Matanda ni vigumu sana kupata neno ambalo litakosa elements zinazohisia ni unyanyapaa kwa walemavu maana kwa mfano kumuita albino mlemavu wa ngozi bado haitoshelezi kumuondolea unyanyapaa albino. Matendo na mtizamo wetu ukikaa ule ule juu ya walemavu kubadilisha majina haisaidii. Ukibadilisha jina la mnyonyaji ukamuita mwekezaji sidhani kama kutakuwa na tofauti yoyote katika mtizamo it will be old wine in a new bottle.
Nikirudi kwenye hoja ni kwamba bunge lisifikiri watanzania hawana upeo juu ya mijadala yao bungeni, upeo tunao sana na kama hawajasaidia kuboresha maisha ya wapiga kura wajue kikaango kimewasubiri. Hata hivyo hakuna chama au mbunge mwenye hati milki ya taifa au jimbo, tupo watanzania zaidi ya milioni arobaini na nne hivyo wapo wengine wengi nje ya bunge wenye uwezo wa kuboresha maisha yetu na pengine zaidi ya hao tulionao sasa2013/9/5 denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
Naelewa unachotaka kusema Makene lakini inabidi tuvuke kutoka kwenye hizi kauli ambazo wenzetu walemavu wanaona zina unyanyapaa!Siamini kama blindness ni dalili ya kuelekea kuadhibiwa na mungu!--2013/9/5 Tumaini Makene <makene_84@yahoo.com>
Ansbert
When God wants to destroy you, he makes you blind. Husikii chochote (kutoka kwingine) isipokuwa mwangwi wa mawazo yako mwenyewe! Kisha unajiridhisha kuwa unafikiria!
Tumaini Makene
CHADEMA Senior Information(Press) Officer
0752 691569/ 0688 595831
Sent from my iPad
--
On Sep 5, 2013, at 5:53 PM, Ansbert Ngurumo <ansbertn@yahoo.com> wrote:
> Nimesikiliza Hotuba za wabunge wa CCM katika mjadala wa jioni. Wote walikuwa wanajadili wenzao wa upinzani badala ya kujadili vifungu vya Rasimu ya Sheria wanayong'ang'ania kutunga. Nimesikia mipasho na matusi ya Kigwangallah dhidi ya wabunge wa Chadema. Hadi muda wake unaisha, alikuwa hajachangia lolote kwenye muswada, huku akilaumu wenzake eti wamekataa kufanya kazi yao ya kutunga sheria. Je, yeye ameifanya saa ngapi?
>
> Lililo dhahiri ni kwamba CCM hawataki Katiba Mpya, ndiyo maana wanang'ang'ania mawazo yale yale. Hawana nia njema na mchakato. Ndiyo maana hawataki kusikiliza wenzao.
>
> Bahati mbaya bado wanadhani wananchi wanwasikiliza. Wahenga walinena, sikio la kufa halisikii dawa. Wasubiri matokeo.
>
> Ansbert Ngurumo
> Existential Philosopher, Musician, Journalist & Media Manager
> Vox Media Centre & Free Media
> Tanzania
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>
> TEMBELEA Facebook yetu:
> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>
> For more options, visit this group at:
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
> To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
> Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
Wasalaam,Denis Matanda,Mine Planning Supt,Tanzania." Low aim, not failure, is a crime"--

0 comments:
Post a Comment