Kimaumbile na kauli zake nimzuri pamoja na utendaji kazi wake
Lakini tatizo kubwa lake anaonekana kama mtu wa kulipiza visasi pili na akikutana na hela mmmmmmm
Tatu hatujui hizi hela ana zotoa kama njugu atazirudishaje? aonyeshi uaminifu kutuonyesha ni jinsi gani tatizo lilivyotokea la richimond
Ili watanzania tujue asante
From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of Yona Fares Maro
Sent: Tuesday, September 03, 2013 5:51 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Re: URAIS 2015 – MATATIZO YA EDWARD LOWASSA
ndugu zangu
Mnaonaje kuhusu mradi wake wa SHULE ZA KATA ambo umechangia kuzalisha vijana ambao sio compitent katika soko la ajira ndani ya nchi na jumuiya ya afrika mashariki kwa ujumla ?
On Monday, September 2, 2013 1:43:09 AM UTC-7, Yona Fares Maro wrote:
Ndugu zangu ,
Mhe Lowassa ambaye ni waziri mkuu wa zamani wa Tanzania ametajwa mara kadhaa kutaka kugombea urais wa Tanzania kupitia CCM .
Pamoja na mazuri yote aliyonayo kama kiongozi bado kuna yale mengi tusiyajua kama kiongozi tunapenda tufahamishane wewe kama Mtanzania unaona matatizo gani ukumtazama Edward Lowassa , ukimsikia au ukisoma kuhusu yeye ?
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
______________________________________________________________________
This email has been scanned by the Symantec Email Security.cloud service.
For more information please visit http://www.symanteccloud.com
______________________________________________________________________
CONFIDENTIAL NOTE:
The information in this E-mail and any attachments transmitted are originated by SABMiller or any of its subsidiaries companies, is intended to be privileged and/or confidential and only for use of the individual, entity or company to whom it is addressed. If you have received this e-mail in error please destroy it and contact the sender. If you are not the addressee you may not disclose, copy, distribute or take any action based on the contents hereof. Any total o partial unauthorized retention, dissemination, distribution or copying of this message is strictly prohibited and sanctioned by law
0 comments:
Post a Comment