Tuesday 4 June 2013

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] Rasimu _Final_ YA KATIBA 2013.pdf

Matinyi kama tumeungana kweli, hizi nchi mbili inabidi kuzisahau kabisa, hayo yaliyoitwa majimbo ya uchaguzi ndiyo yakaongozwa na Magavana, Ikiwa hivyo hakuna cha waziri mkuu, mwinyi wala nini na hakuna cha mambo ya muungano, majimbo hayo ya uchaguzi yatakuwa na mabunge yake na sheria zake ndogo ngogo za ndani zisizokinzana na katiba ya muungano

Robert, kitendo cha atakayepinga matokeo ya uchaguzi afungwe sijui umefikiri kwa namna gani; maana kwa matinki hiyo basi kila atakayeshitaki na kushindwa afungwe ikiwemo viongozi wa serikali auhata serikali yenyewe


2013/6/5 Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
Jamani isome hii rasimu yote na kwa makini.
 
Ukiondoa yote, iwapo itapitishwa, basi ndugu yetu mpendwa Prof. Lipumba hatakuwa na sifa za kugombea nafasi yoyote ile. Kwenye urais wa Muungano soma Ibara 75(h).
 
Kwa maoni yangu, imejenga mianya mingi ya migogoro kwenye Muungano. Ni mingi mno labda tu kama wahusika na wananchi wataamua kuwa waungwana, jambo ambalo silioni, hasa kwa wenzetu wa Zanzibar ambao wanadai mambo yasiyowezekana kwenye muungano wowote ule.
 
Hayo maeneo yenye mianya ya migogoro sikubaliani nayo.
 
Aidha, sioni sababu ya nchi moja kuwa na marais watatu; ni heri wale wa Bara na Zanzibar wakapewa majina mengine, labda sultani, au mwinyi, au waziri kiongozi, au waziri mkuu, au gavana, au mfumwa, au mtemi, au mangi, n.k.
 
Rasimu hii kuna mambo ama haikuyaona au imeyakwepa. Inasema kwamba nchi washirika zinaweza kuingia kwenye mahusiano huko nje kwa faida yake. Hii ina maana kuwa itabidi kwenye kila jumuiya ya kimataifa tuwe na Tanzania, Bara na Zanzibar, mfano kwenye EAC iwapo kuna suala la maendeleo ya bandari itabidi kila mmoja aende kivyake na kumwacha rais wa muungano akisimama kando. Lakini likija suala la ulinzi na usalama basi kwenye majeshi ya kulinda amani rais wa muungano anaingia lakini kwenye mapolisi inabidi wale wawili waingie. Hii itakuwa vurugu ya ajabu na aibu kubwa kwa nchi.
 
Nchi marafiki zetu na zile zitakazokuwemo kwenye jumuiya za kimataifa ambapo Tanzania ni mwanachama pamoja na vitoto vyake hivi, zitatucheka, zitatuona ni keri na mwisho zitatushauri kwamba tuuvunje Muungano.
 
Hii rasimu kwa kweli ina maeneo ambayo yataleta aibu na hatimaye kuuvunja muungano. Hilo silikubali.
 
Matinyi.
 

Subject: Re: [Mabadiliko] Rasimu _Final_ YA KATIBA 2013.pdf
From: zittokabwe@gmail.com
Date: Tue, 4 Jun 2013 13:55:16 +0300
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com


Katiba ya sasa imefuta cheo ya Waziri mkuu. 

Sent from my iPhone

On Jun 4, 2013, at 1:52 PM, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:

Mapendekezo yangu kuhusu mgawanyo wa madaraka kwa nia ya kutunza hadhi kama muundo wa Serikali tatu utaridhiwa na Watanzania ni kama ifuatavyo:

1. Awepo Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya (siyo "wa") Tanzania pamoja na Mawaziri/Naibu Mawaziri bila kuwepo na Waziri Mkuu.
2. Muungano utokane na Tanganyika na Zanzibar (hata vyombo vyake viwe na hadhi sawa siyo huku Bunge halafu kule Baraza la Wawakilishi)
3. Serikali ya Tanganyika pamoja na ile ya Zanzibar ziongozwe na Mawaziri Wakuu kila upande na akiwa na Baraza lake la Mawaziri kwa mambo yale yasiyo ya Muungano. Hawa watakuwa Viongozi wakuu wa Serikali lakini Mkuu wa nchi ni  mmoja tu ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.

mengine yatafuata..........................


2013/6/4 Lukelo F.Mkami <mwipopo@gmail.com>
Hapa kidogo napata kigugumizi wazo la kuwa serikari 3 si wazo baya
maana kwa mtazamo wangu ni kama litaondoa kero nyingi za muungano ila
sijavutiwa na jina lililopendekezwa  liitwe kwa serikari ya Tanzania
Bara maana historia inasema Ujio wa Tanzania ulitokana na muunganisho
wa Tanganyika na Zanzibar sasa iweje kuwe na serikari ya united
republic of Tanzania , serikari ya Zanzibar na Tanzania bara kwanini
zanzibar inabaki kuwa zanzibar na si Tanzania Visiwani kama wanataka
kuwe na Tanzania bara mimi nadhani Tanzania bara iwe serikari ya
Tanganyika hapa italeta maana na italinda historia pia .
Naomba kutoa Hoja

On 6/4/13, Barnabas <drbmbogo@gmail.com> wrote:
> Asante Zitto kwa nakala hii halisi.
>
>
> On 04/06/2013, Jimmy Luhende <jimmy.luhende@gmail.com> wrote:
>> Asante Nico,
>> Wanapatikanaje ? Nani anateua na nani anathibitisha ? CV zao ?
>>
>>
>> 2013/6/4 Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com>
>>
>>> Jimmy
>>>
>>> Kamata hiyo hapo
>>>
>>> 93.-(1) Kutakuwa na Mawaziri na Naibu Mawaziri wa Serikali ya
>>> Jamhuri ya Muungano watakaoteuliwa na Rais kwa kushauriana na Makamu
>>> wa Rais na baadaye kuthibitishwa na Bunge.
>>> (2) Kwa madhumuni ya Ibara ndogo ya (1), idadi ya Mawaziri wa
>>> Serikali ya Jamhuri ya Muungano haitozidi kumi na tano.
>>> (3) Serikali ya Jamhuri ya Muungano itakuwa na Wizara kwa
>>> kuzingatia mamlaka ya Serikali kwa mujibu wa Katiba hii.
>>> (4) Uteuzi wa Mawaziri na Naibu Waziri wa Serikali ya Jamhuri ya
>>> Muungano utazingatia uwakilishi na uwiano wa Washirika wa Muungano.
>>> (5) Majukumu ya Waziri na Naibu Waziri yatakuwa kama
>>> yatakavyoainishwa na Rais kwenye Hati ya Uteuzi.
>>>
>>> Nicomedes M. Kajungu
>>> General Secretary
>>> National Union of  Mines and Energy Workers  of Tanzania.
>>> (NUMET)
>>> P.O.Box 7733, Mwanza.
>>> Cel: +255 782 315 688,
>>>         +255 767 48 32 71,
>>>         +255 719 451 850
>>>
>>> Email: numet4ever@gmail.com
>>> nicomedes76@gmil.com
>>> Skype add: nkajungu
>>>
>>>
>>> 2013/6/4 Jimmy Luhende <jimmy.luhende@gmail.com>
>>>
>>>> Bado sijaisoma lakini naomba kujua kama kuna mtu ameona jinsi mawaziri
>>>> wanavyopatikana anijuze....
>>>>
>>>>
>>>> 2013/6/4 paul lawala <pasamila292000@gmail.com>
>>>>
>>>>> Hilo nalitambua Kajungu
>>>>>
>>>>> Kwani katiba haiwezi kutamka ufafanuzi wa kimiundo mbinu?
>>>>>
>>>>> Hata kama hatujiandaa kutekeleza hilo sasa hivi linaweza kutamkwa
>>>>> tutekeleze hata baada ya miaka 20-30
>>>>>
>>>>>
>>>>> 2013/6/4 Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com>
>>>>>
>>>>>> Paul
>>>>>>
>>>>>> Si tulisha kubaliana kwamba suala hili la Kiswahili kuwa lugha ya
>>>>>> kufundishia kuanzia awali - chuo kikuu linahitaji miundo mbinu? Je,
>>>>>> likiwekwa kwenye Katiba na katiba ikapitishwa mwakani tutaweza
>>>>>> kuitunza
>>>>>> Katiba?
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>> Nicomedes M. Kajungu
>>>>>> General Secretary
>>>>>> National Union of  Mines and Energy Workers  of Tanzania.
>>>>>> (NUMET)
>>>>>> P.O.Box 7733, Mwanza.
>>>>>> Cel: +255 782 315 688,
>>>>>>         +255 767 48 32 71,
>>>>>>         +255 719 451 850
>>>>>>
>>>>>> Email: numet4ever@gmail.com
>>>>>> nicomedes76@gmil.com
>>>>>> Skype add: nkajungu
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>> 2013/6/4 paul lawala <pasamila292000@gmail.com>
>>>>>>
>>>>>>> *4.*-(1) Lugha ya Taifa ya Jamhuri ya Muungano ni Kiswahili na
>>>>>>>  itatumika katika mawasiliano rasmi ya kitaifa na kiserikali.
>>>>>>>
>>>>>>> *Hapa katiba inatakiwa ifafanue  zaidi kwamba Kiswahili kitakuwa
>>>>>>> lugha ya kufundishia kuanzia shule ya awali mpaka chuo kikuuu*
>>>>>>> **
>>>>>>> *Wapi Matinyi na wadau wa lugha?*
>>>>>>>
>>>>>>>
>>>>>>> 2013/6/4 Mushy <mushy2002tz@yahoo.com>
>>>>>>>
>>>>>>>> Kwa hili la mawaziri nimelipenda
>>>>>>>>
>>>>>>>> Sent from Yahoo! Mail on Android
>>>>>>>>
>>>>>>>>  ------------------------------
>>>>>>>> * From: * Deus M Kibamba <dkibamba@tcib.or.tz>;
>>>>>>>> * To: * <mabadilikotanzania@googlegroups.com>;
>>>>>>>> * Subject: * Re: [Mabadiliko] Rasimu _Final_ YA KATIBA 2013.pdf
>>>>>>>> * Sent: * Tue, Jun 4, 2013 7:56:43 AM
>>>>>>>>
>>>>>>>>   Kutakuwa na baraza la mawaziri litakalokuwa na wizara zisizozidi
>>>>>>>> 15 na
>>>>>>>> kwamba mawaziri wote hawatakuwa wabunge wala hawatahudhuria vikao
>>>>>>>> vya
>>>>>>>> bunge labda ukihitajika ufafanuzi fulani katika vikao vya Kamati za
>>>>>>>> Bunge.
>>>>>>>> Spika pia hatakuwa mbunge wala hatatokana na kiongozi wa chama cha
>>>>>>>> Siasa.
>>>>>>>>
>>>>>>>> Deus M Kibamba
>>>>>>>> Executive Director
>>>>>>>> Tanzania Citizens' Information Bureau
>>>>>>>> Off Old Bagamoyo/Bima Road, Mikocheni B - Market Area
>>>>>>>> P.O.Box 9354
>>>>>>>> Dar es Salaam - Tanzania
>>>>>>>>
>>>>>>>> Tel. +255 22 2780 765 (Office)
>>>>>>>> Fax. +255 22 2781 443 (Office)
>>>>>>>>
>>>>>>>> Cell: +255 788 758 581 (mobile)
>>>>>>>>
>>>>>>>> Email: info@tcib.or.tz
>>>>>>>>
>>>>>>>> Website: www.tcib.or.tz
>>>>>>>>
>>>>>>>> Skype: dkibamba1
>>>>>>>>
>>>>>>>> > Na pia wabunge kuwa mawaziri??
>>>>>>>> >
>>>>>>>> >
>>>>>>>> > ______________________________________________
>>>>>>>> > Real Change for Real Development,
>>>>>>>> >
>>>>>>>> > Lemburis Kivuyo
>>>>>>>> > +255654650100 - Website: www. <http://www.infocomcenter.com/>
>>>>>>>> kivuyo.com,
>>>>>>>> >
>>>>>>>> >
>>>>>>>> > 2013/6/4 Mkisi,George M. <gmsafiri@gmail.com>
>>>>>>>> >
>>>>>>>> >> Nimeinukuu hapa kutoka kwenye rasimu ya katiba.
>>>>>>>> >>
>>>>>>>> >> "(5) Kiongozi wa Umma hataruhusiwa kushika nyadhifa mbili
>>>>>>>> >> au zaidi au kutumikia Mihimili ya Dola zaidi ya mmoja kwa wakati
>>>>>>>> >> mmoja."
>>>>>>>> >>
>>>>>>>> >> Inamaana kwa wale wanaokuwa wakuu wa mikoa alafu ni mbunge kwa
>>>>>>>> rasimu
>>>>>>>> >> hii
>>>>>>>> >> ya katiba naona itakuwa vizuri sana.
>>>>>>>> >>
>>>>>>>> >>
>>>>>>>> >>
>>>>>>>> >> On Tue, Jun 4, 2013 at 10:28 AM, Lemburis Kivuyo
>>>>>>>> >> <lembu.kivuyo@gmail.com>wrote:
>>>>>>>> >>
>>>>>>>> >>> Asante
>>>>>>>> >>>
>>>>>>>> >>>
>>>>>>>> >>> ______________________________________________
>>>>>>>> >>> Real Change for Real Development,
>>>>>>>> >>>
>>>>>>>> >>> Lemburis Kivuyo
>>>>>>>> >>> +255654650100 - Website: www.
>>>>>>>> >>> <http://www.infocomcenter.com/>kivuyo.com,
>>>>>>>> >>>
>>>>>>>> >>>
>>>>>>>> >>>
>>>>>>>> >>> On 4 June 2013 10:07, Anael Macha <kowiri@yahoo.com> wrote:
>>>>>>>> >>>
>>>>>>>> >>>> Kibamba ipo wapi hio rasimu rasmi? Nipo nje ya nchi ndo maana
>>>>>>>> sipati
>>>>>>>> >>>> attachment?
>>>>>>>> >>>>
>>>>>>>> >>>> Tafadhali kaka. Asante na ubarikiwe
>>>>>>>> >>>>
>>>>>>>> >>>> Sent from my iPhone
>>>>>>>> >>>>
>>>>>>>> >>>> On Jun 4, 2013, at 9:01, "Deus M Kibamba"
>>>>>>>> >>>> <dkibamba@tcib.or.tz>
>>>>>>>> wrote:
>>>>>>>> >>>>
>>>>>>>> >>>> > Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe yuko sahihi. Hii ndiyo rasimu
>>>>>>>> rasmi
>>>>>>>> >>>> ile
>>>>>>>> >>>> > nyingine Hapana!
>>>>>>>> >>>> >
>>>>>>>> >>>> > Best reading,
>>>>>>>> >>>> >
>>>>>>>> >>>> >
>>>>>>>> >>>> > Deus M Kibamba
>>>>>>>> >>>> > Executive Director
>>>>>>>> >>>> > Tanzania Citizens' Information Bureau
>>>>>>>> >>>> > Off Old Bagamoyo/Bima Road, Mikocheni B - Market Area
>>>>>>>> >>>> > P.O.Box 9354
>>>>>>>> >>>> > Dar es Salaam - Tanzania
>>>>>>>> >>>> >
>>>>>>>> >>>> > Tel. +255 22 2780 765 (Office)
>>>>>>>> >>>> > Fax. +255 22 2781 443 (Office)
>>>>>>>> >>>> >
>>>>>>>> >>>> > Cell: +255 788 758 581 (mobile)
>>>>>>>> >>>> >
>>>>>>>> >>>> > Email: info@tcib.or.tz
>>>>>>>> >>>> >
>>>>>>>> >>>> > Website: www.tcib.or.tz
>>>>>>>> >>>> >
>>>>>>>> >>>> > Skype: dkibamba1
>>>>>>>> >>>> >
>>>>>>>> >>>> >>
>>>>>>>> >>>> >> Hii ndio rasimu rasmi ya Katiba. Imechapishwa gazeti la
>>>>>>>> serikali
>>>>>>>> >>>> Jana.
>>>>>>>> >>>> >>
>>>>>>>> >>>> >> Nimeona kuna nyaraka nyingine inasambaa, sio ya kweli.
>>>>>>>> >>>> >>
>>>>>>>> >>>> >> Kazi kwenu kuchambua
>>>>>>>> >>>> >>
>>>>>>>> >>>> >>
>>>>>>>> >>>> >>
>>>>>>>> >>>> >> Sent from my iPhone--
>>>>>>>> >>>> >> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la
>>>>>>>> 'Mabadiliko'.
>>>>>>>> >>>> >> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
>>>>>>>> >>>> mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>>>>>>> >>>> >>
>>>>>>>> >>>> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
>>>>>>>> >>>> >> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
>>>>>>>> >>>> >> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>>>>>>>> >>>> >>
>>>>>>>> >>>> >> TEMBELEA Facebook yetu:
>>>>>>>> >>>> >> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>>>>>>>> >>>> >>
>>>>>>>> >>>> >> For more options, visit this group at:
>>>>>>>> >>>> >> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>>>>>>>> >>>> >>
>>>>>>>> >>>> >> ---
>>>>>>>> >>>> >> You received this message because you are subscribed to the
>>>>>>>> Google
>>>>>>>> >>>> Groups
>>>>>>>> >>>> >> "Mabadiliko Forums" group.
>>>>>>>> >>>> >> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
>>>>>>>> >>>> >> from
>>>>>>>> it,
>>>>>>>> >>>> send an
>>>>>>>> >>>> >> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>>>> >>>> >> For more options, visit
>>>>>>>> https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>>>> >>>> >>
>>>>>>>> >>>> >>
>>>>>>>> >>>> >>
>>>>>>>> >>>> >
>>>>>>>> >>>> >
>>>>>>>> >>>> > --
>>>>>>>> >>>> > Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la
>>>>>>>> 'Mabadiliko'.
>>>>>>>> >>>> > Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
>>>>>>>> >>>> mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>>>>>>> >>>> >
>>>>>>>> >>>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda;
>>>>>>>> >>>> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
>>>>>>>> >>>> > Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>>>>>>>> >>>> >
>>>>>>>> >>>> > TEMBELEA Facebook yetu:
>>>>>>>> >>>> > http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>>>>>>>> >>>> >
>>>>>>>> >>>> > For more options, visit this group at:
>>>>>>>> >>>> > http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>>>>>>>> >>>> >
>>>>>>>> >>>> > ---
>>>>>>>> >>>> > You received this message because you are subscribed to the
>>>>>>>> Google
>>>>>>>> >>>> Groups "Mabadiliko Forums" group.
>>>>>>>> >>>> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails
>>>>>>>> >>>> > from
>>>>>>>> it,
>>>>>>>> >>>> send
>>>>>>>> >>>> an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>>>> >>>> > For more options, visit
>>>>>>>> https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>>>> >>>> >
>>>>>>>> >>>> >
>>>>>>>> >>>>
>>>>>>>> >>>> --
>>>>>>>> >>>> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la
>>>>>>>> 'Mabadiliko'.
>>>>>>>> >>>> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
>>>>>>>> >>>> mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>>>>>>> >>>>
>>>>>>>> >>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
>>>>>>>> >>>> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
>>>>>>>> >>>> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>>>>>>>> >>>>
>>>>>>>> >>>> TEMBELEA Facebook yetu:
>>>>>>>> >>>>  http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>>>>>>>> >>>>
>>>>>>>> >>>> For more options, visit this group at:
>>>>>>>> >>>> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>>>>>>>> >>>>
>>>>>>>> >>>> ---
>>>>>>>> >>>> You received this message because you are subscribed to the
>>>>>>>> Google
>>>>>>>> >>>> Groups "Mabadiliko Forums" group.
>>>>>>>> >>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from
>>>>>>>> it, send
>>>>>>>> >>>> an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>>>> >>>> For more options, visit
>>>>>>>> >>>> https://groups.google.com/groups/opt_out
>>>>>>>> .
>>>>>>>> >>>>
>>>>>>>> >>>>
>>>>>>>> >>>>
>>>>>>>> >>>  --
>>>>>>>> >>> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la
>>>>>>>> 'Mabadiliko'.
>>>>>>>> >>> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
>>>>>>>> >>> mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>>>>>>> >>>
>>>>>>>> >>> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
>>>>>>>> >>> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
>>>>>>>> >>> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>>>>>>>> >>>
>>>>>>>> >>> TEMBELEA Facebook yetu:
>>>>>>>> >>> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>>>>>>>> >>>
>>>>>>>> >>> For more options, visit this group at:
>>>>>>>> >>> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>>>>>>>> >>>
>>>>>>>> >>> ---
>>>>>>>> >>> You received this message because you are subscribed to the
>>>>>>>> >>> Google
>>>>>>>> >>> Groups
>>>>>>>> >>> "Mabadiliko Forums" group.
>>>>>>>> >>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from
>>>>>>>> >>> it,
>>>>>>>> send
>>>>>>>> >>> an
>>>>>>>> >>> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>>>> >>> For more options, visit
>>>>>>>> >>> https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>>>> >>>
>>>>>>>> >>>
>>>>>>>> >>>
>>>>>>>> >>
>>>>>>>> >>  --
>>>>>>>> >> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la
>>>>>>>> >> 'Mabadiliko'.
>>>>>>>> >> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
>>>>>>>> >> mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>>>>>>> >>
>>>>>>>> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
>>>>>>>> >> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
>>>>>>>> >> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>>>>>>>> >>
>>>>>>>> >> TEMBELEA Facebook yetu:
>>>>>>>> >> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>>>>>>>> >>
>>>>>>>> >> For more options, visit this group at:
>>>>>>>> >> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>>>>>>>> >>
>>>>>>>> >> ---
>>>>>>>> >> You received this message because you are subscribed to the
>>>>>>>> >> Google
>>>>>>>> >> Groups
>>>>>>>> >> "Mabadiliko Forums" group.
>>>>>>>> >> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from
>>>>>>>> >> it,
>>>>>>>> send
>>>>>>>> >> an
>>>>>>>> >> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>>>> >> For more options, visit
>>>>>>>> >> https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>>>> >>
>>>>>>>> >>
>>>>>>>> >>
>>>>>>>> >
>>>>>>>> > --
>>>>>>>> > Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la
>>>>>>>> > 'Mabadiliko'.
>>>>>>>> > Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
>>>>>>>> mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>>>>>>> >
>>>>>>>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda;
>>>>>>>> > mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
>>>>>>>> > Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>>>>>>>> >
>>>>>>>> > TEMBELEA Facebook yetu:
>>>>>>>> >  http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>>>>>>>> >
>>>>>>>> > For more options, visit this group at:
>>>>>>>> > http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>>>>>>>> >
>>>>>>>> > ---
>>>>>>>> > You received this message because you are subscribed to the
>>>>>>>> > Google
>>>>>>>> Groups
>>>>>>>> > "Mabadiliko Forums" group.
>>>>>>>> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>>>>>>>> send an
>>>>>>>> > email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>>>> > For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>>>> >
>>>>>>>> >
>>>>>>>> >
>>>>>>>>
>>>>>>>>
>>>>>>>> --
>>>>>>>> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
>>>>>>>> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
>>>>>>>> mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>>>>>>>
>>>>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+
>>>>>>>> unsubscribe@googlegroups.com
>>>>>>>> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>>>>>>>>
>>>>>>>> TEMBELEA Facebook yetu:
>>>>>>>> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>>>>>>>>
>>>>>>>> For more options, visit this group at:
>>>>>>>> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>>>>>>>>
>>>>>>>> ---
>>>>>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>>>>> Groups "Mabadiliko Forums" group.
>>>>>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>>>>>>>> send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>>>>
>>>>>>>>     --
>>>>>>>> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
>>>>>>>> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
>>>>>>>> mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>>>>>>>
>>>>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
>>>>>>>> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
>>>>>>>> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>>>>>>>>
>>>>>>>> TEMBELEA Facebook yetu:
>>>>>>>> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>>>>>>>>
>>>>>>>> For more options, visit this group at:
>>>>>>>> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>>>>>>>>
>>>>>>>> ---
>>>>>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>>>>> Groups "Mabadiliko Forums" group.
>>>>>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>>>>>>>> send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>>>>
>>>>>>>>
>>>>>>>>
>>>>>>>
>>>>>>>  --
>>>>>>> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
>>>>>>> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
>>>>>>> mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>>>>>>
>>>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
>>>>>>> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
>>>>>>> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>>>>>>>
>>>>>>> TEMBELEA Facebook yetu:
>>>>>>> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>>>>>>>
>>>>>>> For more options, visit this group at:
>>>>>>> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>>>>>>>
>>>>>>> ---
>>>>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>>>> Groups "Mabadiliko Forums" group.
>>>>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>>>>>>> send
>>>>>>> an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>>>
>>>>>>>
>>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>  --
>>>>>> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
>>>>>> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
>>>>>> mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>>>>>
>>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
>>>>>> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
>>>>>> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>>>>>>
>>>>>> TEMBELEA Facebook yetu:
>>>>>> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>>>>>>
>>>>>> For more options, visit this group at:
>>>>>> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>>>>>>
>>>>>> ---
>>>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>>> Groups "Mabadiliko Forums" group.
>>>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>>>>>> send
>>>>>> an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>
>>>>>  --
>>>>> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
>>>>> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
>>>>> mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>>>>
>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
>>>>> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
>>>>> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>>>>>
>>>>> TEMBELEA Facebook yetu:
>>>>> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>>>>>
>>>>> For more options, visit this group at:
>>>>> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>>>>>
>>>>> ---
>>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>> Groups "Mabadiliko Forums" group.
>>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>>> an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>> --
>>>> _______________________________
>>>> Executive Director
>>>> Actions For Democracy and Local Governance (ADLG)
>>>> P.O.Box 1631
>>>> Mwanza
>>>> Tanzania
>>>> Cell: +255 754 388 882
>>>>
>>>>  --
>>>> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
>>>> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
>>>> mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>>>
>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
>>>> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
>>>> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>>>>
>>>> TEMBELEA Facebook yetu:
>>>> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>>>>
>>>> For more options, visit this group at:
>>>> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>>>>
>>>> ---
>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>> Groups
>>>> "Mabadiliko Forums" group.
>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>> an
>>>> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>
>>>  --
>>> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
>>> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
>>> mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
>>> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
>>> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>>>
>>> TEMBELEA Facebook yetu:
>>> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>>>
>>> For more options, visit this group at:
>>> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>>>
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Mabadiliko Forums" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>>
>>>
>>
>>
>>
>> --
>> _______________________________
>> Executive Director
>> Actions For Democracy and Local Governance (ADLG)
>> P.O.Box 1631
>> Mwanza
>> Tanzania
>> Cell: +255 754 388 882
>>
>> --
>> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
>> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
>> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
>> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>>
>> TEMBELEA Facebook yetu:
>>  http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>>
>> For more options, visit this group at:
>> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>>
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Mabadiliko Forums" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
>
> --
> Barnabas
>  "*tunajua mnalindana*, *na kulindana huko sio bure*..Mh Deo Filikunjombe,
> April 2012"
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>
> TEMBELEA Facebook yetu:
>  http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>
> For more options, visit this group at:
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Mabadiliko Forums" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>


--

*Lukelo Felix Mkami Mwipopo
(Online Journalism Facilitator,Web Master,
Graphics Designer,DBMS,Network Technician,Computer Programmer)
+255 655 227507,+255 766 974242
lmkami@dudumizi.com
www.dudumizi.com
*

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.

TEMBELEA Facebook yetu:
 http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl

For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en

---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.





--
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment