EM, Nafikiri huenda hauna takwimu sahihi za kuhalalisha kauli yako kwamba Kagame amefanya mengi kuliko JK. Hebu rudi uone kilichopo hapa na kisha ulinganishe na Rwanda. Mfano mdogo tu ni urefu wa barabara linganishaa zile zilzoko Rwanda. Hebu linganisha na mradi ya maji kwa idadi ya watu wanaopata maji siyo kwa statistics zinzweza kukudanganya. Fikiria tena upya hoja yako hata kama unamtizamo tofauti wa kisiasa na JK kwa hiyo ukaona kuwa hajafanya kitu. Sent from Yahoo! Mail on Android |
From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>;
To: <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Jakaya Kikwete must apologize; Rwandans say
Sent: Mon, Jun 3, 2013 5:27:36 PM
Dr Kigwangalla, Mbona jibu ni rahisi? Kama mdogo wangu amechokoza baunsa nitamwacha apate kichapo kwa kiasi fulani. Kama kichapo kikizidi nitaingilia kati kumnusuru. Udogo wa Kagame au Rwanda hauhusiki kwa vyovyote vile, na kwa mtu kama wewe kutaja hivyo inaonyesha how arrogant our leadership is. Hivi kama Rwanda ingekuwa as big as Nigeria msimamo wa Kikwete ungebadilika? Yaani msimamo huo unahusiana na ukubwa wa Rwanda? How pathetic. Rwanda is a sovereign state, no matter how small it is. Najua tu kwamba Kikwete ana allergy na Kagame kwa sababu Kagame amefanya mengi nchini mwake ambayo Kikwete hawezi hata kufikia robo yake. em On Mon, Jun 3, 2013 at 12:42 PM, Dr. Hamisi A. Kigwangalla <hkigwangalla@gmail.com> wrote:
-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. |
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment