Friday 21 June 2013

Re: [wanabidii] Re: MWANABIDII MABULA SABULA ADAKWA NA UNGA NCHINI ITALIA

Mbona huyu mabula sabula alikuwa wa msaada mkubwa kusaidiwa watu kutibiwa Canada toka huku kwenye umasikini kwa kuwa katika mashirika ya huko?. Inakuwaje anajidhalilisha vikubwa hivi?
Au wamemwekezea au kamsaidia mtu mzigo asijue kuwa amebeba madawa? Unatakiwa uwe mwangalifu ukiwa dukani huko ulaya na ukiwa safarini usimpokee mtu mzigo hovyo ahta kama wewe una michache na yeye kazidisha uzito ndege itamtoza au aiache kama hana hela. Dukani pia ukienda kununua vitu, mtu racist anaweza akakutumbukizia kakitu kwenye mfuko wako wewe hujui, unatoka unafika getini kwenye king'amuzi-alarm inalia mlango wa duka unafunga, unaangalia ndani unakutwa na kitu hujalipia. Unaomba waangalie ktk camera zao unakuta kajitu kalikuwa kanakutumbukizia ulipokuwa busy unachakurachakura vitu umeacha hand bag yako hovyo au katika kitoroli bila ya mwenzako. Uwe mwangalifu hata hapa bongo siku hizi. Tena Italia huko ndi makomandoo Mafia kibao wa mambo hayo ya matukio..

Mungu amsaidie. Makosa ya madawa ni makubwa sana.Kitu gani hasa kimemuingia mpaka afanye haya na yupo ktk nafasi nzuri Canada?!!!!

From:
paul lawala <pasamila292000@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, 21 June 2013, 14:05
Subject: Re: [wanabidii] Re: MWANABIDII MABULA SABULA ADAKWA NA UNGA NCHINI ITALIA

Miaka yote hiyo(umri) bado anafanya dili hatari kama hizo

On Fri, Jun 21, 2013 at 3:49 AM, Jane Mwakalukwa <mwakalukwa@gmail.com> wrote:

On Friday, June 21, 2013 12:59:52 PM UTC+3, Jane Mwakalukwa wrote:
Mwanabidii Mabula SAbula 62 ambaye ni mtanzania anayeishi CANADA Amekamatwa Nchini ITALIA pamoja na mtoto wake wa kike MWENYE Miaka 14 na raia mmoja wa afrika kusini kwa kukutwa na madawa ya kulevya aina ya heroine kilo 12.3 .

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment