Tuesday 4 June 2013

Re: [wanabidii] Re: KONGAMANO LA WAISILAMU JIJINI DAR, Sheikh Ponda aunguruma, Awasihi waisilamu kuwa na umoja, Nuru inakaribia.


Twahitaji dictator kubadilisha nchi hii. Tusilee imani za udanganyifu kujidanganya na kuona mkosa daima ni mtu mwingine ambapo nasi hatuwajibiki ipasavyo.

Sote tunachangia ubovu wa elimu, kutokuwajibika kibazi na kisheria, utendaji duni akija mtu chapakazi mtamfanyia visa mpaka atakata tamaa. Siku hizi-wanakufanyizia. Kisasi kimekuwa donda ndugu, kuviziana kuibiana na kuuana.

Kuwe na mafunzo si kwa viongozi wa GVT tu bali kutoka GVT kuwafanyia viongozi wa dini na wao kufundisha wenzao. Na utungwe basi mtaala viongozi wa dini wa Kitaifa kuwapa mafunzo ya governance na development ethics. Waelewe kama wale wenzetu ulaya waprotestant (protestanism) ikawaletea industrial revolution wakaja kushika makoloni makwetu. Kwamba pamoja na kusali, kufanya kazi kwa bidii na kuzalisha mali na kupata faida itakayoleta maendeleo ya familia na nchi ni kumtukuza Mungu unaingia mbinguni-kiulanini. Usitegemee tu kuwa ukiua kwa jazba na sababu zako nyingine kuwa utafika peponi huko upate wanawali bwerere. No, utaingia motoni DEO (jina lako la Kibambizi halieleweki, unaweza ukasema-king'amuzi, vya kubambikizia!? hatari). Anyway, Kila mtu wa kila dini aangalie mapungufu yake ajirekebishe na budi afanye kazi na awajibike ipasavyo. Hakutokuwa na malalamiko ikiwa hivi. Wana siasa tu wamekosa pa kushikia na wameona watakosa vyeo 2015 wanaingia kipande ya dini na uonevu kumbe ni uswahili na uvivu.

--- On Tue, 4/6/13, Deo Kibambizi <kibambizi@gmail.com> wrote:

From: Deo Kibambizi <kibambizi@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Re: KONGAMANO LA WAISILAMU JIJINI DAR, Sheikh Ponda aunguruma, Awasihi waisilamu kuwa na umoja, Nuru inakaribia.
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, 4 June, 2013, 15:03

KIWASILA UKO SAWA KABISAAAAAA!....Hebu angalia na uchunguze mikoa hii hasa baadhi ya sehemu sehemu!Tabora mjini(Wakazi wake wengi mjini ni imani gani),halafu ungalie nyumba hadi leo wanazoishi ni za aina gani!Tembelea mji wa UJIJI-Kigoma angalia(wakazi wake wengi pale ni imani gani),tazama nyumba zao hadi leo wanazoishi.....!Bukoba pia kuna USWAHILI,MOSHI KUNA USWAHILI!Huwezi kusema eti Bukoba na Moshi wana maendeleo kwa upendeleo bali ni aina ya Waeneza dini wao walivyokuwa kuwa na mwamko wa elimu.Wasmisionari wa Kikristo waliependa elimu sana hasa elimu dunia ambayo ilikuwa kwa lengo la kupata wafanyakazi na pia kumtambua Mungu na wao kutumia njia hiyo kueneza elimu.Chunguza sehemu zote zinazoitwa USWAHILINI wanaoishi huko asilimia kubwa ni akina Yakhe....Kahawa,mdundiko,kuoa wake wengi,taraka za hapo kwa hapo,ndoa za mkeka...je,hawa ni imani gani?Tusilalamikie aina ya mfumo uliopo sasa bali tuwalalamikie wale walitukosesha elimu kwa kuhimiza tuuuuu elimu dini bila kuiunganisha na elimu dunia.

On Sunday, June 2, 2013 11:29:02 AM UTC-5, richard bahati wrote:
Sheikh Ally Basaleh nae hakusita kuwaambia serikali kuwa kwenye daladala waliopanda watanzania kuna watu wamevaa ndala na kuna wengine wamevaa buti wenye ndala wanakanyagwa ndio maana wanasema! Kwahiyo badala ya kufanya hasira na kuchukua maamuzi ya nguvu bora wawasikilize wanaosema wanakanyagwa.................. ...

http://goldentz.blogspot.com/ 2013/06/kongamano-la- waisilamu-jijini-dar.html

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment