Friday 21 June 2013

Re: Re: [wanabidii] NDUGU ZANGU MMESIKIA AGIZO LA MKUU? TUJIANDAE KUPIGWA!

Siku za nyuma niliandika humu kwamba sisi watu weusi akili zetu zimevurugika sana wengi wakaniona mimi ni mbaguzi no sasa tuone niwaulize tujuzane jamani uchaguzi wa kumpata diwani, yaani diwani,! sijui naeleweka vizuri  ngoja niweke herufi kubwa DIWANI watu tunapigana mabomu hadi kuuwana! DIWANI TU! aaaa no! mimi sijawaelewa vizuri. tunapigana risasi tunauana kisa udiwani jamani hivi kweli sisi watu weusi akili tunazo au ziro!
   
Diwani ni kitu gani jamani? aaaah we!! watu weusi sisi nomaaaa! abhamwamu uuuuuuwi!!!

On Fri, Jun 21, 2013 at 9:29 AM, <ramachambega@yahoo.com> wrote:
Nadhani dhana ya kupigwa ni ya kikoloni sana kwa hakuna nafasi hiyo

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment