Monday 24 June 2013

[wanabidii] Maisha Ya Ujana Ya Jenerali Ulimwengu, Issa Shivji, Museveni, Sitta Na Wengineo.... ( I )



Na Born Again Pagan

Makala haya kwanza yaliandikwa kwenye "Kijiji" chetu (mjengwablogspot.com) mwezi Mei, 2007, chini ya kichwa cha habari, "BAP Anavyomwelezea Yoweri Museveni". Madhumuni yake yalikidhi ombi la "Mwenyekiti wa Kijiji" kunitaka nitoe maelezo kidogo juu ya wanafunzi wenzangu Darasa la 1970 hapo Mlimani: Yoweri Kaguta Museveni na Hirji.

Nilianza kwa kutoa hoja kwamba haiwezekani kabisa kuweza kusimulia ya Yoweri Kaguta Museveni na Hirji bila kutoa, pengine, "background" ya miaka kumi ya kuanzia 1960 na jinsi matukio hayo yalivyojenga mikitadha iliyozalisha wanafunzi wenye msimamo mkali, kama akina Yoweri Kaguta Museveni na Hirji.

Katika makala haya yaliyohaririwa na kuongezea maelezo zaidi (pamoja na kubadili kichwa chake), ninagusia baadhi ya matukio ya miaka hiyo, na jinsi yaliyochangia katika kuivisha maisha ya ujana wa akina Yoweri Kaguta Museveni (Uganda), Hirji, Issa Shivji (Tanzania) pamoja na wengineo wengi waliomaliza hapo Mlimani mwaka 1970, kwa mfano:
Souma (Guinea), Archibord Kapote Mwakasungura (Malawi), John Garang (marehemu) wa Sudani, Salim Msoma, Issa Shivji, Nimrod Mkono,.... Soma zaidi...http://www.mjengwablog.com/siasa/item/3483-maisha-ya-ujana-ya-jenerali-ulimwengu-shivji-museveni-sitta-na-wengineo-i.html#.Uciar5yNCAg

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment