Friday, 20 September 2013

Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Makubwa Haya; Daktari Bandia Akamatwa Muhimbili Hospital....!

Kweli haya ni makubwa kuliko, juzi juzi traffic bandia, afisa uhamihaji bandia na leo daktari bandia. Ipo haja ya kufanya ukaguzi wa ghafla mara kwa mara (spot check) kwa watumishi mbalimbali ili kubaini watu wa namna hii. Intelijensia mpo? Hatujui huyu amekwishadhuru maisha na kuwatapeli wangapi. Ama kweli hii ni bongo!!!

2013/9/21 Clement Oginga <cloginga@gmail.com>
This is very scary.

2013/9/21 Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>

DAKTARI anayedaiwa kuwa bandia amekamatwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam, akiwa na vitambulisho bandia vya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Muhimbili cha Afya na Sayansi Shirikishi (MUHAS) akisomea Shahada ya Pili.

'Daktari' huyo ambaye amekuwa akitafutwa na uongozi wa chuo kwa zaidi ya mwaka alikamatwa jana asubuhi akiwa hospitalini hapo karibu na jengo ... Soma zaidi...http://mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/5694-daktari-feki-akamatwa-katika-hospitali-ya-muhimbili-jijini-dar.html#.Uj0leD_zhUw

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment