Maige, umesoma comment za mbunge/mtungasheria mwenzako Kigwangala? Pale anapoleta mambo ya mitaani kuwa kiongozi wa upinzani alitolewa nje kama bibi harusi? Mzaha gani huo, wapi ulioma bibi harusi akitolewa nje kwa ngu? Huku ni mtu huyo huyo yuko mstari wa mbele alipwe makumi ya maelfu kwa siku kwa kutoa hoja za kipuuzi?
From: lesian mollel <aramakurias@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, 7 September 2013, 10:28
Subject: Re: [wanabidii] Ezekiel Maige - Sifurahishwi na yanayoendelea Bungeni

mh maige kaka hapo safi sana utaungwa mkono na wengi sana kama hauwi biased ....mh naibu spika ndugai ameshindwa kua na busara' anakariri miongozo' he dont harmonize them' busara ndio uongozi wa kweli' na viongozi waliotukuka ktk uongozi na wenye majina makubwa waliotutangulia walijaa hekima na busara na hawakukariri miongozo.
hv kungekua na hasara gani angemruhusu mh kub mbowe ambaye ni waziri mkuu kivuli kuongea then angehitimisha kwa kuahirisha kikao na kuwapa kamati husika task? hapa baba ndugai watanzania wamemjudge kama a failed leader nikiwemo mie.
ushabiki wa vyama hata ktk masuala ya kimsingi' istoshe hawqa ndio wanaowaharibia nyie wana ccm na kuwapa njia nyeupe hao wanachama wa chadema' mnashitakiana.....ila we must be careful ktk masuala haya maana cc tusio na vyama yanbatuhusu pia' hatamjudge mtu kwa vyama ni kwa namna anavyotanguliza maslahi ya taifa hili mbele
safi kaka maige' una msimamo ninaoupenda' ndio maana mie ni muuum,ini wa vijan a bila itikadi zao
mollel
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, September 7, 2013 10:38 AM
Subject: [wanabidii] Ezekiel Maige - Sifurahishwi na yanayoendelea Bungeni

Wapendwa, watanzania wenzangu. Nimetazama kwa mshangao na kutoamini kuhusu kilichojiri Bungeni jana. Kwa Bahati mbaya, binafsi sikuwepo niko Arusha kwenye mkutano wa Ushirika wa Wabunge wa Kamati za Mahesabu ya Serikali kutoka Nchi za SADC (SADCOPAC) na Nchi kadhaa za Africa nje ya SADC.
Sikuona Sababu kabisa ya kufikia hapo kwani hali hiyo ingeweza kuepushwa. Ingewezekana kabisa kuahirisha muswada na kutoa nafasi kwa Kamati ya Katiba na Sheria kwenda Zanzibar kupata maoni ya wenzetu wa huko.
Najua kuna maelezo mazuri ya kushirikishwa kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Lakini kikanuni, Baada ya Muswada kusomwa mara ya kwanza, unakuwa mikononi mwa Bunge na Kamati ndiyo inayokusanya maoni si Serikali!
Kwa kuwa hakuna ushahidi wa public hearing kufanyika Zanzibar na kuwasikia wazanzibari wa kawaida (nje ya serikali), basi kulikuwa na Hoja kabisa ya kurekebisha kasoro hiyo kwa kutoa nafasi kwa Kamati kwenda Zanzibar.
Suala la Katiba ni kubwa hivyo ni vema zikafanyika jitihada za kutosha kuhakikisha tunakwenda pamoja (na wenzetu hasa wenye mtazamo tofauti na Sisi) badala ya kutumia uwingi wetu kwani Mwisho wa safari tukienda Hivi wapo watakaodai Katiba mpya si yao na hivyo kuikosiesha social legitimacy!
Kwa kiti kutomsikiliza KUB nako kulitibua mambo bila sababu. Angepewa nafasi ya kusikilizwa Hata kama Hoja yake isipokubaliwa ingekuwa nafuu sana na shari na aibu ya jana ingeepukika!
Tumesameheana, lakini tujifunze na tujitahidi sana kwenda kwa maelewano.
Mungu ibariki Tanzania.
Ezekiel Maige,
Mbunge wa Msalala.
-- Sikuona Sababu kabisa ya kufikia hapo kwani hali hiyo ingeweza kuepushwa. Ingewezekana kabisa kuahirisha muswada na kutoa nafasi kwa Kamati ya Katiba na Sheria kwenda Zanzibar kupata maoni ya wenzetu wa huko.
Najua kuna maelezo mazuri ya kushirikishwa kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Lakini kikanuni, Baada ya Muswada kusomwa mara ya kwanza, unakuwa mikononi mwa Bunge na Kamati ndiyo inayokusanya maoni si Serikali!
Kwa kuwa hakuna ushahidi wa public hearing kufanyika Zanzibar na kuwasikia wazanzibari wa kawaida (nje ya serikali), basi kulikuwa na Hoja kabisa ya kurekebisha kasoro hiyo kwa kutoa nafasi kwa Kamati kwenda Zanzibar.
Suala la Katiba ni kubwa hivyo ni vema zikafanyika jitihada za kutosha kuhakikisha tunakwenda pamoja (na wenzetu hasa wenye mtazamo tofauti na Sisi) badala ya kutumia uwingi wetu kwani Mwisho wa safari tukienda Hivi wapo watakaodai Katiba mpya si yao na hivyo kuikosiesha social legitimacy!
Kwa kiti kutomsikiliza KUB nako kulitibua mambo bila sababu. Angepewa nafasi ya kusikilizwa Hata kama Hoja yake isipokubaliwa ingekuwa nafuu sana na shari na aibu ya jana ingeepukika!
Tumesameheana, lakini tujifunze na tujitahidi sana kwenda kwa maelewano.
Mungu ibariki Tanzania.
Ezekiel Maige,
Mbunge wa Msalala.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment