Friday, 6 September 2013

RE: [wanabidii] RE: URAIS 2015 - MATATIZO YA EDWARD LOWASSA

Geofrey,

Kwa watu wenye mapenzi mema na Tanzania yetu hii mtu kama Lowasa sio ambaye anatufaa kwa wakati huu.  Ukiangalia kwa makini chama kimegawanyika kwenye makundi, watu wamekata tamaa, nchi imepoteza muelekeo na matumaini.  Hata akipata uraisi atapata shida sana ya kutawala kwani itakuwa serikali ya kujibu mashambulizi, kutibu majeraha, kukamiana na kukomoana na haya yote yatafanya nchi hii isisonge mbele.

Tuombe Mwenyezi Mungu atupe kiongozi atakayetufaa kwani Mungu ndio mjua yote na bila Mungu hakuna kinachowezekana

Ahsante

Herment

Date: Thu, 5 Sep 2013 17:00:33 +0100
From: ngupula@yahoo.co.uk
Subject: Re: [wanabidii] RE: URAIS 2015 - MATATIZO YA EDWARD LOWASSA
To: wanabidii@googlegroups.com

Uraisi ni wa Lowasa ndugu zanguni.Tanzania ya sasa inamhitaji Lowasa na sio kibaraka yeyote yule..Ni mtu mwenye mtazamo wa kiuchumi,nguvu ya maamuzi,na jasiri ndiye anayeweza kutusaidia watanzania. Na huyo sio mwingine bali ni Lowasa pekee. Njooni mtaani wandugu,hata watanzania wa kawaida kabisa wanajua Lowasa atawasaidia..Jambo la ajabu,baadhi ya watanzania badala ya kuangalia ni nani mwenye uwezo wa kuwasaidia  kwa sifa zake,wamebakia kuzungumzia mapungufu ya Lowasa bila kueleza uzuri wa hao wengine...

Kwa kuwa CCM ni chama makini na kwa kuwa JK anajua Lowasa ni jembe,nina amini ndiye atayeibuka kidedea kuipeperusha bendela ya chama..na hatimaye kuunyakua uraisi kilaini..na kuwaleta  wananchi maendeleo kwa matarajio yao. Ee Mungu tusaidie waranzania,tupatie basi nga macho ya kuona kilicho bora kwa wakati mwafaka. Ngupula

From: lesian mollel <aramakurias@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, 5 September 2013, 18:31
Subject: Re: [wanabidii] RE: URAIS 2015 - MATATIZO YA EDWARD LOWASSA

huyu ni mtu jasiri sana na anayethubutu, naejiamini na kiongozi watanzania wa kizazi hiki wanamtaka mtu wa namna hii... a visioned leader, ndio maana hata wamasai tukampa cheo cha olaigwanani, usidhani tumekurupuka....ukitaka kumjua zaidi nenda monduli aliko, arusha na watu walio karibu nae au aliofanya nae kazi watakuthibitishia.

From: Fakhi Karume <fkarume@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, September 5, 2013 11:23 AM
Subject: Re: [wanabidii] RE: URAIS 2015 - MATATIZO YA EDWARD LOWASSA

eti zile milioni 20 anazochangia makanisa zinakatwa kodi 

2013/9/4 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
Ndiyo maana nikasema Lowassa hapaswi kulaumiwa kwasababu alijitahidi kusimamia miajawapo ya kipengele cha MMES
On Sep 4, 2013 2:40 PM, "mngonge" <mngonge@gmail.com> wrote:
Bariki

MMES ni kifupi cha maneno " Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari au SEDP (Secondary Education Development Programme). Utekelezaji wa Mpango huu ulianza rasmi mwaka 2004. Ulipangwa kutekelezwa kwa awamu mbili za miaka mitano mitano. Awamu ya  kwanza ilikuwa mwaka 2004 hadi 2009. Na hivi sasa tuko kwenye awamu ya pili (2011-2015).

Lengo la mpango huu ni kuongeza idadi ya wanafunzi wanaojiunga na elimu ya sekondari  kwa gharama nafuu (kujenga shule karibu na wananchi) lakini pia kuboresha elimu ya sekondari. Kuongezeka kwa idadi ya watoto waliomaliza elimu ya msingi baada ya MMEM ( Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi) kulichangia kuanzishwa kwa mpango huu wa MMES.  Kabla ya hapo kulikuwa na Programu ya Maendeleo ya Sekta ya Elimu (Education Sector Development Programme) iliyokamilika 1997.

Siku za hivi karibuni wamekuja na kitu kinachoitwa matokeo makubwa sasa (Big Results Now) binafsi sijui mpango huu unaendanaje na hiyo MMES.

Akitoa hutuba ya bajeti ya mwaka 2005/2006 waziri wa wakati huo ndugu Joseph Mungai alisema yalikuwa yamepatikana maendeleo makubwa katika sekta ya elimu na utamaduni katika kipindi cha miaka kumi ( 1995-2005) ambapo serikali ilikuwa imechukua hatua mbili muhimu zifuatazo  . (i) Kwanza: Iliandaa Programu ya Maendeleo ya Sekta ya Elimu (Education Sector Development Programme) iliyokamilika 1997 kama hatua muhimu ya kupanga utekelezaji wa Taarifa ya Mfumo wa Elimu ya Tanzania Karne ya 21 (The Tanzania Education System for the 21st Century)
(ii)
 Pili: Ilihakikisha inatimiza masharti magumu ya HIPC ili tuweze tena kukopesheka na kupewa misaada ya maendeleo.  MMEM na MMES ni matokeo ya hatua hii muhimu.
 
Kwa maelezo hayo  hapo juu utagundua kwamba shule za kata zilianza kushika kasi tangu utawala wa Mh. Mkapa hivyo Lowasa alichofanya ni kusimamia utekelezaji wa mpango ambao tayari ulikwishaanzishwa enzi za  waziri mkuu Sumaye. Ninachoshangaa ni namna watu wanavyoshupalia jambo hili kama vile ni la Lowassa wakati historia imeweka wazi kila kitu.

2013/9/4 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
Mngonge

Kwani MMES ilikuwa inahusisha nini na nini? labda tuanzie hapa

2013/9/4 mngonge <mngonge@gmail.com>
Shule za kata zilikwishaanzishwa muda hata kabla ENL hajapewa nafasi ya uwaziri mkuu ni mpango uliokuwa tayari umepangwa na wizara ya Elimu na wahisani, na tayari kuna shule zilizokuwa zimekwishajenjwa na kuanza masomo kabla yake mfano Benjamin Mkapa ilianzishwa kwa utaratibu kama huo. Na zipo shule zilizokuwa za msingi zilizogeuzwa na kuwa sekondari. ENL alichofanya ni kuhimiza wakurugenzi, wakuu wa wilaya, tarafa na kata kuharakisha mpango huo wa MMES, zilijengwa shule nyingi kwa muda mfupi bila viwango. ENL Ni kiongozi anayeweza kusimamia mipango kwa haraka hata bila kuangalia nini kitakuja mbele yake, binafsi namuona afaa kuwa waziri zaidi kuliko rais. Maana rais anatakiwa kuwa na upeo wa mbali zaidi ili kuliepusha taifa na hasara zitokanazo na maamuzi ya haraka haraka ( I want it today). Kama ni kumsifia ENL kwa usimamizi wa haraka haraka wa mipango tumpe haki yake ya sifa hiyo. Japo viongozi wote wa nafasi yake waliopita ndiyo ilikuwa shughuli yao kubwa nakumbuka Kilimo ni uhai, kilimo cha kufa na kupona, azimio la Musoma (UPE), vituo vya polisi, na mengine mengi yaliweza kusimamiwa vizuri na kufanikwa kwa hali ya juu na viongozi wa wakati huo.

Sioni namna ya kuweza kumuweka pembeni ENL katika udhaifu wa shule za kata alizozihimiza yeye, huwezi kusimamia mradi ambao hujauwekea mipango madhubuti kama vile upatikanaji wa walimu na viafaa vya kufundishia na kujifunzia. Shule ni zaidi ya majengo ilitakiwa mpango huo uanzie kwenye shule chache kwa majaribio (pilot) katika ngazi ya tarafa lakini yeye akaona ni lazima tuanze moja kwa moja katika ngazi ya kata. Sifa ya kusimamia ujenzi tumpe lakini ya ubora wa shule tumnyime, kama tunakataa hiyo ya ubora basi hata ya kusimamia tusimpe kwa sababu mpango huo hakuuanzisha yeye

2013/9/4 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
Yona

Kwenye Biblia kuna habari moja iliwahusu Paulo na Apollo (1Kor 3:1-5). Kwamba mmoja alikwenda kuhubiri (kupanda mbegu) na mwingine akaenda kumwagilia. Sasa malumbano yakaja kwama waamini wakagawanyika wengine wakajiita wao ni wa Paulo na wengine ni wa Apollo. Mtume Paulo alipofika akaawambia ya nini malumbano? kama mmoja alipanda na mwingine alimwagilia lakini wa muhimu ni yule aliyekuza yaani Mungu. Katika misingi hii, ENL alipanda mbegu tena mbegu njema kabisa, Waziri wa Elimu alipaswa amwagilie lakini katika yote Serikali ndiyo yenye majukumu ya kukuza/kuendeleza. Sasa ukimlaumu mtu mmoja kwamba anapaswa kubeba mzigo wa matokeo haya basi utakuwa hutendi HAKI.

2013/9/4 hmallomo@yahoo.com <hmallomo@yahoo.com>

-----Original Message-----
From: Yona Fares Maro
Sent:  03/09/2013, 11:03  pm
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: URAIS 2015 - MATATIZO YA EDWARD LOWASSA

Mwasaga

Unakumbuka mwanzoni mwa mwaka huu kuna wanafunzi waliopitia shule za kata
na kumaliza vyuo walimualika mhe lowassa katika halfa naye akaenda
wakamsifia kweli kwa kuonyesha kwamba katika suala hili yeye anawajibika
moja kwa moja sasa kwanini tumuondoe kwenye suala hili na pia kwa kuwa
alikuwa kiongozi wa juu kipindi hicho na anatekeleza ilani ya chama kama
unavyosema basi anawajibika moja kwa moja kwa kuvurunda kwenye mpango huu
wa shule za kata .

Wakati ukitafakari hilo kuna suala la mvua za lowassa alizoahidi kuzalishwa
na wataalamu fulani toka bara asia .

On Tuesday, September 3, 2013 9:24:00 PM UTC+3, Bariki Mwasaga wrote:
>
> Yona
>
> Kwanza hakuna shule za kata ktk mgawanyo wa Shule za Sekondari nchini.
> Classification hii siyo rasmi.
>
> Pili yeye alihimiza ujenzi wa hizi Shule lakini akiteleza ilani ya CCM. Na
> pia utekelazi huo ulikuwa ni sehemu ya Programu ya MMES. Isitoshe ilikuwepo
> Wizara ya Elimu kama mdau mkuu ktk kutekeleza hii programu sasa kwanini ENL
> aonekane chanzo cha matatizo wakati yeye amedumu ndani ya uongozi kwa muda
> wa miaka 2 na miezi michache. Elimu ya Sekondari huwa miaka 4
> On Sep 3, 2013 8:31 PM, "Mathias Buberwa Rupia" <
> Mathia...@tz.sabmiller.com < javascript: >> wrote:
>
>> Kimaumbile na kauli zake nimzuri  pamoja na utendaji kazi wake****
>>
>> Lakini tatizo kubwa  lake    anaonekana  kama  mtu  wa  kulipiza visasi
>> pili  na  akikutana  na  hela mmmmmmm****
>>
>> Tatu    hatujui  hizi hela  ana zotoa  kama  njugu atazirudishaje?
>> aonyeshi uaminifu   kutuonyesha  ni jinsi gani  tatizo lilivyotokea  la
>> richimond****
>>
>> Ili watanzania tujue  asante****
>>
>> *From:* wana...@googlegroups.com < javascript: > [mailto:
>> wana...@googlegroups.com < javascript: >] *On Behalf Of *Yona Fares Maro
>> *Sent:* Tuesday, September 03, 2013 5:51 PM
>> *To:* wana...@googlegroups.com < javascript: >
>> *Subject:* [wanabidii] Re: URAIS 2015 – MATATIZO YA EDWARA****
>>
>> ** **
>>
>> ndugu zangu ****
>>
>> ** **
>>
>> Mnaonaje kuhusu mradi wake wa SHULE ZA KATA  ambo umechangia kuzalisha
>> vijana ambao sio compitent katika soko la ajira ndani ya nchi na jumuiya ya
>> afrika mashariki kwa ujumla ? ****
>>
>>
>> On Monday, September 2, 2013 1:43:09 AM UTC-7, Yona Fares Maro wrote:****
>>
>> Ndugu zangu ,****
>>
>> ** **
>>
>> Mhe Lowassa ambaye ni waziri mkuu wa zamani wa Tanzania ametajwa mara
>> kadhaa kutaka kugombea urais wa Tanzania kupitia CCM .****
>>
>> ** **
>>
>> Pamoja na mazuri yote aliyonayo kama kiongozi bado kuna yale mengi
>> tusiyajua kama kiongozi tunapenda tufahamishane wewe kama Mtanzania unaona
>> matatizo gani ukumtazama Edward Lowassa , ukimsikia au ukisoma kuhusu yeye ?
>> ****
>>
>> ** **
>>
>> --
>> Send Emails to wana...@googlegroups.com <javascript:>
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:> Utapata Email ya
>> kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:>.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>> ______________________________________________________________________
>> This email has been scanned by the Symantec Email Security.cloud service.
>> For more information please visit http://www.symanteccloud.com
>> ______________________________________________________________________***
>> *
>>
>> CONFIDENTIAL NOTE:
>> The information in this E-mail and any attachments transmitted are
>> originated by SABMiller or any of its subsidiaries companies, is intended
>> to be privileged and/or confidential and only for use of the individual,
>> entity or company to whom it is addressed. If you have received this e-mail
>> in error please destroy it and contact the sender. If you are not the
>> addressee you may not disclose, copy, distribute or take any action based
>> on the contents hereof. Any total o partial unauthorized retention,
>> dissemination, distribution or copying of this message is strictly
>> prohibited and sanctioned by law
>>
>> --
>> Send Emails to wana...@googlegroups.com <javascript:>
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:> Utapata Email ya
>> kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:>.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

0 comments:

Post a Comment