Thursday, 5 September 2013

Re: RE: [wanabidii] Safari hii ya Goma ihitimishiwe Kigali

Nafikiri JK jana katumia busara kuongea na PK kuepusha vita. Bila shaka JK kawaudhi sana akina Kunyaranyara kwa tukio hilo, maana wao wanachotaka vita. Sishangai sana maana kundi kama hili tunalo hata mitaani hata kwa kitu kidogo wao dawa wanaona ni kupigana tu. Tatizo ni pale wanajiamini na kuanzisha ugomvi ambao mwisho wake wanapigwa.

Nawaomba akina Kunyaranyara watwambie hasara tutakazopata kwa hatua ya JK kuamua kuongea na PK badala ya kuwaamuru JWTZ kuwavurumishia risasi na mabomu Wanyarwanda

On Thu, Sep 5, 2013 at 6:34 PM, denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> wrote:
Mungu apishilie mbali tusije ingia kwenye vita za kijinga kabisa...................

2013/9/5 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>

Woga wao wanajikuta wanafanya kazi ya adui hawa bila kujua. Wasiwakatishe tamaa watu wengine. Hatuwezi kupigwa viboko bila sababu halafu tubakie tunalalamika eti tunaomba tuzungumze.

Hata katika vitabu vyetu vya dini vinapiga vita woga. Hakuna njia ya mkato katika hili, msitukatisshe tamaa. Mnaweza tuwe pamoja hamuwezi basi kaeni kimya wanaoweza waitetee nchi yetu.

Sent from Yahoo! Mail on Android

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Wasalaam,
 
Denis Matanda,
Mine Planning Supt,
Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

0 comments:

Post a Comment