Thursday, 20 June 2013

Re: [wanabidii] Re: Vurugu za Jijiji Arusha-Zilikua lazima!!

Ni kweli Maro na Nickson, tunahitaji Amani katika nchi hii. Ninavyoona kulikuwa na uwezekano wa matukio yote kufnyika bila ugomvi. Kwa mfano ndugu zetu za Polisi wangeweza kusimamia zoezi la kuaga miili ya wafuasi wa CDM bila kuhitaji matumizi ya mabomu na wananchi wangeweza kutii amri ya polisi ili kuepuka mapambano na uharibifu wa mali uliotokea. Lets try peace kabla ya machafuko. We have to explore all means of maintaining peace before fighting. Hayo ni maoni yangu kama raia.

2013/6/20 Nickson ngajilo <nngajilo@yahoo.com>
Mwita
Umesema kweli Tanzania tunahitaji AMANI watu wabaya wasiyumbishe amani yetu.Polisi muwe macho Mkuu wa polisi chama chako kisitumike na chama kimoja cha siasa fuatane haki tumie akili.Polisi kama mngetumia akili vurugu za arusha zisingekuwepo.Mliona askari wa Misiri waliwalinda waandamanaji.We want peace please.......

From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, June 19, 2013 8:33 PM
Subject: [wanabidii] Re: Vurugu za Jijiji Arusha-Zilikua lazima!!

Ndugu victor

Vurugu nyingi zinazotokea maeneo mbalimbali zinafanywa na watu
waliopewa mafunzo kwa malengo hayo kwahiyo hicho unachoona
wanachofanya polisi ni haki yao kujilinda wao wenyewe na wananchi na
mali zao dhidi ya watu hao au makundi hayo ya watu .

Nawasihi vijana wenzangu wajiepushe na kufuata mkumbo haswa nyakati
hizi , wengi wenu hamjui chochote mnatumika tu .

On Jun 19, 8:22 pm, Victor Mwita <victormw...@gmail.com> wrote:
> Wadau jama nilikua jijini Arusha kikazi na wakati wa mchana kuelekea jioni
> nililzimika kurudi mahali milipofikia kwa ajili ya kuchukua document
> fulani. Kwa kuwa ilikua mjini nilijikuta katikati ya makundi yanayopingana,
> Upande mmoja polisi wakiwa wanarusha mabomu ya machozi kila mahali na
> makundi ya wananchi wakirusha mawe ovyo hususan wakiwalenga polisi.Ilifika
> mahali dereva wa taxi alikosa njia ya kupita maana mawe yalipangwa njiani
> kuzuia defenda za polisi.
> Kwa kweli kwa mara ya kwanza nilihisi naweza kupoteza maisha. Namshukuru
> Mungu dereva yule anafahamika so tuliweza kupenya hadi tukafika salama na
> kurudi japo machozi yalinitoka pamoja na kufunga vioo vya gari.
> Mimi najiuliza: Je zile vurugu zilikuwa na ulazima wowote? Ina maana
> wahusika hawawezi kutafuta njia muafaka ya kila mmoja kufikia malengo yake
> (yaani polisi kudumisha ulinzi na raia kuandamana kwa amani)
> Is it really worthwhile kufanya yale waliyofanya? Huku ndiko tunakoipeleka
> nchi yetu? Nahisi bado tunazo busara za kuweza kuishi kwa kuvumiliana na
> kuishi kwa amani because we are very diverse but united.
> Naomba wadau wote tupiganie amani despite our differences of opinion.
> Natamani ningekua na uwezo wa kuwasiliana na uongozi wa mkoa wa Arusha na
> wanasiasa niwashauri wajaribu amani kabla ya kupigana
> Kwa kweli hali ilinitisha sana sana
>
> --
> Victor Caleb Mwita
> Ministry of Livestock and Fisheries Development
> P.O. Box 9152
> Dar Es Salaam
> Tel: 0766750673, 0789142275

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Victor Caleb Mwita
Ministry of Livestock and Fisheries Development
P.O. Box 9152
Dar Es Salaam
Tel: 0766750673, 0789142275

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment