Friday 24 May 2013

[wanabidii] Kupinga Kwangu Ubaguzi Kulinifanya Niandamwe Na Vikundi Vya Kibaguzi Ulaya..



Ndugu zangu,

Kufuatia vurugu za vijana na polisi,  zinazoendelea kwenye viunga vya Stockholm, Sweden, juzi hapa nilisimulia ushiriki wangu kwenye Kamati ya Kitaifa ya watu 12  nchini Sweden iliyoandaa rasimu iliyopelekea kuundwa kwa kituo cha kwanza cha kitaifa dhidi ya ubaguzi nchini Sweden.

Ilikuwa mwaka 2003. Kazi hiyo ilipelekea wajumbe wote 12 kuandamwa na vikundi vya kibaguzi si tu katika Sweden, bali Ulaya pia. Hata hivyo, hatukukata tamaa. tuliifanya kazi hiyo hadi mwisho. Hapa chini ni moja  ya taarifa za moja ya vikundi hivyo vya kibaguzi ambapo jina langu pia limeorodhoshwa...

Message 174
From: Antiracist Laponia
Subject: CETRUM MOT RASISM, CMR like a copy of fake antiracist league NMR (...like a kind

CETRUM MOT RASISM, CMR like a copy of fake antiracist league NMR... Soma zaidi..http://www.mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/2897-kupinga-kwangu-ubaguzi-kulinifanya-niandamwe-na-vikundi-vya-kibaguzi-ulaya.html#.UZ_O3Mrwnqo

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment