--- On Fri, 5/10/13, Peter Lwegasira <petermakatu@yahoo.com> wrote:
From: Peter Lwegasira <petermakatu@yahoo.com> Subject: Re: [wanabidii] Re: URAIS 2015 - Dr Augustine Philip Mahiga To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com> Date: Friday, May 10, 2013, 5:26 AM
Mtandao wa wanabidii umepooza. Yona anatafuta namna ya kuuchangamsha. Naona kama anafanikiwa.
From: Selemani Rehani <srehani@hotmail.com> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com> Sent: Friday, May 10, 2013 8:08 AM Subject: RE: [wanabidii] Re: URAIS 2015 - Dr Augustine Philip Mahiga Matinyi, Niliposema mada hii na nikaona aliyekuja na hoja hii ni Yona, wala sikuhangaika kuumiza akili yangu. Kwani naelewa malengo yake. Selemani
From: matinyi@hotmail.com To: wanabidii@googlegroups.com Subject: RE: [wanabidii] Re: URAIS 2015 - Dr Augustine Philip Mahiga Date: Thu, 9 May 2013 13:50:47 +0000 Yona, Hakuna kitu kama hicho - eti tutafute mtu anayependwa na jumuiya ya kimataifa, ili akaifanyie nini? Mjadili Dkt. Mahiga kwa uwezo wake na sifa zake na uzalendo, siyo hii kitu ya ajabu. Mfano wako wa Mkapa hauna mantiki kwa sababu kwenye mchakato wa CCM aligombea na watu ambao walikuwa hawajawahi kuwa mawaziri wa mambo ya nje na hata yeye alikuwa kweye nafasi hiyo enzi tunapigana na Amin, siyo wakati huo. Suala la Kikwete kuingia kwenye urais halikuja kwa sababu alikuwa waziri wa mambo ya nje bali kutokana na sababu za ndani zikiwemo kampeni kali za muda mrefu na alishindana na watu ambao pia hawakuwa na sifa hii. Lakini kwani Mwinyi aliwahi kuwa kwenye nafasi hiyo? Nyerere je? Vipi Uhuru Kenyatta? Moi je? Museveni? Kagame? Nkurunziza? Kabila? Mugabe? Zuma? Obama? Holland wa Ufaransa je? Hakuna kitu kama hiki duniani ingawa kuyafahamu masuala ya kimataifa ni sifa muhimu lakini tunahitaji zaidi ya hapo. Tusitumie vigezo rahisi kwenye mambo makuu. Matinyi.
Date: Thu, 9 May 2013 06:45:29 -0700 Subject: Re: [wanabidii] Re: URAIS 2015 - Dr Augustine Philip Mahiga From: pasamila292000@gmail.com To: wanabidii@googlegroups.com Tumpende sisi kwanza ,jumuia ya kimataifa baadaye -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
|
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment