Ndoto zipo tu lakini maaramia wa ndoto za watanzania ni ccm tu, inabidi tuikatae ccm kwa nguvu zote, maombi ya kufunga na jitihada binafsi. Tatizo kubwa la waliotutangulia ni unafiki tu, m2 anadanganya umma kuwa watanzania wote watakuwa na maisha bora lakini huyo huyo anakuwa kibaraka wa watu wa nje, kweli kwa mtindo huo tutafika kweli.
Mt. B; Bukoba Municipal, Tanzania - East Africa.
--- On Wed, 6/26/13, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:
From: Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> Subject: Re: [wanabidii] Maishani Mwake Obama Hajawahi Kuota Kuwa Makamu Wa Rais... Bali Rais! To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> Date: Wednesday, June 26, 2013, 11:12 PM
Dada zangu Anna na Angela...
Inasikitisha kuwa Watanzania wengi wana hofu hata ya kuwa na ndoto maishani. Wakiwa nazo na zikafahamika, kuna ambao watahakikisha wanaziangamiza, kwa hila, wivu, fitina na majungu. Ndivyo tulivyo. Lakini tunaweza kubadilika. Tukiamua.
Maggid, Iringa. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
|
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment