikuwa akijibu hoja iliyotolewa siku hiyo na January Makamba, aliposema Rais wa 2015 asiwe aliyezaliwa nyuma ya 1961 (mwaka Tanganyika ilipopata Uhuru), akimaanisha awe kijana.
Sasa wewe tukishayajadili mema ama mabaya ya Lowassa, ili iweje? Asipogombea ingawa anatajwa, mjadala huu utakuwa na maana gani?
Ninashauri Lowassa aachwe atekeleze wajibu wake kwa umma kama wengine wanavyofanywa, ili siku itakapofika, avune kwa kadri ya mbegu alizozipanda. Ndivyo inavyotustahili wote.
Mashaka Bonifas Mgeta
From: Yona Fares Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, September 2, 2013 1:43 AM
Subject: [wanabidii] URAIS 2015 – MATATIZO YA EDWARD LOWASSA
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Ndugu zangu ,
Mhe Lowassa ambaye ni waziri mkuu wa zamani wa Tanzania ametajwa mara kadhaa kutaka kugombea urais wa Tanzania kupitia CCM .
Pamoja na mazuri yote aliyonayo kama kiongozi bado kuna yale mengi tusiyajua kama kiongozi tunapenda tufahamishane wewe kama Mtanzania unaona matatizo gani ukumtazama Edward Lowassa , ukimsikia au ukisoma kuhusu yeye ?
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment