Friday, 6 September 2013

Re: RE: [wanabidii] Safari hii ya Goma ihitimishiwe Kigali

Mimi siamini kama Kunyaranyara wanataka vita hasa. Cha msingi hapa si Jk kukutana na PK ila wameongea nini Siamini kama JK hakumwambia PK alimaanisha nini kumwambia aongee na FDLR. kwa hiyo walichoongea iwe isiwe siri ndocho muhimu. Hajamuudhi mtu kwa kukutana naye lakini kama amemuomba msamaha ametuudhi wengi. Hakuna anayependa vita. Hata anayelazimika kupigana anakuwa amelazimika. Moja kati ya mazingira yaliyopelekea watu kuona heri kwenda vitani ni mwelekeo wa PK na kuyasoma mazingira ya East DRC. yakiachiwa kuamuliwa na PK basi na tanzania tunakuwa watarajiwa wa mgogoro kama huo  miaka mingi ijayo. Hilo ndilo wengine wakaona heri kupigana leo kuliko miaka 50 ijayo maana hatujui silaha za wakati huo zitakuwa zinafananaje

From: mngonge <mngonge@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, September 6, 2013 9:58 AM
Subject: Re: RE: [wanabidii] Safari hii ya Goma ihitimishiwe Kigali
Nafikiri JK jana katumia busara kuongea na PK kuepusha vita. Bila shaka JK kawaudhi sana akina Kunyaranyara kwa tukio hilo, maana wao wanachotaka vita. Sishangai sana maana kundi kama hili tunalo hata mitaani hata kwa kitu kidogo wao dawa wanaona ni kupigana tu. Tatizo ni pale wanajiamini na kuanzisha ugomvi ambao mwisho wake wanapigwa.Nawaomba akina Kunyaranyara watwambie hasara tutakazopata kwa hatua ya JK kuamua kuongea na PK badala ya kuwaamuru JWTZ kuwavurumishia risasi na mabomu Wanyarwanda
On Thu, Sep 5, 2013 at 6:34 PM, denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> wrote:
Mungu apishilie mbali tusije ingia kwenye vita za kijinga kabisa...................
2013/9/5 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
Woga wao wanajikuta wanafanya kazi ya adui hawa bila kujua. Wasiwakatishe tamaa watu wengine. Hatuwezi kupigwa viboko bila sababu halafu tubakie tunalalamika eti tunaomba tuzungumze.
Hata katika vitabu vyetu vya dini vinapiga vita woga. Hakuna njia ya mkato katika hili, msitukatisshe tamaa. Mnaweza tuwe pamoja hamuwezi basi kaeni kimya wanaoweza waitetee nchi yetu.
Sent from Yahoo! Mail on Android
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.--- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Wasalaam,
 
Denis Matanda,
Mine Planning Supt,
Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"
-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.--- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment