Friday, 6 September 2013

Re: [wanabidii] Oh! Oh! Picha ya Aibu Hii.. Hivi Watanzania Tunapenda ' Vurugu mechi?!

Magid,

Unaweza kumlazimisha Punda/ Ng'ombe kwenda mtoni lakini huwezi kumlazimisha kunywa maji

Dida

From: Mike Zunzu <mikezunzu@yahoo.co.uk>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, September 7, 2013 8:28 AM
Subject: Re: [wanabidii] Oh! Oh! Picha ya Aibu Hii.. Hivi Watanzania Tunapenda ' Vurugu mechi?!

Hivi viongozi wa nchi wanataarifa hata kidogo kwa yanayotokea Bungeni, siyo mara ya kwanza Naibu Spika kutumia ubabe, hivi hawawezi  kumshauri hata mara moja kuwa Bungeni siyo mitaani, hata mitaani watu hawatiani ngwala, ni situation ya mambo ya miako 70's tuliyokuwa tukiyafanya shule za msingi tukiwa watoto wadogo, kwamba kulikuwa na watu miamba wanaotakiwa kuogopewa. Sasa hapa ni kwawatunga sheria halafu wanakuwa wa kwanza kuvunja sheria, sheria wanazotunga kutakuwa na msimamizi wake kweli.
Nimeanza kwa kuuliza kama viongozi haya wanayaona au kuambia, au ndiyo wanafurahia yapotokea, ikumbukwe Spika na kaimu wake siyo wawakilishi wa vyama vyao, hata kama vyeo wamevipata baada ya kupata ubunge kwenye maeneo yao ya uwakilishi, baada ya kupewa nafasi hizi wangeliuvua uanachama na kuwa wasimamizi/viongozi wa Bunge, na wanapokuwa kwenye maeneo ya ya uwakilishi wasifanye kama wao ni Spika au kaimu wake, huko ni wabunge.

From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 6 September 2013, 21:18
Subject: Re: [wanabidii] Oh! Oh! Picha ya Aibu Hii.. Hivi Watanzania Tunapenda ' Vurugu mechi?!

From: Gabriel Marite Ole Tuke <gamaotu@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>; mabadilikotanzania <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Sent: Friday, September 6, 2013 10:55 PM
Subject: Re: [wanabidii] Oh! Oh! Picha ya Aibu Hii.. Hivi Watanzania Tunapenda ' Vurugu mechi?!

Ndiyo picha ya aibu lakini kwa Ndugai.
Ole Tuke

From: Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
To: mabadilikotanzania <mabadilikotanzania@googlegroups.com>; wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, September 6, 2013 9:05 PM
Subject: [wanabidii] Oh! Oh! Picha ya Aibu Hii.. Hivi Watanzania Tunapenda ' Vurugu mechi?!

Ndugu zangu,

Hivi Watanzania ni watu wenye kupenda ' Vurugu Mechi'? Maana, magazetini leo habari kubwa na picha ni ' vurugu mechi' bungeni.

Ni picha ya aibu. Shabaan Robert alipata kuandika, tena miaka 50 iliyopita, kuwa isifike mahali wazungu wakarudi wakatukuta bado hatujamulikiwa na nuru, kwamba Waafrika bado tunapigana hadharani!

Shaabani Robert alikuwa na maana ya kuwa hayo ni mambo ya kishenzi na hayapaswi kufanywa na watu wastaarabu.

Na afadhali wasomaji wa magazeti kwa lugha ya Kizungu leo hawakuonyeshwa picha za sisi Waafrika tulivyo hata baada ya miaka 50 ya uhuru. The Citizen na Daily News wao walipamba sura za mbele za magazeti yao kwa habari kubwa ya JK na PK ( Kikwete na Kagame) walivyokutana Kampala jana.

Habari za aibu ya bungeni zilipewa nafasi ya pili tena bila picha. Pongezi kwa wahariri wa magazeti hayo kwa kutufichia aibu yetu.

Na Daily News wao wametoka na kichwa kizuri cha habari; " MPs, police in a shameful flurry of fists"

Kwa kweli ni aibu. Kwa nini tumefika mahali hapa? Kwamba watu wazima Bungeni wasitumie mazungumzo katika kumaliza tofauti zinazojitokeza badala ya kushikana mashati, kuburuzana na hata kupigana makonde.

Na mitaani leo kona nyingi nimewasikia watu wakizungumzia ' Senema ya jana Bungeni'. Na kilichowavutia sana ni hiyo ' Vurugu mechi' na hususan masumbwi na kupigana ngwala!

Na wengi hawakujikita kwenye nini hasa msingi wa vurugu mechi hiyo. Wamefurahishwa tu na ' Vurugu mechi', basi! Na hakika, magazeti yaliyopambwa na picha za vurugu mechi ile leo yameuzwa ' kama njugu'.

Na bwana mmoja mtaani nimemsikia akitamka; " Sasa tunataka kuona masumbwi ya wabunge wa upinzani dhidi ya wa CCM!"

Tumefika pabaya, kwamba habari za aibu za watu wazima kupigana na kushikana mashati hadharani ndizo zinazowavutia wasomaji watu wazima!

Hivi watoto wetu tunawafundisha nini?

Kwamba katika nchi hii unaweza kuwa maarufu na hata ukafika mbali kwa kurusha ngumi badala ya kuwa na uwezo wa kujenga hoja kwa kutumia kichwa, mdomo au kalamu.

Si tunajua, tuna hata mwanasiasa katika nchi hii aliyerumshia ngumi mwanahabari hadharani, na tangu siku hiyo akajipatia umaarufu na hata kupewa jina la ' Tyson'!

Ndio, ni katika nchi zetu hizi za hovyo hovyo ambapo ngumi zinaweza kukupeleka hata IKULU!

Usiku Mwema.

Maggid.
Dar es Salaam.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment