Monday, 9 September 2013

Re: [wanabidii] Re: NAUNGA MKONO KENYA KUJIONDOA ICC

Yona,

You have worked for the Uhuru/Jubilee campaign in Kenya so I'm not surprised kwamba you're supporting that stupid move by the Kenyan Parliament.

ICC is not against Africa. It's Africa that is committing the most Crimes Against Humanity and that's why most cases at the ICC are from Africa. If we pull out of the ICC, we'll be back to the 1970s and 1980s where our leaders can just slaughter us at will and then go to their OAU/AU annual meetings and celebrate their ubingwa.

Africa will be making a very big mistake by quitting the Rome Statute / ICC process.

2013/9/9 Yona Fares Maro <oldmoshi@gmail.com>
Tusisahau pia hapa tanzania tuko kwenye mchakato wa katiba mpya ni vizuri kuangalia masuala ya kimataifa kama haya yaelezwe kabisa kwenye katiba kwa maslahi ya nchi hii na watu wake - haitakuwa busara watanzania kushtakiwa nje ya nchi .

On Monday, September 9, 2013 11:49:32 AM UTC+3, Yona Fares Maro wrote:
Ndugu zangu ,

Pamoja na kwamba siungi mkono vurugu zilizotokea nchini Kenya mwaka 2007 baada ya uchaguzi hii isiwe sababu ya mie kuunga mkono hii mahamana ya kimataifa ya ICC na mkataba wao wa ROMA .

Ndugu zetu jirani zetu wa Kenya wameamua kujiondoa kwenye mkataba huu wa roma na kusisitiza kwamba wakati wanaingia kwenye mkataba huo hakukuwa na katiba ya sasa na mambo mengi zaidi ya kikatiba hayakufuatwa kwahiyo wameona bora wajiondoe .

Mie naungana na wakenya naunga mkono nchi ya jumuiya ya afrika mashariki kuamua kujiondoa kwenye mahakama hii , inapaswa kesi zinazohusu mwanachama wa jumuiya zishugulikiwe na mahakama za jumuiya au zile za umoja wa afrika haipaswi kwenda zaidi ya hapo .

--
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment