Tatizo ni pale hata baadhi ya hao wanaoendesha zoezi hilo pamoja na watoa maamuzi wakubwa wanapohisiwa kuwa wahamihaji haramu, watu kama hao lazima walikologe zoezi ili kupoteza maana nzima. Uharamu nchi hii upo katika mambo mengi, tujichunguze tangu maeneo tunayokaa, ofisini au kwenye biashara zetu.
Wakiwatumia wenyeji wa maeneo husika kwa umakini mbona ni rahisi kuwabaini wahamihaji haramu. Kumuuliza mtu wimbo wa taifa akashindwa au akaweza siyo kigezo sahihi. Wapo watu wengi ambao wamezaliwa na wahamihaji lakini hawajakana uraia wa nchi za wazazi wao. Wamesoma hapa hapa Tanzania, wanakijua kiswahili vizuri na wapewa nafasi kubwa kwenye ofisi za serikali na vyama vya siasa.
Nafikiri ili zoezi linoge vizuri ni vyema mipango yetu ikaanzia mbali zaidi badala ya kuwa zima moto. Nijuavyo mimi si mara ya kwanza kuendesha zoezi kama hili, tusipokuwa makini kila baada ya miaka michache tutakuwa tukiendesha mazoezi kama haya na hivyo kuligharimu taifa fedha na muda mwingi. Tukidhibiti rushwa, kuwapa nafasi za kazi watu za kiupendeleo, kutenda haki na uwajibikaji vitu kama hivi vitakomeshwa pasipo gharama kubwa

2013/9/19 Clement Oginga <cloginga@gmail.com>
Abel,Ikiwa basi kipimo ni ujuzi kuuimba wimbo a taifa, ukashindwa kuuimba utabebwa upelekwe nchi ipi? Tuseme mie Clement Oginga hivi nishindwe kuuimba wimbo wa taifa, wanadlipeleka nchi ipi? Kenya ama Uganda? Wandajuaje ? Upuuzi mtupu huu.
--2013/9/19 Abel Lugamba <lugamba2001@gmail.com>
Mimi nabaki na msimamo ule ule! Tumekurupuka, tena sana! tunachokifanya sasa hakina tija na wala hakiwaathiri wa kuwahusu wahamiaji, watu wenye upeo wa kwenda ofisini na kurudi nyumbani, wasiojua kuna nini mitaani ndiyo wanaodhani eti hili zoezi lina manufaa kwa watanzania wa sasa na watoto wao. Ni kwamba tunajidhalilisha mno! Kinachofanyika ni kukusanya rushwa na kuwahalalilishia urai hao mnaowaita wahamiaji haramu na kuwaacha watanzania wakinyanyasika bila kuwa na mahala pa kujitetea! hakuna namna rasmi ya kuwatofautisha watanzania na wasio watanzania! Eti imba 'wimbo wa taifa'! Ni upuuzi mtupu unaendelea. Kuna wakenya wanaujua kuliko mnavyodhani, na kuna watanzania kibao machinga hawakupita shule hawaujui! kwa hivyo mtu apoteze haki ya kuzaliwa eti kwa sababu hajui kuimba wimbo wa taifa!?? Mi ningefurahi kuona aliyeagiza zoezi hili anawajibishwa.
--2013/9/18 Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com>
Wanaokamatwa na kudhalilishwa si wahamiaji haram pekee wamo watanzania kibao wanaonyanyasika.
On 18 Sep 2013 15:28, "Vincent Mhangwa" <vmhangwa@gmail.com> wrote:--Zoezi hili lingesitishwa mara moja!! Halina tija kwa sasa hadi tukakapokuwa na vitambulisho vya kitaifa
On 17 Sep 2013 16:39, "richard bahati" <ribahati@gmail.com> wrote:Nimeipenda hii ya ID ya kitaifa. Kwamba hupati huduma muhimu kama accout bank, line za simu..... bila kuwa na national ID. Kwa waliosafiri nchi za Ulaya na Marekani wameona jinsi uraia unavyokuwa wa maana. Kama ulisoma kwenye mitandao leo kuna maiti moja ilijulikana kama ni wa Tanzania kwa kuwa alijitambulisha hivyo huko Marekani na ikaleta usumbufu sana kwa Ubalozi wa Tz huko. Tz ni uchochoro wa kila mtu, tuna ukarimu pengine wa kijinga zaidi kwamba mgeni ananyenyekewa kuliko mzawa. Tuliobahatika kuishi nje ya Tz mda mrefu tunajua jinsi ya kuwa in a second place suala la utaifa wao linapokuja. Hebu nenda sasa hivi India ukaombe uraia....... Omba visa ya UK US... sasa uone, ni kama vile unaenda mbinguni. Ila wao wakija wanapewa visa pale airport. Pakistan, India, China, Kenya, Rwanda, Congo, Malawi, Spain, Portugal, Russia......... Tutafikia mahali tujikute kuanzia housegirls mpaka major generals, wabunge, hata rais si wenzetu. Halafu "when and where to strike"! Hatuna uzalendo.
--2013/9/17 Yona Fares Maro <oldmoshi@gmail.com>Ndugu yanguInaonyesha kuna kitu kimekutokea wewe au ndugu yako ikasababisha uandike waraka huu .Kweli zoezi hili lina changamoto zake nyingi sana kwa mfano ningekuwa mimi kikwete ningetoa agizo la wote wanaoishi nchini kuhakikisha wana hati halali za kuishi na kama ni watanzania basi ufanyike utaratibu kuhakikisha wanatambulika halafu ndio tuanze operesheni kwa ambao wamegoma .Kwa inayofanyika sasa hivi nchi inaingia gharama sana huko rumande , inaingia gharama za kulipa askari wanaofanya operesheni hizi wakati ungeweza kutumika utaratibu mzuri na mwepesi .Kuna watu sasa hivi haswa wa mkoa wa kagera wanatuhumiana kwamba yule mhamiaji haramu yule mtutsi yule sio mtanzania na askari wanaenda kichwa kichwa bila kujua kilichonyuma ya panzia .Mwisho napenda kuuliza mbona raia wa malawi walivyolalamika wananyanyaswa kwenye zoezi hili serikal imekuja harakaharaka kujibu na kujitetea tena ikasema wamepewa muda kuhakikisha wanafanya taratibu za kuishi nchini vizuri na sio wale wa maeneo mengine ?
On Monday, September 16, 2013 10:38:24 AM UTC+3, kilalo cha lugamba wrote:Ninaamini ingekuwa jambo la maana kuandaa utaratibu mzuri kwanza kwa kuhakikisha kila mtanzania anakitambulisho chake halafu utekelezaji wa zoezi hili uratibiwe vizuri zaidi. wala huhitaji kuwakamata, badala yake watajiondoa au kujisalimisha wenyewe. kwa mfano mtu asiye na ID ya kitaifa hatibiwi, hawezi pata Tigo-M au artell cash, hawi na account au line ya simu mapaka kibali cha polisi au uhamiaji. nani angepona.kwa ujumla hali huku mitaani ni mbaya, huwezi kutofautisha afisa halisi wa uhamiaji na feki maana wote wanajikusanyia pesa mwanzo mwisho. ushaihidi ni mwingi, nadhani mwisho wa hili zoezi, serikali itaona aibu kwamba wahamiaji haramu hasa katika miji kama Dar, watakuwa wameongezeka na wengine kujipatia hadhi ya uraia kienyeji kwa kutoa rushwa kwa matapeli na maafisa uhamiaji wasiowaaminifu.3. Kila tapeli sasa ana kitambulisho cha uhamiaji na kazi yake sasa ni kukusanya pesa toka raia wa kigeni na wale wanaotoka mikoa ya mipakani hasa Kigoma, Kagera na Rukwa, wasiotaka kupoteza muda wao kwa kwenda kuhojiwa polisi.2. Mjini kama Dar, wakati wanajua kuwa hakuna kitambulisho cha kitaifa chenye uwezo wa kumtofautisha kirahisi mtanzania na asiye mtanzania, badala ya kulimaliza hilo kwanza wanaruhusu afisa wa uhamiaji kuingia mitaa kama mtu aliyefunguli fisi kwenye zizi la kondoo, wanawapa mwanya matapeli kujichnganya na kuanza kukusanya pesa toka kwa walimu wanaotoka kenya na uganda na raia wa kutoka mikoa ya mipakani.Kama kuna jambo linaonyesha namna taifa letu lilivyoshindwa katika kujiongoza, kupanga na kusimamia mambo yake lenyewe ni hili swala la uhamiaji haramu na utaratibu wa namna ya kuukabili ulioanzishwa na mkuu wa nchi na kupachikwa jina la operation Kimbungaa. Kwa mtu anayeishi mitaani akikaa na kufanya kazi na jamii ya raia wa nchi jirani au anayetoka mikoa ya mipakani atakubaliana nami kuwa, uwezo wetu wa kupanga na kutekeleza mambo hasa haya yenye sura ya kitaifa ni mdogo mno kiasi cha kujidhalilisha wenyewe mbele ya jirani na wageni wetu. Kwa kifupi yapo mapungufu yanalifanya zoezi zima lisiwe na maana yoyote zaidi ya mtu kutembea uchi barabarani huku akijaribu kuwa lazimisha wanaomuona waseme eti amevaa nguo, waseme amevaa au hajavaa ukweli unabaki kuwa hajavaa. chukua mfano.1. Wakati wanajua kuwa hakuna mtu anayeishi kijijini bila kufahamika na wanavijiji, kwani kila kijiji huwa kinakuwa na jamii za watu wanaofahamiana, wanatoka maafisa wa idara ya uhamiaji na kwenda kukamata raia kuwatisha na kuwadai rushwa. hawapitii kwa viongozi wa vitongoji wala wa vijiji.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:
Post a Comment