Friday, 20 September 2013

Re: [wanabidii] Tamko la wizara ya mambo ya nje juu ya balozi wa china kushiriki shughuli za Siasa ndani ya Tanzania

Orao
These rules are irrelevant if we are to assume that our country is democratic and adhere to the principles of law and good governance. Complying to such rules we are downsizing the country's top management/administration to family level

2013/9/20 orao.sylvester1 <orao.sylvester1@gmail.com>
Ingelikuwa CHADEMA ndo wamefanya political blunder hii 'msajili' wa vyama angeshusha nyundo kabla balozi kupewa 24 hrs notice! 
Rule no.1: The boss is always right
Rule no.2: When the boss is wrong, refer rule no.1!

Sent from Samsung tablet

-------- Original message --------
From: Clement Oginga <cloginga@gmail.com>
Date: 20/09/2013 7:30 PM (GMT+03:00)
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Tamko la wizara ya mambo ya nje juu ya balozi wa china kushiriki shughuli za Siasa ndani ya Tanzania

Mngonge,

Huyo balozi wa Uchina angalihudhuria sherehe za CHADEMA angalitimuliwa siku hiyo hiyo bila shaka. Lakini bahati yake ni kwamba ni chama tawala ndicho kilichohusisha. Bahati kama mtende huyo balozi.

2013/9/20 mngonge <mngonge@gmail.com>
Naipongeza wizara ya mambo ya nje kwa kujitokeza na kutufafanulia sheria hiyo. Siamini kama balozi huyo kajipendekeza mwenyewe kwenda kwenye shughuli za chama lazima kaalikwa na uongozi wa CCM. Je ni hatua gani na pengine ni nani atawajibishwa au kuwapeleka mahakamani watu hao waliovunja sheria ya nchi. Balozi anaweza kuchukuliwa hatua au kupewa onyo hata kama atajitetea kwamba hakujua lolote kuhusu sheria hiyo (kutojua sheria siyo kinga).

Lakini je hao waliompa kofia na kumkaribisha kwenye shughuli zao za kisiasa wanachukuliwa hatua gani? Wengi tunajiuliza kama ingekuwa ni chama cha upinzani kimevunja sheria wazee wa intelijensia na usalama wangekaa kimya hadi sasa hivi?  Wazee wa nambari wani munachemsha sana maana nyie mulifikiri ni ujiko kumwalika huyo balozi kumbe ndo munazidi kujitia matatani na kuipa mtihani mgumu serikali ya JK

2013/9/18 Clement Oginga <cloginga@gmail.com>
Huyo balozi wa China haendi popote. Ni serikali ndio inawezaq kumtimua na chama tawala, CCM, diyo walomualika kwenye sherehe zao. Hawawezi kumtimua; kwa hivo, balozi haendi popote. Case closed.
Hili tamko ni PR tu.

2013/9/18 Yona Fares Maro <oldmoshi@gmail.com>
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imefuatilia taarifa kwenye vyombo vya habari mbalimbali hapa nchini, kuhusu kushiriki kwa Mheshimiwa Lu Younqing Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China hapa nchini kwenye mkutano wa hadhara ulioandaliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika huko Shinyanga, mwishoni mwa juma lililopita.

Taarifa hizo zimeambatana na picha zinazomuonyesha Mheshimiwa Lu akiwa amevaa kofia yenye nembo ya CCM. Habari zinaeleza kuwa Balozi alikwenda Shinyanga kuhudhuria uzinduzi wa mradi wa viwanda vya kuchambulia pamba vinavyojengwa na mwekezaji wa Kichina anayeitwa Tahong, na viwanda hivyo vita kuwa na uwezo wa kuchambua tani 120,000 za pamba kwa mwaka, vitakapokamilika mwakani.

Wizara inatambua mahusiano mazuri yaliyopo kati ya Jamhuri ya watu wa China na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na vilevile inatambua kazi nzuri ambayo Balozi Lu Younqing amekuwa akifanya toka alipowasili nchini Tanzania. Kutokana na tukio hili, Wizara inapenda kuelekeza kwamba kitendo cha Balozi yeyote kuhudhuria mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa na kuvaa sare zenye nembo ya vyama vya siasa sio sahihi na kinakiuka Kifungu cha 41(1) cha Mkataba wa Vienna wa mwaka 1961, unaoongoza uhusiano wa kidiplomasia. Mkataba huo wa Vienna unazuia wawakilishi wa nchi za nje kujihusisha na masuala ya ndani ya nchi ikiwemo siasa wanapofanya kazi zao kwenye nchi za uwakilishi. Aidha, Sheria ya Diplomasia ya Tanzania ya Mwaka 1986 ambayo ni zao la Mkataba wa Vienna pia hairuhusu Balozi au mfanyakazi wa Ubalozi kujihusisha na masuala ya ndani ya nchi.

Itakumbukwa kwamba, katika kipindi cha mwaka 2010 hadi 2012 Wizara ilikumbana na vitendo vinavyofanana na kitendo hiki na ikachukua hatua stahiki. Na kwa tukio hili pia Wizara imechukua hatua za kidiplomasia zinazostahili ili kuzuia jambo hili lisitokee tena.

IMETOLEWA NA:
WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
18 Septemba, 2013
Dar Es Salaam.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment