Tuesday 21 May 2013

Re: Re: [wanabidii] Re: Kinachotokea Iringa, Tafsiri Yangu....

Kama umeeleweka Mngonge sitegemei kusikia polisi wakiwarushia mabomu ya machozi wapiga kura hawa au makundi mengine. La sivyo tutajua kuwa vyombo hivi vinatumika kuidhoofisha CCM. Watakuwa wanawaimarisha wananchi kuitumia falsafa ya nguvu ya umma kijasiri.na kama na hii ni mbinu ya CHADEMA basi naelekea kuwavulia kofia

----------
Sent from my Nokia Phone

------Original message------
From: mngonge <mngonge@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, May 21, 2013 5:04:25 PM GMT+0300
Subject: Re: [wanabidii] Re: Kinachotokea Iringa, Tafsiri Yangu....

Kwa sasa kila kitu ni siasa na inakuwa mbaya sana pale serikali inaponusa
harufu ya upinzani. Ingekuwa machinga wameongea na mbunge wa sisiemu wala
usingesikia mabomu. Kama viongozi wetu hawaoni balaa lililombele yetu
waendelee kulichokoza watajua habari yake usoni.
Machinga ni jeshi lenye nguvu sana ambalo liko mitaani nao wanatafuta namna
ya kuishi kama walivyo polisi wanapotumwa kuwavulumshia mabomu machinga ili
mkono uende kinywani. Tatizo hapa siyo Msigwa tatizo ni Sisem yenyewe
ambayo iliwahaidi ajira watanzania wakati wa uchaguzi mkuu uliopita ilisema
imewatafutia watanzania ajira.

Kama ndo ajira ya machinga ndo hiyo basi ipo ya aja ya kukaa nao na
kuangalia namna ya kuwahamisha kistaarabu bila kutumia nguvu. Wote
munaomuona Msigwa ana makosa munasahau vidole vinne vinavyobaki
vikiwaelekea nyinyi na kukinyoosha kimoja tu. Ukichunguza kwa undani
utagundua kwamba zoezi zima limegubikwa ushaki wa kisiasa tena siyo toka
kwa Msigwa bali toka upande musiotaka kuuongelea


2013/5/21 <cyrilkomba@gmail.com>

> On Sunday, May 19, 2013 12:18:49 PM UTC+3, maggid mjengwa wrote:
> > Kinachotokea Iringa, tafsiri yangu…
> >
> >
> >
> >
> >
> > Ndugu zangu,
> >
> >
> >
> >
> >
> > Leo saa mbili na nusu asubuhi nilifika Jengo la NSSF
> > nikitokea kufanya jogging yangu ya asubuhi. Nilifika hapo kuwahi kununua
> > magazeti.
> >
> >
> >
> >
> >
> > Hali ilikuwa shwari kama ilivyo kawaida ya Iringa
> > Jumapili asubuhi. Kunako saa tatu asubuhi nilipokuwa nyumbani nikisoma
> magazeti,
> > ndipo niliposikia mlio wa kwanza wa bomu
> > la machozi. Idadi yake ikaanza kuongezeka.
> >
> >
> >
> >
> >
> > Nikiwa na kamera yangu nikajisogeza hadi katikati ya mji kufahamu zaidi
> > kinachotokea. Nilichokiona ni vurugu
> > kati ya Wamachinga na Jeshi la Polisi.
> >
> >
> >
> >
> >
> > Tatizo?
> >
> >
> >
> >
> >
> > Ni dogo sana,
> > lakini linakuzwa kwa vile siasa imepelekwa mbele badala ya kutanguliza
> hekima
> > na busara. Kwa kufuatilia suala la Wamachinga kufanya biashara eneo la
> > barabarani pale Mashine tatu naamini kabisa, kuwa Mbunge wa Iringa Mjini,
> > Mchungaji Msigwa angeweza kuepusha hali inayoendelea sasa kwa kuwasihi
> Wamachinga watii kwanza amri ya
> > Manispaa, na yeye, kama Mbunge wao, kujiingiza kwenye mazungumzo ya
> dhati na
> > wenzake kwenye Halamshauri ya Manispaa ya Iringa katika kutafuta
> ufumbuzi wa
> > suala hili. Na hiyo ndio siasa. Siasa ina maana ya majidiliano endelevu
> badala
> > ya kuhamasisha matumizi ya nguvu au vurugu pale milango ya majadiliano
> ingali wazi.
> >
> >
> >
> >
> >
> > Kinachotokea Iringa kwa sasa ni doa kubwa kwa mji wetu
> > wenye sifa ya muda mrefu ya utulivu. Kina athari kubwa kiuchumi pia.
> Pale Iringa mjini nilichokiona leo ni kama
> > mji ulio katika mapigano ya kivita. Watu ni wachache na wenye hofu.
> >
> >
> >
> >
> >
> > Biashara nyingi zimesimama. Niliziona Daladala
> > zikitoka Kituo cha Miyomboni bila hata abiria, watoke wapi? Wakati kwa
> sasa
> > walio nje ya mji wameambiwa na jamaa zao walio katikati ya mji kuwa
> wasijaribu
> > kufika mjini, kwamba hali imechafuka.
> >
> >
> >
> >
> >
> > Nimeongea na mwuza nyama ya bucha aliyeniambia kuwa
> > mgomo wa Daladala wa hivi karibuni ulimfanya apate hasara kubwa kwenye
> biashara yake ya nyama kwa vile wateja wake
> > wengi wanatoka nje ya mji. Na anachokiona leo ni hasara nyingine kwa vile
> > hakutakuwa na biashara nzuri. Je, ni wafanyabiashara wangapi
> watakaoathirika na
> > hali hii ya leo?
> >
> >
> >
> >
> >
> > Na kwa kuwa mkweli, kisiasa kinachotokea Iringa kwa
> > sasa kinaweza kuwa na athari hasi kwa Mchungaji Msigwa badala ya kumjenga
> > kisiasa, kwani, wengi niliozungumza nao katikati ya mji wanamwona
> Mchungaji
> > Msigwa kuwa ni mtu ambaye angeweza kuiepusha hali hii kama asingeyatumia
> > majukwaa ya siasa kuwahamasisha Wamachinga kuendelea kufanya biashara, na
> > hivyo, kutokutii amri ya Manispaa.
> >
> >
> >
> >
> >
> > Mchungaji Msigwa ni rafiki yangu, muda mfupi uliopita
> > nimempigia simu. Imeita bila majibu. Mmoja wa watu wake wa karibu
> ameniambia
> > yuko kwenye Harambee pale Tumaini University.
> >
> >
> >
> >
> >
> > Kama Mchungaji Msigwa angejibu simu yangu, basi,
> > ningemwambia haya ninayoyaandika hapa.
> >
> >
> >
> >
> >
> > Maggid Mjengwa,
> >
> >
> > Iringa.
>
> KAKA MAJID ASANTE KWA UJUMBE WAKO MZURI....KWA MATZAMO WANGU NAONA NI
> YALEYALE YA MUENEDLEZO WA KUMJAJI MTU KABLA HUJAMUULIZA JE UMNEONGEA NA
> MSIGWA HATUA ALIYOFIKIA HADI AKATOA UAMUZI ULE KWA KUWAAMBIA WAMACHINGA
> WAENELEE KUFANYA BIASHARA MAHALI PALE...?
>
> PIA UNAPOSEMA MSIGWA ANGEONGEA NA VIONGOZI WENZAKE KATIKA ALMASHAURI NA
> WAO MSIGWA ALIPOTIA KAULI ILE WALIMUITA WAKAONGEA NAYE AU NDIYO WALIAMUA
> KUTUMIA ASKARI KUWATAWANYA MACHINGA NILITEGEMA WANGEMTUMIA THE SAME MSIGWA
> KUWATULIZA WAMACHINGA KULIKO KULIPUA MABOMU NA KUCHAFUA HALI YA HEWA PALE
> IRINGA MJINI.
>
>
> JINGINE UMEONGEA KUHUSU HASARA YA WAFANYA BIASHARA KUTOKANA NA VURUGU HIZO
> JE MBONA HUJATUAMBIA UMEWAHOJI WAMACHINGA WANGAPI WALIOPATA HASARA KUTOKANA
> NA MAAMUZI YA HALMASHAURI...?
>
> KWA MTAZAMO WANGU SIDHANI KAMA POLISI WALIHITAJIKA KUTUMIA SILAHA KIASI
> KILE KUWATAWANYA WAMACHINGA HEBU JIULIZE KULIKUWA NA AGENCY GANI YA
> KUWAONDOA WACHINGA SIKU HIYO...?
>
> SIASA ZISITAWALE KATIKA KUFANYA MAAMUZI YA BUSARA....!!
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.



--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment