Rafiki Mpendwa, Inawezekana Kagame amefanya mengi mazuri kwa nchi yake, lakini ningependa jibu juu kama ni sawa kwake ku plan na kushirikiana kuuwa wa Congo na kujasiri kina mama na kuwapa watoto wa Congo shida za kuhamishwa makwao by force kutumia waasi ili aweze kupora mali za wacongoman aweze kujimudu.......Kwa kushirika kwake kuingilia mambo ya nchi ingina na kushirikiana akitumiwa kuvuruga Congo ni kosa kubwa sana........kuna shahidi ametumika na Bosco na tena anazidi kutumika na yule aliye chukua nafasi ya Bosco......ngoja kesi ianze ICC Hague uta sikia mambo.......kwani Bosco si atasema.........na kisha atatuambia ni nani mzungu wake anamtumikia kwa kuuwa wa Congo ili aweze kuwa porea mali........dhulma hii kaka.......Ana hatia wacha ajiteteeeee...... Sababu ya kushirikiana kuiba mali za wakongoman by force to ku benefit kwa mali za kuporwa kutoka nchi isiyo yake imemfanya amekua mbaya zaidi.........Hata akiweza kupeleka nchi yake mbinguni, amekosa utu na sina imani naye.........Itambidi na itakua ni lazima arudishe mali aliyo iba za wacongoman na kujibu kwanini kaua wa Congo makwao bila sababu... ndiposa nitaweza kutulia moyo wangu........ Kama anaweza shirikiana na chukua na kupora mali ya nchi ingine kwa lazima, hapo ametukosea amani.......Leo ni Congo, kesho ni Kenya kisha sikuzijazo itakua Tanzania........ A stitch in time saves nine......... --- On Tue, 6/4/13, ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote From: ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> Subject: Re: [wanabidii] Jakaya Kikwete must apologize; Rwandans say To: "wanabidii@googlegroups com" <wanabidii@googlegroups.com>, "emuganda@gmail.com" <emuganda@gmail.com> Date: Tuesday, June 4, 2013, 6:35 AM
EM, Nafikiri huenda hauna takwimu sahihi za kuhalalisha kauli yako kwamba Kagame amefanya mengi kuliko JK. Hebu rudi uone kilichopo hapa na kisha ulinganishe na Rwanda. Mfano mdogo tu ni urefu wa barabara linganishaa zile zilzoko Rwanda. Hebu linganisha na mradi ya maji kwa idadi ya watu wanaopata maji siyo kwa statistics zinzweza kukudanganya. Fikiria tena upya hoja yako hata kama unamtizamo tofauti wa kisiasa na JK kwa hiyo ukaona kuwa hajafanya kitu. Sent from Yahoo! Mail on Android | From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>; To: <wanabidii@googlegroups.com>; Subject: Re: [wanabidii] Jakaya Kikwete must apologize; Rwandans say Sent: Mon, Jun 3, 2013 5:27:36 PM Dr Kigwangalla, Mbona jibu ni rahisi? Kama mdogo wangu amechokoza baunsa nitamwacha apate kichapo kwa kiasi fulani. Kama kichapo kikizidi nitaingilia kati kumnusuru. Udogo wa Kagame au Rwanda hauhusiki kwa vyovyote vile, na kwa mtu kama wewe kutaja hivyo inaonyesha how arrogant our leadership is. Hivi kama Rwanda ingekuwa as big as Nigeria msimamo wa Kikwete ungebadilika? Yaani msimamo huo unahusiana na ukubwa wa Rwanda? How pathetic. Rwanda is a sovereign state, no matter how small it is. Najua tu kwamba Kikwete ana allergy na Kagame kwa sababu Kagame amefanya mengi nchini mwake ambayo Kikwete hawezi hata kufikia robo yake. em
Emmanuel Muganda,
Bila kuathiri masharti ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania, yanayokupa uhuru wa kusema lolote, naomba nikupinge na nikuulize swali moja tu...ukimkuta mdogo wako kachokoza baunsa na anachezea kichapo utafanyaje?
Kama kuna siku nitachokaa kumuunga mkono Rais wangu ni ile atakaporudi nyuma na kumeza matapishi yake kwenye hili...Kagame ni mtu mdogo sana na hatubabaishi...analeta vita kila sehemu kwa ujanja wake na uchu wa kutawala na kutamani kukuza empire yake kinyemela ili aijenge nchi yake. Kwani ni nani asiyejua hadithi ya namna alivyoingia kwenye power? Awadanganye wengine, siyo watanzania. Kwenye hili nipo upande wa serikali kwa jua ama kwa mvua.
Regards, HK. | |
0 comments:
Post a Comment