Friday 24 May 2013

Re: [wanabidii] VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI KUHUSU GESI

Kule Geita wanakochimba dhahabu walisema hivyo hivyo ,watajenga hiki na kile
 
Lakini hali ya wananchi wanaoishi karibu na machimbo haijabadilika
 
Sasa hivi lazima mazungumzo ya wazi yafanyike kushirikisha wananchi,mkataba mama unaoelezea mgawanyo mzima uwekwe wazi
 
2013/5/24 TSAKHARA PATRICE <tsakhara@yahoo.com>
Bomba la gesi linalotegemewa kujengwa kutoka Mtwara hadi Dsm ni mali ya serikali ya Tanzania ikisimamiwa na TPDC. Mitambo ya kusafisha gesi ghafi itajengwa kule kule Mtwara na miundo mbinu ya kusambaza gesi kwa mahitaji ya viwanda kule Mtwara pia itajengwa.
 
Kwa vile mahitaji makubwa ya gesi asili kwa sasa yako Dsm ndiyo maana serikali imeazimia kujenga bomba kubwa la gesi. Ikumbukwe kuwa mwaka 2004 mradi wa bomba la gesi kutoka kisiwa cha Songo Songo hadi Dsm ulikamilika na mitambo ya kufua umeme kwa kutumia gesi asili ilianza kufanya kazi Dsm na baadaye mitambo mingine ilifungwa Somanga Fungu. Pia kuna viwanda vingi Dsm na baadhi ya mahoteli vinatumia gesi na vingine vinategemea kuanza kutumia gesi siku za baadaye.
 
Pia ikumbikwe kuwa Tanzania siyo nchi ya kwanza kuanza kujenga bomba kubwa la gesi, kuna bomba linalosafirisha gesi asili kutoka Urusi hadi nchi za ulaya yenye urefu wa maelfu ya kilomita. Pia kuna bomba la gesi kutoka Norway kwenda nchi zingine za ulaya. Yote haya ni kufuata soko kubwa la gesi asilia.
 
Kule Mtwara siku za baadaye kunaweza kujengwa mitambo ya kujaza gesi asili kwenye meli za kusafirisha gesi kwenda nchi mbali mbali duniani ambako soko kubwa lipo (Liquified Natural Gas - LNG). Kwa mfano asilimia 40 ya LNG duniani inanunuliwa na Japan kwa ajili ya mitambo ya kuzalisha umeme na matumizi ya viwandani.
 
Kwa maoni yangu ni vema wananchi wakaiamini serikali yao itekeleze mradi huo mkubwa. Vinginevyo ni sawa na wananchi katika sehemu fulani wamezalisha mazao ya biashara kwa ajili ya kuuza nje ya maeneo yao lakini wanakataa ujenzi wa barabara inayounganisha maeneo yao na maeneo mengine ambayo kuna soko kubwa. Kwa sasa Dsm kuna soko kubwa la gesi asili kuliko Mtwara.
 
Kuna kila sababau ya wana Mtwara kujivunia na raslimali ya gesi asili iliyopo katika maeneo yao. Ni vema wakashirikiana na serikali yao kujiletea maendeleo yao na taifa kwa ujumla.
     
From: Godfrey Obonyo <obonyogt@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, May 24, 2013 12:49 PM

Subject: Re: [wanabidii] VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI KUHUSU GESI
Mtwara kuna Bandari kwa nini serikali isiimarishe bandari ile na miundo mbinu ya barabara bna reli ili gesi hiyo ifuliwe mtwara huko na kusafirishwa ikiwa tayari kwa matumuizi ? naamini hii italeta ajira nyingi kwa wenzetu wa mtwara pamoja na kuendeleza mji wa mtwara, hii pia itasaidia kusogeza huduma nyingi za jamii karibu kwa watu wa mtwara na pia kitaifa ni nzuri kuona nchi yetu inakuwa kimaenedeleo pande zote.
 
tuachane na mambo ya mabomba haya, haya ni miradi ya watu wasio kuwa na huruma na nchi yetu na hasa rasilimali zetu, na hata Maisha ya watanzania,
 
Bomba hili ni la nani? mbona lina letwa hata kwa kumaliza maisha ya watu?!!! lina utofauti gani na kina Richmond, Symbion, EPA, Green Deep Agriculture, Kagoda, nk Tuachieni Tanzania yetu tutaendelea taratibu, siyo kwa mikono ya Mabwenyenye.--- On Wed, 5/22/13, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com> wrote:
 
From: Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI KUHUSU GESI
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, May 22, 2013, 6:03 AM

POLISI 6 WAMEUWAWA NA WANAINCHI.SILAHA BAADHI ZIPO MIKONONI MWA RAIA,DARAJA LA MIKINDANI KARIBU NA SOKO LA WATUMWA,SIO DARAJA KUBWA,LIMELIPULIWA.HALI INAONEKANA ITAKUWA TETE ZAIDI WAKATI WA USIKU.
On Wed, May 22, 2013 at 3:48 PM, denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> wrote:
This is very sad indeed................
Mungu awasaidie pande zote mbili busara itawale kwenye maamuzi.
2013/5/22 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
Nasikia hata Guest Houses walizowahi kufikia askari wakati wa vurugu za mwanzo zinachomwa moto (Not sure).
 
Hali kama hii haifai kabisa kwa Taifa huru kama hili. Wahalifu lazima wasakwe na wakamatwe na wafikishwe mbele ya mkono wa sheria.
 
Naona hii sio gesi tu kuna kitu cha ziada hapa.
 
Tutajua tu.
 
K.E.M.S.
From: gm <gm26may@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, 22 May 2013, 3:47
Subject: Re: [wanabidii] VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI KUHUSU GESI
Na kwa mamlaka gani na aliyopewa na nan?
gm
Date: Wed, 22 May 2013 10:36:51 +0000
Subject: Re: [wanabidii] VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI KUHUSU GESI
Hili Tamko limetolewa na nani?
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
Date: Wed, 22 May 2013 13:34:37 +0300
Subject: Re: [wanabidii] VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI KUHUSU GESI
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa tanzania haiwezi kuwapigia magoti wahalifu .
Kama wao sio wahalifu kweli kwanini madai yao hayafuati taratibu za kisheria kama mahakama au njia nyingine za mazungumzo badala yake wameamua kufanya vurugu zilizochangia katika uharibifu wa mali za watu haswa ndugu zao wa huko huko mtwara , vifo , uvunjifu wa amani ambao unachangia kukimbiza wawekezaji na kujenga utengano wa kitaifa ?
Serikali ya Tanzania haitakubali kuyumbishwa na wahalifu hawa , watachukuliwa hatua za kisheria kama wahalifu wengine wanavyochukuliwa hatua .
Kwa Watanzania wa kawaida kama mimi na wewe tuendee na shuguli zetu za kujenga nchi yetu popote tulipo , tuendeleze mshikamano , amani , upendo na utulivu bila kujali tofauti zetu nyingine .
Tanzania ni moja itaendelea kuwa moja wahalifu hawana nafasi .
On Wed, May 22, 2013 at 12:07 PM, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com> wrote:
VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI KUENDELEA NA MPANGO WAKE WA KUSAFIRISHA GESI KWA NJIA YA BOMBA KWENDA DAR ES SALAAM .
HIVI SASA WANANCHI WANANCHOMA MOTO MATAIRI HUKU JESHI LA POLISI LIKIENDELEA KUDHIBITI HALI HIYO
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
-- http://www.wejobs.blogspot.com/ Jobs in Africa
http://www.jobsunited.blogspot.com/ International Job Opportunities
-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.--- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.  

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

Wasalaam,
 
Denis Matanda,
Mine Planning Supt,
Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

0 comments:

Post a Comment