Tuesday 21 May 2013

Re: [wanabidii] KUTOKA TANGA - Makanisa mawili yachomwa moto

Kitigwa-attachment hapa inafundisha kuhusu vita vinavyoendelea duniani mfano afghanistan na kwingineko ambavyo vinasemekana ni vya kidini. Lakini, pamoja na kuchomewa makanisa-mkatoliki au wakristu hawatolipiza kisasi kukawa na vita ya msalaba.Ukipiga la kushoto atageuza la kulia. Utakwenda kwenye huduma zake za afya utahudumiwa tu. Ila atasali kuomba Mungu atende Miujiza yake.

Hivi DINI na madawa ya Kulevya na Mungu vinaendana? Nimehoji vita vya dini vinavyoendelea kwa wenzetu dhehebu hili vs lile na kubaka, kutia vilema na kuua. kuna Mungu hapa?  Hii haiingii akilini kuwa ni mapigano ya udini.  Unaua unamtaja Mola, unasali huku unalinda unga wa cocaine au maua yake ya poppy ya kukusaidia kuuza madawa ya kulevya yanayoua na kuharibu watu na ni Haram-hapa pana Mungu kweli? Unasali sana lakini fedha yako inatokana na magendo ya cocaine au mengineyo. Unasali huku unatenda uovu uwe wa dini yoyote ile. Hapa Mungu huna.  Ona hivyo vitoto vya huyo bab mpiganaji ktk attachment. Kingine kimevaa hirizi kibao ila hapo vinavyovuta hewa ya unga unaoharibu ubongo na mishipa yake.

Haya hata huyo Kony anayepigana kwa jila la Yesu lakini anajificha hataki afe kama Yesu msalabani. Yeye ambaye anapigana kwa jina lake Yesu hajitokezi, ameua anasakwa. huyu ni wa Yesu kweli. Hataki awe mtakatifu kama mashahidi wa Uganda wanachomwa moto wanamkiri Yesu au Mt Stefano alivyopigwa maewe hadharani akimfia Yesu na watakatifu wengineo. Kony anaua lakini yeye hataki kufa kwa kujitokeza na kutundikwa msalabani.

Kibwetere kaua kazika watu kanisani na ktk majumba ya eneo la kanisa kawafukia kisiri. Kakusanya dhahabu-mikufu, pete za waumini na vito kibao vya thamani kajaza masanduku eti anavitoa mapepo. Kawafungia kutwa kucha wakisali na kuomba. Kisha akalitia kanisa moto. Kuna mama mmoja alitoroka kwenda home kula maana hawakula kutwa akaona akale akajipenyza kwenda chooni hakurudi. Anarudi ile saa kumi na mbili jioni akaona kanisa linawaka moto, lakini akamuona Kibwetere na walinzi wake wakipakia masanduku ktk gari wakitimka. Milango ya kanisa imefungwa kwa nje muda huo wa kufumba macho na kuomba kwa nguvu na kelele. Watu wanateketea kwenda kwa Mungu.

Na wale zamani walipelekwa kisiwa kimojawapo (Jamaica??) wakapewa sumu kunywa waende kwa Mungu. Na lile kanisa la kizushi la Kuresh USA walivalishwa sare, wamefunga mabegi yao, mamelala kitandani na sare zao na mabegi na kunyimwa oksijeni na kufa ndege ikiwa inawasuribi kupakia roho zao ziende peponi. Kuresh hakufa. alikamatwa. Story ni nyingi za hizi dini za kuzuka zinazoanzishwa na wajanja wachache ndio zinakuja na vituko.
Ni sawa na wale wanaoongeza mambo yao binafsi katika misahafu ya Mungu kwa manufaa yao binafsi Mungu hakusema hivyo ktk vitabu vyake vitakatifu asilia.

Huu wao wa kuchoma makanisa au mahekalu yasiyo ya dini yao ni ubinafi. Coptic churches Egypt ni chache na wakristi labda 0.1% lakini vikanisa vinachomwa, hupati ajira ukiwa mkristu na ukisilimu kuolewa ukaja kuachika ukarudia ukristu unauawa. Hii, haijazuia wasipigane walivyofikia sasa na bado vikanisa hivyo viduchu ni Tatizo vinachomwa daily.

Ubinafsi, wivu usio muono wa mbali na kujikanya, njaa, kutokuwa na malengo, uvivu na kubweteka kusiko Vision. Jiulize, Ukishakuchoma shamba lako litakuwa limelimika? Utakuwa umevuna mazao na  mtoto wako atakuwa kasoma shule na kupasi? Waliobweteka Uarabuni wana visima vya mafuta makampuni ya kizungu yanachimba kwa technolojia zao wenye mali wanauza wanafaidi mihela. Sisi huku tuna ardhi oevu-tulime!! Tuache story za simba na yanga na manchester. Mswahili asiye muono wa mbali externalization of errors/mistakes ndio tija kwake isiyo na measurable positive outputs.

--- On Tue, 21/5/13, F kitigwa <kitigwa@gmail.com> wrote:

From: F kitigwa <kitigwa@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] KUTOKA TANGA - Makanisa mawili yachomwa moto
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, 21 May, 2013, 6:39

Chamani,
Wanaoendeleza mateso na kuvunja, kuchoma makanisa lazima ni wa imani ya kiislamu tu na si vinginevyo.
Kuna watu wanasema ni maadui toka nje wanataka tupigane wenyewe kwa wenyewe mi nasema hizo zote ni propaganda tu ya kutaka kuficha ukweli,
Kama wangekuwa ni maadui kutoka nje wala wasingelenga makanisa na wakristo ambao hawajishughulishi kulipiza kisasi, wangechoma, bomoa au lipua msikiti mmoja tu na kesho yake waislamu woote wangekuwa mtaani wanaandamana na kuleta fujo za kulipiza kisasi kwa kuvamia na kuharibu mali za wakristo.
Kwa hiyo ndugu yangu Chamani jiangalieni sana huko kwenye kambi yenu na mjirekebishe kwa kuambiana ukweli la sivyo pakinuka nchi hii hata nyie hamtasujudu kwa raha misikitini kwenu.

kitigwa

2013/5/21 amour chamani <abachamani@yahoo.com>
Alexander,
Hivi uwezo wenu kwa kufikiri ukoje?
Hivi tatizo la duniaa hii ni Alqaida na Taliban?
Hivi siyo vita yenu ya Msalaba mlioianzisha huko Afganistani na Iraq?
Mnazipiga nchi za watu kisha mnawalaumu wanaopigwa?
Wakati mwingine naomba mjitahidi kuwa huru kutoka katika UBUBUSA(DOGMA} wa imani zenu.
Mifano mbona ipo mingi tu ya LRA ya Kony mpaka Kibwetere!
Ububusa wenu unaipeleka nchi pabaya.Kila chochote kinachofanyika dhidi ya kanisa na viongozi wake tayari kimefanywa na Waislam ndiyo maana mnapata tabu hata suala la mlipuko wa Arusha.
Ukizungumzwa udini ni waislam jamani mpaka lini ninyi?

Walewale.

From: alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, May 20, 2013 10:19 PM

Subject: Re: [wanabidii] KUTOKA TANGA - Makanisa mawili yachomwa moto

Kiwasila,
Hao wachoma mahekalu hawaogopi CCTV nitofauti sana na vibaka, maana wao wanasukumwa na IMANI.  Ndio maana inakua vigumu kushughulikia Boko Haramu, Taleban, Al-qaeda, na Alshababu. Wako tayari kufanya lolote kwa gharama yoyote maana wanaitetea 'IMANI'. Kumbuka wengine wamefundishwa na kushika, 'Ukiua kafiri unaenda ahela na ukijilipua na kuuwa walei na maaskofu utapewa zawadi ya mabikra ahela. Ni imani za jinsi hii ndio zinawafanya watu wasiwaze mara mbili kufanya mauaji yasiyo elezeka.
Alexander

From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, May 20, 2013 3:00 PM
Subject: Re: [wanabidii] KUTOKA TANGA - Makanisa mawili yachomwa moto

Angalia faida ya CCTV cameras na ya Video Camera na Camera za Kawaida ktk kufichua uovu. Jamaa kafumaniwa, lakini gari la kumpokea kutoka gholofa la juu liliitwa kumpokea. jee sisi tuna magari namna hii ya vono? uliziona gari za Police USA Boston kulikotokea mripuko ni ya kutisha na kiusalama hali ya juu. Maendeleo kiuchumi na mabadiliko kijamii yaje na maendeleo kiteknolojia.

Pili-Wazo: Kama mpira wa yanga na simba siku moja umeingiza milioni mia tano- si tunaweza kuchangia maendeleo sio kuangalia mpira tu? Makanisa, misikiti inaweza kuleta maendeleo ya jamii zao kwa kuchangia au kufanya au kuandaa mashindano ya namna hii kama ya ushindani wa Simba na Yanga kukusanya mapato ya kujenga na kuongezea michango ya waumini. Twachangia arusi (send in, send-off) na mipira. Twaweza. Chuki na kuchomeana mahekalu why?

Tumejenga kwa miaka 50 bado tupo hapa-tuanze kubomoa inakuwaje tena. Wivu wa elimu ni pamoja nawe kusoma sana, wa maendeleo ni wa wewe kuiga kuyatafuta. Mbona michango ya arusi mikali sana? vipi ukiwa msikitini/kanisani kuchangia shule ya vidudu, zahanati, kisima cha maji. Pili, kila kanisa au msikiti-uwe na borehole ya maji kutoka huduma. Kila msikiti mkuu kikata uwe na shule ya vidudu au ya Msingi na kila wa wilaya shule ya msingi, kimkoa kila dini/dhehebu iwe na secondary na high school moja na kitaifa Chuo Kikuu, hospitali ya Kitaifa. Kila dhehebu linachangia wenyewe kwa toa ndugu au sadaka. Lawama itakwisha. Kila dhehebu linagharimia mfumo wake wa mahakama ambao unatambulika kitaifa kwa ajili ya rufaa ikitakiwa.Vyeti vya ndoa vimekwisha kutolewa kwa madhehebu yote vinatambulika na GVT. Ni mambo madogo tu yakiwa coordinated na walezi kimadhehebu kupata TOT training-Tutapeta kama tutajituma. Maana-hata kwenye dini moja wanapigana anyway na vita haiishi, vilema kila kona hawana msaada, wanateseka. Why tuwaige Alexander?

--- On Mon, 20/5/13, alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com> wrote:

From: alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] KUTOKA TANGA - Makanisa mawili yachomwa moto
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, 20 May, 2013, 11:54

Kiwasila inauma sana, hakuna maendeleo katika ubinafsi. 

Huu ushauri wako nimuhimu...'Ufike wakati nchi za ulaya sisipokee wakimbizi, isiwauzie silaha nchi za africa na bara la Asia, UN iache kwenye nchi zipiganazo zijimalize zenyewe bila misaada labda wataacha. Faida gani miji ya Somalia, Syria kuwa maghofu? gharama ya miaka/karne ya kujenga miji hiyo ya maghorofa kama Libya, Syria na sasa kubomoa'

Nafikiri UN ikifanya hivyo watu watatia akili. Haingii akilini nchi kama somaliland kutotawalika maana ni kabila na dini moja. Hawa siasa kali wanataka kusilimisha dunia nzima, ila sasa hata mahala ambapo nchi nzima ni islam hakuna amani.
Alexander

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--

0 comments:

Post a Comment