Wednesday, 4 September 2013

Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] YANGA (Yebo yebo) WAMKATAA MKENYA

Atua Jangwani. Akilimali aanza fitna zake!!! George Ramadhani na waSimbeye mkaokoe jahazi!!!!!!!!!!

From: george ramadhani <garamauk@yahoo.com>
To: "mabadilikotanzania@googlegroups.com" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Cc: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, September 4, 2013 6:10 PM
Subject: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] YANGA (Yebo yebo) WAMKATAA MKENYA

Jonas,
Sasa nimekupata.
Kwa vile wewe ni shabiki wa Simba ndio maana umewahi kuileta hoja hii ili uthibitishiwe kama ni kweli au la ukiamini kwamba katika klabu ya yanga sasa kutakuwa na mgogoro kama ilivyokuwa kwa Simba!
 
Mimi ningekushauri uwe na subira, hoja yako ingeweza kuibua mjadala hapa kama viongozi ndio wangekuwa wanapingana kuhusu ujio wa huyo mkenya, lakini kwa vile ni mashabiki sidhani kama kuna hoja ya msingi hapo. Viongozi ndio wenye mamlaka kikatiba kuajiri Katibu Mkuu bila kujali anatoka wapi kama tu ilivyo kwa kocha.
Kwa hiyo kelele za mashabiki katika suala hili haziwezi kuwa na mashiko, na sitarajii kwamba wataweza kubadili chochote kama huyo mkenya ameshasaini mkataba kuanza kazi.

From: Jonas Kiwia <jonaskiwia39@gmail.com>
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Cc: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, September 4, 2013 5:49 PM
Subject: Re: [Mabadiliko] YANGA (Yebo yebo) WAMKATAA MKENYA

George
Sina uhakika na hii taarifa ndio maana namimi nikauliza kama kuna yoyote anaijua kwa undani au kama ni uzushi atujuze. Nilichoambiwa ni wapenzi wa Yanga kwa maana ya wanachama ndio hawamtaki katibu mkuu wao mpya. Kwa madai kwamba amekosekana mzawa mpaka waajiri mtu toka nchi jirani.
Ni haayo tu
Jonas
On Sep 4, 2013 5:44 PM, "george ramadhani" <garamauk@yahoo.com> wrote:
Jonas fafanua hoja yako.
Unasema Yanga wamemkataa Katibu wao mpya! Kivipi? Yanga wapi unaowazungumzia, viongozi ambao kimsingi ndio waliomleta, wadhamini au mashabiki?
 
From: Jonas Kiwia <jonaskiwia39@gmail.com>
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com; wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, September 4, 2013 2:21 PM
Subject: [Mabadiliko] YANGA (Yebo yebo) WAMKATAA MKENYA

Jamani naomba kuuliza kama taarifa hizi ni za kweli,nasikia wenzetu Yanga aka yebo yebo wamemkataa katibu wao mpya.Naomba wenye taarifa za uhakika wanijuze.
Kwani nafasi ya ukatibu mkuu si ya kuajiriwa au? Kama kweli wamemkataa kisa ni nini?
Regards,
Jonas
--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment