Wednesday 26 June 2013

Re: [wanabidii] Maishani Mwake Obama Hajawahi Kuota Kuwa Makamu Wa Rais... Bali Rais!

Dada zangu Anna na Angela...

Inasikitisha kuwa Watanzania wengi wana hofu hata ya kuwa na ndoto maishani. Wakiwa nazo na zikafahamika, kuna ambao watahakikisha wanaziangamiza, kwa hila, wivu, fitina na majungu. Ndivyo tulivyo.
Lakini tunaweza kubadilika. Tukiamua.
Maggid,
Iringa.

On 27 June 2013 08:59, anna nyanga <luguanna@yahoo.com> wrote:
Ngoto yako ni ipi?.........
 
Na ndoto ya taifa letu ni ipi?............Natamani kuiona Tanzania bila umasikini!. Umasikini wa akili na kipato.

From: Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
To: mabadilikotanzania <mabadilikotanzania@googlegroups.com>; wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, June 27, 2013 6:18 AM
Subject: [wanabidii] Maishani Mwake Obama Hajawahi Kuota Kuwa Makamu Wa Rais... Bali Rais!

... Ameota kuwa angekuwa Rais wa Marekani, amewawahi kusema wazi juu ya ndoto yake hiyo,  na amekuwa Rais wa Marekani, ni Rais wa Dunia.  Obama haamini katika nambari mbili. Na hata alipokuwa Havard University alichogombea ni Urais wa Wanafunzi wa Sheria, akawa mweusi wa kwanza kuwa Rais wa wanafunzi wa sheria chuoni hapo. Ni muhimu kwa mwanadamu kuwa na ndoto, hata taifa pia.
Good Morning!
Maggid ,
Iringa.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment