Friday, 20 September 2013

Re: [wanabidii] NAOMBA KUJUA;HIVI MTU AKIKAMATWA KWA MAKOSA NJE YA NCHI HASA MADAWA YA KULEVYA...!!

Deo,

Wajibu wa kwanza wa serikali yoyote ni kulinda usalama wa, na kutetea maslahi ya, raia wake. wajibu wa kwanza wa ubalozi wowote ni kulinda usalama na kutetea maslahi ya raia wake walio huko ughaibuni. Serikali ya Tanzania inapaswa kuwatetea kivyovyote hawo Watanzania waliotuhumiwa huko ughaibuni. Ikiwa hawafanyi hivo tiyari, basi hawajatimiza wajibu wao.

Mmarekani akifungwa popote pale duniani, serikali ya Marekani itafanya juu chini imrudishe huyu mfungwa amalize jela yake Marekani. Canada, UK, France, Ujerumani nk, wote hivo hivo.

2013/9/20 Deo Kibambizi <kibambizi@gmail.com>
Ndugu zangu kufuatia hizi kesi za madawa ya kulevya ambapo waTanzania wengi wamehusishwa na kufunguliwa kesi huko walikokamatiwa.Je,wote waliokamatwa na makosa ya makosa ya kusafirisha madawa, je serikali inatuma mtu wake kutetea au kuhoji washtakiwa?
Hii imekuja baada ya baadhi ya watuhumiwa walio na kesi za namna hiyo kutembelewa na uongozi wa juu wa wanaohusika na ukamataji wa wawahusika kwenda South kuwahoji watuhumiwa.
Nimejiuliza sana kama wote wanakuwa na makosa,kwa nini serikali iende sehemu moja na kwa baadhi na wengine wasitembelewe na hata kutafuta uwezekano wa kubadilishana wafungwa?
Je,Hapa hakuna mwanya wa kuzua maswali?
Au labda wanaenda na taarifa za kwenda huwa hazitangazwi au kuandikwa?
Naomba kujulishwa ili kuondoa hili dukuduku.
ASANTENI

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment