Friday, 20 September 2013

Re: [wanabidii] NAOMBA KUJUA;HIVI MTU AKIKAMATWA KWA MAKOSA NJE YA NCHI HASA MADAWA YA KULEVYA...!!

Masogange hajapata dhamana bado. Nina-clarify hapo!

On 21 Sep 2013 04:15, "Deo Kibambizi" <kibambizi@gmail.com> wrote:
Unajua kuna maswali MAKUBWA SANA HAPA!Iweje na mtu aliyeenda huku ni TOP KABISA katika vita hii ya kupigana na vita hivi?Na nimesoma kwenye mitandao kuwa ndugu Masogange anaandaliwa Dhima na delegation ya kumpokea wakati anarudi?Mh!!Maswali mengi sana.
Pia,kwanini ahojiwe na TOP KABISA????

2013/9/20 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
Deo,
Swali lako ni la kimsingi. Serikali inapaswa kufuatilia raia wake wanaokamatwa popote pale duniani. Lakini najua kuna Watanzania waliokamatwa Pakistan, Uarabuni, Thailand, Uturuki, sijasikia serikali ikiwafuatilia. Ila hawa wa Thailand ndio serikali imewashughulikia kwa kusaini mkataba wa kubadilishana wafungwa ili watumikie kifungo chao nyumbani. Nadhani kitendo cha kwenda Afrika kusini
kukutana na akina Masoshange kinaacha maswali zaidi hasa ukizingatia habari zilizozagaa kuwa baada ya kupewa dhamana wanaishi nyumbani kwa Kinje Mwiru, ambaye naye ametajwa kwenye circles kuhusika na biashara hiyo haramu.

2013/9/20 Deo Kibambizi <kibambizi@gmail.com>
Ndugu zangu kufuatia hizi kesi za madawa ya kulevya ambapo waTanzania wengi wamehusishwa na kufunguliwa kesi huko walikokamatiwa.Je,wote waliokamatwa na makosa ya makosa ya kusafirisha madawa, je serikali inatuma mtu wake kutetea au kuhoji washtakiwa?
Hii imekuja baada ya baadhi ya watuhumiwa walio na kesi za namna hiyo kutembelewa na uongozi wa juu wa wanaohusika na ukamataji wa wawahusika kwenda South kuwahoji watuhumiwa.
Nimejiuliza sana kama wote wanakuwa na makosa,kwa nini serikali iende sehemu moja na kwa baadhi na wengine wasitembelewe na hata kutafuta uwezekano wa kubadilishana wafungwa?
Je,Hapa hakuna mwanya wa kuzua maswali?
Au labda wanaenda na taarifa za kwenda huwa hazitangazwi au kuandikwa?
Naomba kujulishwa ili kuondoa hili dukuduku.
ASANTENI

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

You received this message because you are subscribed to a topic in the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this topic, visit https://groups.google.com/d/topic/wanabidii/nI4pPZZEmXc/unsubscribe.
To unsubscribe from this group and all its topics, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment