Sunday 12 May 2013

Re: [wanabidii] Mazishi ya Wakristo (wafiadini) waliouwawa kwa bomu Arusha yafanyika

duuu

On 5/11/13, richard bahati <ribahati@gmail.com> wrote:
> Arusha. Watu watatu, waliofariki katika shambulio la bomu katika Kanisa
> Katoliki la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi, Parokia ya Olasiti, mkoani Arusha
> wamezikwa jana na mamia ya watu, huku ulinzi ukiwa umeimarishwa kuliko
> kawaida na viongozi wa dini na Serikali kutoa kauli nzito.
> Marehemu hao, ni Regina Loning'o Laizer (45), James Gabriel(16) na
> Patricia Joachim Assey(9) walizikwa katika eneo la kanisa hilo Katoliki,
> mazishi yaliyohudhuriwa na maaskofu wanane wa majimbo tofauti ya Kanisa
> Katoliki, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT), Askofu
> Alex Malasusa, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na viongozi mbalimbali wa dini,
> Serikali na kisiasa.
>
> Kwa habari kamili na picha:
> http://www.goldentz.blogspot.com/2013/05/mazishi-ya-wakristo-waliouwawa-kwa-bomu.html
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment