Sunday 9 June 2013

[wanabidii] Rasimu Ya Katiba; Taifa Linajivua Gamba?

Rasimu Ya Katiba; Taifa Linajivua Gamba?  ( Makala, Raia Mwema)

Na Maggid Mjengwa,

MABADILIKO makubwa yamefanyika katika nchi yetu kwa mujibu wa Rasimu ya Katiba Mpya iliyozinduliwa wiki hii.

Haya ni mabadiliko makubwa kuwahi kufanyika tangu mwaka 1977. Ni mwaka ambao Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ilifanyiwa marekebisho makubwa. Mwaka huo wa 1977 yalifanyika mabadiliko makubwa pia kwenye uongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na hata ndani ya mfumo wa uongozi wa Serikali.

Naam, katika dunia hii, mabadiliko ya kijamii hupelekea mabadiliko ya kisiasa. Na Wanasholojia wanasema zipo sababu mbili zenye kupelekea mabadiliko hayo. Sababu za ndani ya jamii husika (endogenous) na sababu za nje ya jamii (exogenous).

Kwa upande wetu, tunaona kwamba sababu za ndani na za nje, kwa pamoja, zimesukuma... Soma zaidi...http://www.mjengwablog.com/siasa/item/3195-rasimu-ya-katiba-taifa-linajivua-gamba.html

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment