sasa emma si uliwahi kunipa oda? sasa mbona kiimya boss, au ndio yale yale ya watu weusi ahadi zao ni siasa tupu.
sema kuna deal tena au ndio imeishia kwenye email maana watu wa mitandaoni ni tatizo, wanapenda kuoda vitu na ukiwaletea wanashindwa
usikubali uwe mmoja wao boss
nyumba kibao za bei nafuu zipo na mm nsharud mjini sasa bse nilikua field zaidi ya miez 2 mikoani
From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, September 3, 2013 1:45 AM
Subject: Re: [wanabidii] Hii ni dharau na fedheha kubwa kwa Taifa
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Watanzania hawana uwezo? Hivi kwa nini mtu akubali kuongoza watu wasiokuwa na uwezo?
em
em
2013/9/2 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Ktk magonjwa fulani kuna ugonjwa fulani mtu anaweza kufanya au kusema kitu ambacho si chakawaida. Mara chache madaktari huyawazia magonjwa kama hayo hadi mtu anafanya jambo la hatari kama kuua ndio wanashtuka. Nakumbuka jina moja anayekumbuka l pili anikumbushe. Jina la kwanza ni Jacksonian.
----------
Sent from my Nokia Phone
------Original message------
From: erick maro <rikmaro@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, September 2, 2013 9:37:42 PM GMT+0300
Subject: [wanabidii] Hii ni dharau na fedheha kubwa kwa Taifa
Sinahakika Nilichosikia kama ndicho waziri wa nishati na madini
alichokisema akiwa timamu wa akili, huku akimaanisha alichosema. Kama
alisema haya "Watanzania hawana uwezo wa kuwekeza kwenye gesi na
mafuta, bali waendelee na biashara ya matunda na juice, na pia hana muda wa
kujadiliana chochote na Watanzania wale wanaofikiria kuwekeza katika
mafuta na gesi ".
Hii ni kauli yake, ya serekali ilitoko madarakani au ya chama chake cha
Ccm?
Kama alizungumza hayo akiwa timamu bila kutumia kilevi chochote wala
kuagizwa na Serikali anayoitumikia au chama chake, hakika atakuwa ni
mshenzi, mpuuzi na mpumbavu wa mwisho
Duniani. Kama si kauli ya Serikali,
wala chama chake basi nategemea awajibishwe ipasavyo na mabosi wake kwa
kuutukana Umma wa Watanzania na Taifa letu kwa ujumla. Hata kama kweli
hatuwezi si lugha ya kuitumia kwa Wananchi wenzako. Lakini siamini kama
Serikali ikiweka mazingira rafiki, na sera bora zinazosimamiwa vyema
tutashindwa kuwekeza katika gesi na mafuta. Hapa napata wasiwasi na uraia
wa ndugu Sospeter Muhogo waziri wa nishati na madini, kwa kauli hii, pia
serikali na chama chake.
Tujithamini, tujipende, tujikubali, tutumie kile tulichonacho kwa faida
ya Taifa letu.
MUNGU IBARIKI AFRIKA MUNGU IBARIKI TANZANIA .
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment