Yaliyojili bungeni juzi ni mwendelezo wa kilichotokea nyuma na taswira halisi ya bunge letu kiasi cha kunifanya nishindwe kuziona sheria zinazopitishwa na bunge hili kama ni genuine. Uongozi wa bunge umepwaya kiasi cha kulifanya bunge lote kupoteza mwelekeo na sasa tutegemee makubwa zaidi kwa vile uongozi hauna mbinu mpya wala busara za kioungozi.
Ni somo zuri kwa siku za mbeleni, wabunge waache kumchagua spika na wasaidizi wake kiushabi ushaki tu bila kuangalia uwezo wao. Kwa mtindo huu itabidi sifa ya kumchagua mtu kuwa mbunge ubondia na uajana ndo ziwe sifa msingi, hapatakiwi busara tena bali piga piga na ugomvi ndo hoja kuu ya kujadiliwa bungeni. Nawashauri watafute mahali pengine pa kupata pesa za kujilipa kwenye vikao vya namna hii, walalahoi hatutakubali tena kuwalipia kujadili kupigana na kutoana nje. Hao maaskari wa bunge wanafaa kupelekwa Goma na Sudan kusini kuimarisha mapambano.
Mzee Mrema nakushauri safari ijayo pumzika achana na ubunge maana huko nyuma ulitwambia bungeni si kubeba zege bali ni maneno na kwamba mdomo wako unachanganya vizuri. Siku hizi ukichanganya mdomo bila kuwa na nguvu ya kupigana umeumia mzee, ni vyema ukawaachia mabondia akina Ndugai waendeleze mapambano ya kibondiaNi somo zuri kwa siku za mbeleni, wabunge waache kumchagua spika na wasaidizi wake kiushabi ushaki tu bila kuangalia uwezo wao. Kwa mtindo huu itabidi sifa ya kumchagua mtu kuwa mbunge ubondia na uajana ndo ziwe sifa msingi, hapatakiwi busara tena bali piga piga na ugomvi ndo hoja kuu ya kujadiliwa bungeni. Nawashauri watafute mahali pengine pa kupata pesa za kujilipa kwenye vikao vya namna hii, walalahoi hatutakubali tena kuwalipia kujadili kupigana na kutoana nje. Hao maaskari wa bunge wanafaa kupelekwa Goma na Sudan kusini kuimarisha mapambano.
On Sun, Sep 8, 2013 at 6:09 AM, ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
Muhingo
Maige hakuwepo Bungeni kwa hiyo isingekuwa rahisi kumzuia kusema aliyosema. Hilo ni moja lakini la pili ni kwamba.ni vigumu kujua mtu anawaza ni hadi pale anapotamka ndiyo unaweza kujua.
Tatu sijui kama kuna utaratibu wa kuzuia mtu kusema Bungeni kama wewe.si Spika, Naibu au Mwenyekiti wa Kikao husika.
Katika nchi inayojaribu kujenga demokrasia ya uhuru wa mawazo, haya ni mojawapo ya mapitto msiogoope tutafika tu tunakotatajia kwenda.
We are one and we will remain as one, Tanzanians.
Sent from Yahoo! Mail on Android
From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>;
To: wanabidii@googlegroups.com <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Ezekiel Maige - Sifurahishwi na yanayoendelea Bungeni
Sent: Sat, Sep 7, 2013 8:06:19 PM
Maige.Kwa nini hukumzuia Kigwangala kusema ninayoyaona humu kuwa aliyasema. Ninakushukuru sabna binafsi kwa sababu umekirudishia heshima chama chetu (CCM) kwani watu wengi wanafikiri wabunge wa CCM wote wanawaza ki-KigwangalaFrom: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, September 7, 2013 10:38 AM
Subject: [wanabidii] Ezekiel Maige - Sifurahishwi na yanayoendelea Bungeni
Wapendwa, watanzania wenzangu. Nimetazama kwa mshangao na kutoamini kuhusu kilichojiri Bungeni jana. Kwa Bahati mbaya, binafsi sikuwepo niko Arusha kwenye mkutano wa Ushirika wa Wabunge wa Kamati za Mahesabu ya Serikali kutoka Nchi za SADC (SADCOPAC) na Nchi kadhaa za Africa nje ya SADC.--
Sikuona Sababu kabisa ya kufikia hapo kwani hali hiyo ingeweza kuepushwa. Ingewezekana kabisa kuahirisha muswada na kutoa nafasi kwa Kamati ya Katiba na Sheria kwenda Zanzibar kupata maoni ya wenzetu wa huko.
Najua kuna maelezo mazuri ya kushirikishwa kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Lakini kikanuni, Baada ya Muswada kusomwa mara ya kwanza, unakuwa mikononi mwa Bunge na Kamati ndiyo inayokusanya maoni si Serikali!
Kwa kuwa hakuna ushahidi wa public hearing kufanyika Zanzibar na kuwasikia wazanzibari wa kawaida (nje ya serikali), basi kulikuwa na Hoja kabisa ya kurekebisha kasoro hiyo kwa kutoa nafasi kwa Kamati kwenda Zanzibar.
Suala la Katiba ni kubwa hivyo ni vema zikafanyika jitihada za kutosha kuhakikisha tunakwenda pamoja (na wenzetu hasa wenye mtazamo tofauti na Sisi) badala ya kutumia uwingi wetu kwani Mwisho wa safari tukienda Hivi wapo watakaodai Katiba mpya si yao na hivyo kuikosiesha social legitimacy!
Kwa kiti kutomsikiliza KUB nako kulitibua mambo bila sababu. Angepewa nafasi ya kusikilizwa Hata kama Hoja yake isipokubaliwa ingekuwa nafuu sana na shari na aibu ya jana ingeepukika!
Tumesameheana, lakini tujifunze na tujitahidi sana kwenda kwa maelewano.
Mungu ibariki Tanzania.
Ezekiel Maige,
Mbunge wa Msalala.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--

0 comments:
Post a Comment