Monday, 2 September 2013

Re: [wanabidii] Hongera Wapenzi wa Arsenal na Liverpool

kweli wazee wamefungwa,

inasikitisha tu mzee kushabikia Arsenal au Cheski kwani inaonyesha jinsi ama alivyochelewa kuanza kufuatilia league za wenzetu au anayehama timu kwasababu zake binafsi au walikuwa wapenzi wa Nottingham Forest ambayo haiko EPL lakini ambayo ilikuwa na historia nzuri ulaya kuliko Arsene Al na Cheski mpaka msimu uliyopita Cheski walipobeba UCL (kikakobe).

Hongera mashabiki wa Liverpool, kwani wamevumilia over 23 years bila kikombe cha EPL lakini wengi hawajahama timu.

From: frank John <msike24@hotmail.com>
To: wanabidii group <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, 2 September 2013, 8:14
Subject: RE: [wanabidii] Hongera Wapenzi wa Arsenal na Liverpool

huko mjini leo KIMYAAAA kisa MAN U kafungwa! poleni saana wazee wa mbeleko!
 
Date: Mon, 2 Sep 2013 05:45:04 +0300
Subject: [wanabidii] Hongera Wapenzi wa Arsenal na Liverpool
From: lutinwa@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Just few words - nawapa hongera Arsenal kwa kuwafunga majirani zao wapiga kelele na waliowekeza zaidi ya Pound 100million kununua wachezaji msimu huu. Congratulations Wenger, you have proven your philisophy. Liverpool hongera na tia maji, kwa sababu kuna msemo wa kiswahili "ukiona mwenzio ananyolewa, tia maji"

Lutinwa

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment