Tuesday, 3 September 2013

Re: [wanabidii] Re: URAIS 2015 - MATATIZO YA EDWARD LOWASSA

Mwasaga

Unakumbuka mwanzoni mwa mwaka huu kuna wanafunzi waliopitia shule za kata na kumaliza vyuo walimualika mhe lowassa katika halfa naye akaenda wakamsifia kweli kwa kuonyesha kwamba katika suala hili yeye anawajibika moja kwa moja sasa kwanini tumuondoe kwenye suala hili na pia kwa kuwa alikuwa kiongozi wa juu kipindi hicho na anatekeleza ilani ya chama kama unavyosema basi anawajibika moja kwa moja kwa kuvurunda kwenye mpango huu wa shule za kata .

Wakati ukitafakari hilo kuna suala la mvua za lowassa alizoahidi kuzalishwa na wataalamu fulani toka bara asia .

On Tuesday, September 3, 2013 9:24:00 PM UTC+3, Bariki Mwasaga wrote:

Yona

Kwanza hakuna shule za kata ktk mgawanyo wa Shule za Sekondari nchini. Classification hii siyo rasmi.

Pili yeye alihimiza ujenzi wa hizi Shule lakini akiteleza ilani ya CCM. Na pia utekelazi huo ulikuwa ni sehemu ya Programu ya MMES. Isitoshe ilikuwepo Wizara ya Elimu kama mdau mkuu ktk kutekeleza hii programu sasa kwanini ENL aonekane chanzo cha matatizo wakati yeye amedumu ndani ya uongozi kwa muda wa miaka 2 na miezi michache. Elimu ya Sekondari huwa miaka 4

On Sep 3, 2013 8:31 PM, "Mathias Buberwa Rupia" <Mathia...@tz.sabmiller.com> wrote:

Kimaumbile na kauli zake nimzuri  pamoja na utendaji kazi wake

Lakini tatizo kubwa  lake    anaonekana  kama  mtu  wa  kulipiza visasi pili  na  akikutana  na  hela mmmmmmm

Tatu    hatujui  hizi hela  ana zotoa  kama  njugu atazirudishaje?   aonyeshi uaminifu   kutuonyesha  ni jinsi gani  tatizo lilivyotokea  la richimond

Ili watanzania tujue  asante

From: wana...@googlegroups.com [mailto:wana...@googlegroups.com] On Behalf Of Yona Fares Maro
Sent: Tuesday, September 03, 2013 5:51 PM
To: wana...@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Re: URAIS 2015 – MATATIZO YA EDWARD LOWASSA

ndugu zangu 

Mnaonaje kuhusu mradi wake wa SHULE ZA KATA  ambo umechangia kuzalisha vijana ambao sio compitent katika soko la ajira ndani ya nchi na jumuiya ya afrika mashariki kwa ujumla ? 

On Monday, September 2, 2013 1:43:09 AM UTC-7, Yona Fares Maro wrote:

Ndugu zangu ,

Mhe Lowassa ambaye ni waziri mkuu wa zamani wa Tanzania ametajwa mara kadhaa kutaka kugombea urais wa Tanzania kupitia CCM .

Pamoja na mazuri yote aliyonayo kama kiongozi bado kuna yale mengi tusiyajua kama kiongozi tunapenda tufahamishane wewe kama Mtanzania unaona matatizo gani ukumtazama Edward Lowassa , ukimsikia au ukisoma kuhusu yeye ?

--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

______________________________________________________________________
This email has been scanned by the Symantec Email Security.cloud service.
For more information please visit http://www.symanteccloud.com
______________________________________________________________________

CONFIDENTIAL NOTE:
The information in this E-mail and any attachments transmitted are originated by SABMiller or any of its subsidiaries companies, is intended to be privileged and/or confidential and only for use of the individual, entity or company to whom it is addressed. If you have received this e-mail in error please destroy it and contact the sender. If you are not the addressee you may not disclose, copy, distribute or take any action based on the contents hereof. Any total o partial unauthorized retention, dissemination, distribution or copying of this message is strictly prohibited and sanctioned by law

--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment