Monday 24 June 2013

Re: [wanabidii] JINSI YA KUTIBU TATIZO LA NGUVU ZA KIUME

Hizo kidogo pengine zinamtosha. Anataka nyingi nyingi za nini? hahaha natania!
 
kijana anahitaji kujengwa kisaikologia tena wakiwa na huyo mpenzi wake au mkewe!.

From: Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, June 24, 2013 6:32 PM
Subject: Re: [wanabidii] JINSI YA KUTIBU TATIZO LA NGUVU ZA KIUME

HAPA nilionalo mie ni kuwa huyu jamaa kwanza kaisha jihakikishia kuwa anatatizo hivyo kila wakati hofu ni kubwa kabla ya kufanya tendo hilo. Aongee na mwenziwe waanze kufanyisha mazoezi ubongo ili kwanza hali ya kujiamini irudi.

Mengine unganisha waliokushauri waliotangulia.

2013/6/24 Leila Abdul <hifadhi@gmail.com>
MDAU ANAIMBA MSAA

MIMI NI KIJANA MVULANA WA MIAKA 27, NINA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME , NI KWAMBA HUWEZO WANGU NI KWENDA TENDO MARA MOJA U NA PIA HIYO MARA MOJA NAMALIZA HARAKA SANA NDANI YA DAKIKA NA NIKISHAMALIZA UUME ULEGEA SANA NA NI NGUMU KUSIMAMA TENA INACHUKUA MUDA SANA HATA MASAA MATATU KUSIMAMA TENA IMENIFANYA NIMEKUWA SIFURAHII KABISA TENDO LA NDOA NA HATA KUOGOPA SASA WASICHANA KWASABABU NASHINDWA KUWARIDHISHA, NAOMBA MSAADA WA TIBA NA USHAURI, SEEMU ZANGU ZA KIUME SI KUBWA SANA NI KAWAIDA NA PIA NINA KORODANI MOJA LAKINI HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA NA MUHEMKO HUKO JUU SANA NA HISIA KALI LAKINI UWEZO MDOGO SAN
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment